DOKEZO Ndege za Dubai zinaendelea kutua Serengeti! Tunaibiwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mimi nimeiamini serikali kuwa wamasai wanafanya uharibifu wa mazingira...Hadi hapo kutakapo jitokeza habari zingine za uhakika ndo ntawahukumu tofauti..sitaki kuihukumu serikali Kwa kuhisi au kusikia habari ambazo hazina ukweli
Nakukubali sana The Boss always composed, objective, and impartial. Natamani viongozi wa serikali wangekua na mentality Yako tungekua mbali sana.
 
Hizo Ndege zenyewe za kutua Kila siku zinatua wapi ? Uongo mtupu TU.
 
Nani kakwambia kuwa ni mimi ndiye niliyeiona hiyo ndege. Muulize mleta Uzi.

Na wewe unayejaribu kupinga tupe ushahidi kuwa mleta mada anadanganya.
Mleta mada ndio ana burden of proof.Ukileta mada hapa JF inayohitaji ushahidi basi wewe uliyeileta hiyo mada ndio unawajibika kuleta ushahidi.
Bila hivyo itakuwa kijiwe cha kila kichaa kuleta upumbavu wake.
 
Nimekuelewa
Tupe tathmini yako kuhusu wamasai kuondolewa kimabavu kutoka Loliondo awamu hii.
Wamasai niwakwanza kupisha haya mapoli, hivi unafahamu hiki kinacho itwa Burigi national park, miaka 90 -97 kulikua na Simba nyati na wanyama wengine?

Miaka 20 badae mmeshudia wenyewe wanapandwa upya kama hawajawahi kuwepo.
 
Huna logic yoyote, mahaba tu ya kijinga.

Samia ana undugu na waarabu, hii ndio logic, na zaidi, huu ujinga umefufuka kwa nguvu baada ya Samia kuingia madarakani, hii pia ndio logic, tena hasa baada ya ile ziara yake Uarabuni, hizi ndio logic, sio mahaba yako unayaita logic.

Zaidi, wakati wa Magufuli huu upuuzi haukuwepo hata kama mkataba wa wizi ulikuwepo, ulitaka kelele zipigwe kwa jambo ambalo halikuwa likitokea? au wewe uliwahi kuona ndege ya mwarabu ikitua Loliondo wakati wa Magufuli? kama uliona weka ushahidi wako hapa tuione logic yako, sio huo upuuzi wako unaita logic.

Simply unamaanisha Samia amekuja ku activate mkataba wa wizi uliokuwepo ili awanufaishe ndugu zake, hizi ndio logic.

Wewe ni mjinga ambae upo kwa ajili ya kutetea ujinga wowote unaofanywa na hii serikali iliyopo sasa, huu ni ukweli kukuhusu, unahangaika tu kuokoteza vimaneno visivyo na uzito wowote kutetea hoja zako nyepesi zilizojaa mahaba kwa yule umpendae, huna maana yoyote.

Moreover, thinking yako imepitwa na wakati, unaesubiri Rais aje mkristu ndio uanze kumpinga, ndio maana kwa hii akili yako mgango ukiona mwislamu mwenzako anapingwa hata kwa hoja, wewe unaona ni kwasabsbu ya dini yake, such a poor old fella!.
 
Sera za kulinda viwanda vipi? Mnaongea mnacho weza kusimamia na kukitetea. Mafuta ya kula yamepanda Bei isngikua huko kuagiza hivi vibaba vya hum ndani zungeuziwa kibaba 10,000
 
Wewe Kwa uelewa wako ndege zinazotua mbugani zote ni za waarabu na zote zinakuja kubeba wanyama?...huko mbugani hakuna ndege zinazotua Kwa utalii wala kubeba wazungu?
Ongeza na za utafiti, na video za kibiashara. Wanadhani hizi documentary tunazo ziona kwenye Ile chanel ya Magu zlipigwa na watembea kwa miguu?
 
Ungefunga tu hilo bakuli lako. Kila ishu unajiona wewe ndio msemaji. Wewe ni K.
 
Hata kama ni Mmasai wa Kenya! Wanyama hawatoroshwi kwenda nje? Na hasa huko Uarabuni?
 
Rubbish.
 
Reactions: Tui
Samia ana undugu na waarabu, hii ndio logic, na zaidi, huu ujinga umefufuka kwa nguvu baada ya Samia kuingia madarakani, hii pia ndio logic, tena hasa baada ya ile ziara yake Uarabuni, hizi ndio logic, sio mahaba yako unayaita logic.
Thibitisha huo undugu wa Samia na waarabu, nyinyi munajisemea tu vitu ambavyo munasoma kwenye mitandao na kujifanya ndiyo mumekuwa na ithibati.

Tuambie huo undugu wake na waarabu uko kivipi? Maana sisi wengine tunamfahamu zamani sana lakini naona hivi karibuni ati mara kumekuwa na picha zinaonyesha yeye ana wajomba wa uarabuni, mara bibi mara nani sijui. Uongo mtupu ambao mumeukoleza chumvi ya chuki zenu.
 
Reactions: Tui
Nawe ni miongoni mwa wazee mliopitwa na wakati, upo JF lakini hujui chochote, unajiokotea vimaneno kunijibu kama anavyofanya mzee mwenzio kumlinda ampendae!
 
Nimeona Bawa tu la ndege ila mada inasema wanyama wanabebwa

Wako wapi na je wanaswagwa kama ng'ombe au
Sidhani kama imefika hali hii ya kupeleka kanga na Simba na swala Dubai kwa wizi bila kulipa

Kwa hiyo hata air controller nao wamezibwa midomo?
Kama kuibiwa hata mimi naibiwa mazao yangu kutwa na wazawa [emoji1]

Hakuna wizi hapo bali sisi ndio hatujielewi
Shilingi inaporomoka kila kukicha
 
"Imeleta vifaa vya watalii"

Vifaa vyenyewe mitutu ya kuulia wanyama
 
Nawe ni miongoni mwa wazee mliopitwa na wakati, upo JF lakini hujui chochote, unajiokotea vimaneno kunijibu kama anavyofanya mzee mwenzio kumlinda ampendae!
wewe thibitisha wacha hizo fixi za maneno maneno yasiyokuwa na mpango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…