Pole yetu sote.Mungu uilinde nchi hii.
Nchi haikuanza kuibiwa leo kwa hiyo usipate tabu Watanzania wanajiibia wenyewe acheni wale kwa urefu wa kamba yaoIko Twitter
Acha kujitoa ufahamu
Nchi inaibiwa kuliko unavyojua
Madini wanyama imegeuka mali ya wachache
Msikomaze shingo
Katiba Mpya muhimu tufunge wezi
Camera man huyo huyo aligundua kwamba ndege haina alama?Pori tengefu ni kama misitu ya jeshi inayotuzunguka nchi nzima, public access is off limits. Huwezi kupata close-up HD video ya ndege inashuka na kupandisha wanyama. Cameraman alifanya alichoweza katika mazingira yaliyomkabili.
"Iacheni serikali yetu itutumikie" ni mentality za Mtanzania wa pre-1990. Muda umekuacha nyuma.
Enzi hizi wananchi wanachagizwa kujihusisha na majadiliano huru ya mambo yanayowahusu kama sehemu ya mchakato wa demokrasia.
Binafsi siamini watawala kutoka visiwani wana uchungu na Tanganyika.
Leta ushahidi wa kutosha kuunga mkono hoja yako.JF sio kikao cha mbege kwamba tutaamini tu madai yako.Ila kiukweli kuna kaupendeleo ka waarabu awamu hii.
Hata uingizwaji wa mafuta ya kupikia kutoka nje ya nchi awamu hii ni hao hao waarabu, sera ya kulinda viwanda vidogo vidogo vya alizet vya wazawa imewekwa kapuni.
Hakuna tena protectinism, wakulima wazawa wapate taabu kwa bei ya alizet yao kuporomoka kwa faida ya waarabu!.
Miaka yote waingiza mafuta au wafanya biashara nchi hii ni watu weupe kama ni upendeleo sio mafuta tu hata mabisi maroli viwanda nk hata vituo viama futa ya magali robo 3 viakwaoLeta ushahidi wa kutosha kuunga mkono hoja yako.JF sio kikao cha mbege kwamba tutaamini tu madai yako.
Kama una ushahidi leta.
Mie sina majibu. Kamuulize Masoud Kipanya kwanini hutumia mbinu hiyo ya kukosea jina kwa makusudi.Wewe umejuaje kama kaandika kimakosa makusudi? Kwahiyo ukiandika kimakosa makusudi inakua sio kosa?
Ngoja nimtafute muisihamu wa kiarabu aje kunifunza lugha.....niachane na kiswaili na mimi niwe najua kiswahiliSasa mtu kama wewe hata kuandika lugha yako tu kwa ufasaha huwezi,utaweza kujadili vitu vinavyohitaji akili na maarifa ya utambuzi?
Huu muda unaoutumia kutapika hapa ni vizuri ukautumia kujifundisha kuandika lugha yako kwa ufasaha.
Aliwahadaa walimwengu wenye nacho walizidi kupata , zaidi alie umia ni masikini.Mzilankende Alisema Nikiwa Rais Watalimia Meno
Aliwahadaa walimwengu wenye nacho walizidi kupata , zaidi alie umia ni masikini.Mzilankende Alisema Nikiwa Rais Watalimia Meno
Aliwahadaa walimwengu wenye nacho walizidi kupata , zaidi alie umia ni masikini.Mzilankende Alisema Nikiwa Rais Watalimia Meno
Mleta mada ndiye aliye iona hiyo ndege na ndiye Aliyesema inabeba wanyama. Sasa nyie mnaobisha matumia ushahidi gani. Ningeelewa tu kama mngethibitisha haikuja kubeba wanyama bali imekuja kwa masuala mengine. Alternatively, mngeomba ushahidi zaidi ingawa Inawezekana kabisa asiweze kuupata kwa sababu ya ulinzi mkali kwenye haya mambo.Wewe Kwa uelewa wako ndege zinazotua mbugani zote ni za waarabu na zote zinakuja kubeba wanyama?...huko mbugani hakuna ndege zinazotua Kwa utalii wala kubeba wazungu?
Aliwahadaa walimwengu wenye nacho walizidi kupata , zaidi alie umia ni masikini.Mzilankende Alisema Nikiwa Rais Watalimia Meno
Kijana kuwa na shukurani"Kwan wew uibiMaasai walituma ushahidi wa ndege kubwa isiyo na alama ikitua na kuruka kutoka Pololeti
View attachment 2473424
Huyo mama amemilikishwa hii Nchi? Kwamba Ndege zinakuja zinatua zinapakia zinaondoka bila utaratibu wowote? Bas kama Nchi imefika hapo kosa sio lake Bali Mifumo mibovu. Nawewe tafuta hata mikumi ujimegee Anza kuua hata Swala uza kwa mafungu.Ingawa picha haionekani clear, ila chini ya uongozi wa Mama lolote linawezekana!.
Nani kakwambia kuwa ni mimi ndiye niliyeiona hiyo ndege. Muulize mleta Uzi.Iweje hapa hiyo ndege uliyoiona wewe ilibeba hao wanyama,