Ndege ya watalii yapokelewa Uwanja wa Kimataifa Kilimanjaro (KIA)

Huu ni mwanzo lazima furaha iwepo,mlitaka wasije kabisa,bora hao 200 kuliko kukosa kabisa,uchawi sio mpaka mtu abebe tunguli,jitazameni kauli zetu

Endeleeni kusubiri taifa hili lifeli,mtasubiri sana.
Kwani ni kitu gani hii nchi iliwahi kufanikiwa? Mfano kwenye umasikini, maradhi na ujinga?
 
Only 6 out of 200 kwi kwi kwi kwi kwi kwi
Hii ni habari tena kubwa tu kwa wadau wa utalii ukizingatia wengine ndo kwanza wanafungia watu ndani.

Tutegemee porojo kibao kutoka kwa washindani wa biashara hii na wale jamaa.
 
Mbona watalii ni wanne tu.... Duh au hiyo ndege ni ya mizigo? Dah ni aibu sana
 
Wape salaaaaaammmmm wana lumumba
 
CC😛ascal Mayalla
 
Ndege nyingine haijatua chato?
 
Ni kweli kama nchi tunahitaji watalii kwa maendeleo kwa ujumla ila tuache uongo wa kukuza vitu/propaganda za kitoto.
 
Una kichaa cha mbwa wewe
 
Hivi unajuaje maambukizi yamepungua wakati hakuna strategy yoyote ya upimaji.. mfano tungekuwa tunapima watu 100 kwa siku ila kila tunapopima idadi ya waliopostive inapungua, apo tungesema maambukizi yamepingua.


Ila tofaut na ivyo ni uongo wa kijinga sana.
 
Ukitaka kujua kuhusu umaskini wao pendekeza "Lockdown"
Sina ndugu,rafiki wala jirani ambaye amaekufa kwa corona hata kuona mpita njia kaanguka bado,pia nimeuliza ndugu jamaa na marafiki zaidi ya 9,nao pia hawajaona,sasa hebu nipe sababu ya kupendekeza lockdown?
 
Sio ATCL?
Mbona tuliambiwa tunanunua madege ili watalii wetu wasipitie Kenya maana wanabakiaga huko.
.
Na aim yetu ni kufikisha watalii 10 million woiii 😥
Kichwa chako kigumu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…