sio kutetea kibrua, kila mtalii ana thamani sawa sawa kwetu hata angekuja mmoja au mia mapokezi yangekuwa ni haohayo na hii ndo maana halisi ya ukarimu wa tanzania, hongera kwako mh. waziri wa utalii.anafagilia kibarua chake... hali tete.
huyu jamaa akifika August sijui!!
Anatekeleza majukumu yake ya kiofisiAmefata nini hapo ?
Lofa Tundu Lisu mapokezi yake hewa mlishona Hadi T-shirt za karibu Lisu sembuse mtalii mzungu mwenye pesa mapokezi yanatakiwa kuwa juu kuliko lofa Tundu lisuHuu ujinga ulikuwa nao ila akakosekana kiongozi wa kufanya ujinga wako uonekane, au ni ujinga ulioupata baada ya awamu hii kuingia madarakani?
lakini ni mtalii sio?
Naibu waziri wa afya Dr Mollel amesema ameridhishwa na namna waziri wa Utalii Dr Kigwangalla alivyowapokea kundi la watalii katika uwanja wa KIA.
Dr Mollel amesema Kigwangalla alifuata taratibu zote za afya kama xilivyobainishwa katika mwongozo wa wizara yake.
Dr Mollel amesema hayo wakati akiukagua uwanja wa KIA.
Source ITV habari!
Lofa Tundu Lisu mapokezi yake hewa mlishona Hadi T-shirt za karibu Lisu sembuse mtalii mzungu mwenye pesa mapokezi yanatakiwa kuwa juu kuliko lofa Tundu lisu
Wenye pesa wanaingia mapokezi ya mwenye pesa tofauti na lofa.Sasa kama bosi anaenda na baraza zima la mawaziri na jopo la viongozi kibao kwenda airport kupokea kandege kamoja
Haka kajamaa hivi huwa zianamtosha na kale kakichwa kake?Naibu waziri wa afya Dr Mollel amesema ameridhishwa na namna waziri wa Utalii Dr Kigwangalla alivyowapokea kundi la watalii katika uwanja wa KIA.
Dr Mollel amesema Kigwangalla alifuata taratibu zote za afya kama xilivyobainishwa katika mwongozo wa wizara yake.
Dr Mollel amesema hayo wakati akiukagua uwanja wa KIA.
Source ITV habari!
Huyo basi bilionea ndege lote mtu mmoja .kuna watu wazito mtu mmoja anakuwa mzito bilionea mwenye pesa
Mfano Bill gates peke yake akija unataka apokelelewaje.Chadema akili hamna sio kila mtu ana hadhi sawa na nyie
Kwa hiyo hata picha ya mfano Chadema mnaionea wivu!Watalii wawili.
Mnajulikana nyie ni wapingaji.Kigwangala anahaha! Kulazimisha kutafuta watalii kwenye dunia ya Corona inahitaji moyo!
Inaonekana huijui vema hiyo sekta
Mtalli mmoja tu anaweza kuja kulala chumba cha dola elf kumi kwa siku,akakaa siku 7,bado hajalipa kuuwa wanyama pori n.k,
Inategemea na hadhi ya mtalii,kuna viongozi wastaafu huko duniani,wafalme watoto wa wafalme na wafanya biashara wakubwa tu
Romam Abramovich alikuja na wasaidizi 45
Siku zote nimekuwa nikisema.mataga mmechanhanyikiwa.Watalii wameichagua Tanzania
Tanzania imebadirika.. vijana wanachapa kazi.
Leo wakati dunia bado haijaamka kuna watalio wawili ambao wanaonekana kwenye picha wamepokelewa na waziri wa utalii.
Hii ji heshima kubwa sana kwa watalii wetu.. na waziri kingwangala ameonyesha kwamba yeye ni mtu wa kazi na si mtu wa cheo na kuletewa chai ofisini.
Big up bro.View attachment 1466999
Mnajulikana nyie ni wapingaji.