Ndege ya Ukraine ilitunguliwa kwa kombora

BREAKING: Canadian Prime Minister Justin Trudeau says evidence indicates Flight 752 was shot down by an Iranian surface-to-air missile.

Justin Trudeau: "We have intelligence from multiple sources, including our allies and our own intelligence. The evidence indicates that the plane was shot down by an Iranian surface-to-air missile."
 
Mkuu sio kila mtu anaandika kishabiki....ndege imetunguliwa....wanachotaka ni visanduk vya ndege na Iran yenyewe iseme....
Hata mm sija andika kishabiki nime andika kutokana na ulivyo post

Yaan mpaka wao wenyewe wanaswma maybe maana hawana uhakika ww uhakika unautolea wap ?! .....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
'including our allies'

Ambao ni wamarekani,hahah.




dodge
 
Missile Defense Systems za Iran zilikuwa katika taadhari kubwa wakati wa yale mashambulizi ya kambi za US na pengine ndiyo chanzo cha hii ndege kutunguliwa kwa makosa ikidhaniwa kuwa ni ya adui.
Daaah wabongo bwana. Kwa hiyo zikiwa katika tahadhari ndio zidungue ndege ya abiria? Unadhani hiyo mifumo ni ya kijinga kama hako kasimu kako ka tecno?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…