Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Wao wanashitaki tu kwa uelewa hatuna hao watetezi tukienda huko tunaliwa vichwa tu; mwekezaji anabeba mi dollar yake kirahisi.Nadhani kuna watz humu humu ndani wanachezesha michongo tushindwe kesi. Sio kwamba watu hawajui
Huwezi jua nyuma ya fidia kuna watu wana mkonoHii nchi imelipa fidia nyingi sana Kwa maamuzi ya Marehemu Mwendazake tangu akiwa Waziri mpaka akiwa na Urais.
Us dollar 165!
Mama hana uchungu na pesa zetu hata ww ukiamua kulishika lishangingi kwa kutopata increment waweza kulipwa ,saa100 kwa kutawanya kodi zetu ninamvulia kofiaKwa hiyo tumewalipa hizo 165 million dollars?.
Comment bora kabisaUmemkodisha mtu ardhi kwa sababu ya kilimo
Miaka zaidi ya 15 hakuna shughuli zozote za kilimo ana fyeka fyeka tu maeneo kuonyesha bado yupo.
Robo tatu ya shamba imekuwa pori, umetaifisha kwa mujibu wa sheria kwa sababu eneo alitumiki kwa matumizi mwekezaji kapewa; ata kama lease hold aijaisha, hiyo ni serious breach.
Anatoka hapo anakimbilia anapojua anadai damages za zaidi ya millioni, not sure how he can justify that ata kama angekuwa amelima shamba lote wakati unalichukua.
Ndege yako inakamatwa wewe bila ya kwenda arbitration wala kuitwa kusikiliza mgogoro.
Arbitration yenyewe arbitrator anachagua ushahidi anaodhani muhimu; probably hajui implied terms za sheria ya ardhi Tanzania anaweza asiombe huo ushahidi; ni jukumu lako kutaka huo ushahidi utumike.
Ni hivi ni Tanzania pekee ndio inashindwa kesi rahisi.
Ukisoma hapa tunavyoandika unaweza kuona huyu jamaa anajikuza sana; lakini hayo mapungufu yapo wazi baada ya hili sakata la bandari na uelewa mdogo wa IGA ulioonywesha na wanasheria mnaowaita ngumi.
Pekekeni vijana kusoma business law undergraduate na shahada nyingine za biashara. Huko ndio misingi ya hayo mambo na yanafundishwa kwa kina tofauti na huu upoyoyo wenu mnaodhani mtu mwenye masters na Phd anaweza kukusaidia kwenye kila kitu.
Tanzania ni shamba la bibi kwa mafisadi.
Watamsingizia marehem kama wanavyofanya kwa sasa ,nchi imeshaavaachupi wallahiNa mkichezea mkataba wa Mwarabu wembe ni ule ule
Aliuza wapi hata kutolea mfano mmoja wa mita za mraba mojaJiwe alikusudia kuiuza Tanzania
Hivi kwa nini hili DUBUWASHA tusiliDWP sijuiDPW kwa waHolanzi?Tuliwaita mabeberu na majina ya kuwabeza lkn wao bado wanatujali.
Hatimaye dege letu lililokuwa limepigwa pin huko kwa mabeberu hatimaye limefunguliwa.
Asante sana wazungu kwa uwajibikaji.
===
Serikali imesema ndege aina ya Airbus A220 ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) iliyokuwa ikishikiliwa nchini Uholanzi imeachiwa na kurejea nchini jana.
“Leo niko hapa kuwapa habari njema, siku chache zilizopita niliwajulisha kuna ndege yetu tulikuwa na kesi nchini Uholanzi ikakamatwa, ilikuwa chini ya mikono ya sheria. Bahati nzuri tumefanya mazungumzo na jambo limekwenda vizuri ndege yetu imerudi jana jioni iko Tanzania,” amesema Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa alipozungumza na waandishi wa habari leo Julai 8, 2023 mjini Arusha.
Amesema ndege hiyo inaendelea kuandaliwa ili ianze shughuli zake.
“Chuma kimerejea kiko Tanzania, tunaendelea kuimarisha shirika letu, mambo yetu yatakuwa yaanaendelea kuwa mazuri,” amesema Msigwa aliyezungumzia masuala mbalimbali, ikiwamo miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika maeneo tofauti nchini.
Mwananchi
Wamevuna kirahisi tu 160m usd saa100 anazitoa tu kama karangaUmemkodisha mtu ardhi kwa sababu ya kilimo
Miaka zaidi ya 15 hakuna shughuli zozote za kilimo ana fyeka fyeka tu maeneo kuonyesha bado yupo.
Robo tatu ya shamba imekuwa pori, umetaifisha kwa mujibu wa sheria kwa sababu eneo alitumiki kwa matumizi mwekezaji kapewa; ata kama lease hold aijaisha, hiyo ni serious breach.
Anatoka hapo anakimbilia anapojua anadai damages za zaidi ya millioni, not sure how he can justify that ata kama angekuwa amelima shamba lote wakati unalichukua.
Ndege yako inakamatwa wewe bila ya kwenda arbitration wala kuitwa kusikiliza mgogoro.
Arbitration yenyewe arbitrator anachagua ushahidi anaodhani muhimu; probably hajui implied terms za sheria ya ardhi Tanzania anaweza asiombe huo ushahidi; ni jukumu lako kutaka huo ushahidi utumike.
Ni hivi ni Tanzania pekee ndio inashindwa kesi rahisi.
Ukisoma hapa tunavyoandika unaweza kuona huyu jamaa anajikuza sana; lakini hayo mapungufu yapo wazi baada ya hili sakata la bandari na uelewa mdogo wa IGA ulioonywesha na wanasheria mnaowaita ngumi.
Pekekeni vijana kusoma business law undergraduate na shahada nyingine za biashara. Huko ndio misingi ya hayo mambo na yanafundishwa kwa kina tofauti na huu upoyoyo wenu mnaodhani mtu mwenye masters na Phd anaweza kukusaidia kwenye kila kitu.
Tanzania ni shamba la bibi kwa mafisadi.
Hatakama amewekeza sailingi 100usdWao wanashitaki tu kwa uelewa hatuna hao watetezi tukienda huko tunaliwa vichwa tu; mwekezaji anabeba mi dollar yake kirahisi.
Unakaribia kujifungua Mimba yake umebaki mwezi mmoja tuKwani umekatazwa na wewe kumfuata?
Ni Raisi gani wa CCM alikuwa na uchungu na pesa zetu?Mama hana uchungu na pesa zetu hata ww ukiamua kulishika lishangingi kwa kutopata increment waweza kulipwa ,saa100 kwa kutawanya kodi zetu ninamvulia kofia
Kwa hali ya sasa kumlaumu mtu inakuwa kama vile personal.Nchi hii ukipata nafasi na wewe piga tu
Umeliona hilo shamba lenyewe kajenga ki airstrip uchwara na hakuna machine zozote.Hatakama amewekeza sailingi 100usd
Yaani kila kona deni halafu wanasema yanahimilika daaDuh!...haya madeni yametukaba Koo..
Kwani imenunuliwa Kwa pesa ya naniLeo imekuwa ndege yenu?
R.I.P Magufuli
Chama cha Wazandiki hakiwezi kueleza nini kilitokea. Hata anayesema siku chache zilizopita niliwaekeza, aliwaeleza kina Nani?Ahsante mama Samia kufanya vitendo bila jazba na kuirudisha ndege.
Waliokuwa hawaelewi sasa waelezwe kilichokuwepo na kilichafanyika mpaka ndege kurudi.
Mficha maradhi kifo humuumbuwa.
Kabudi tueleze.
Matindi tueleze.
Nape Nnauye tueleze
Au tufiche kombe mwanaharamu apite?