Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matokeo ya royal tour?Zinaleta Watalii
halafu cha ajabu wakiitwa kuhojiwa wathibitishe watalalamika tena wanaonewa!Acheni kupandikiza uongo na kuichonganisha serikali yetu kwa Ajenda zenu za Siri, Sasa hapo hiyo ndege IPO wapi? Wanyama wanao bebwa wapo wapi? Ni ndege aina gani? Kutoka nchi gani? Kwa utambulisho wa kutoka shirika gani la ndege? Wanyama wapo wapi hapo? Mbona hatuonyeshwi hao wanyama? Mbona hatuonyeshwi wakipandishwa kwenye ndege? Mbona hatuonyeshwi ndege ikitua na kupaa?
Huu uongo unawasaidia Nini? Mnalengo gani na serikali yetu? Mnapata faida gani kuichafua serikali yetu? Mnamlenga Nani kumchafua? Kwa masilahi ya Nani? Nani anawdfadhiri huu upotoshaji?
Iacheni serikali yetu ifanye kazi za kututumikia watanzania ,hizi propaganda za kitoto hazitawafikisha popote pale na hamtaweza kuichonganisha serikali yetu na sisi wananchi
Ebu wache kuchekesha...Maasai walituma ushahidi wa ndege kubwa isiyo na alama ikitua na kuruka kutoka Pololeti
View attachment 2473424
Acha kulishwa matango pori nawe ukaleta humu. Pololeti sio Serengeti. Pili, hakuna ndege iliyotua popote kwenye mbuga zetu kwa huo uhuni unaoueleza, mwisho kwa ukubwa wa ndege hiyo haiwezi kutua kwenye maeneo hayo maana hakuna kiwanja cha ukubwa na vigezo vya kuipokea.Maasai walituma ushahidi wa ndege kubwa isiyo na alama ikitua na kuruka kutoka Pololeti
View attachment 2473424
Acha unafiki mamlaka wapi hahahahaha utakuja olewaMimi nipo mamlaka huku, tunajua ila wakubwa wetu wameshatupiga mabiti kuzifuatilia
Chuki na ubaguzi huna kinginePori tengefu ni kama misitu ya jeshi inayotuzunguka nchi nzima, public access is off limits. Huwezi kupata close-up HD video ya ndege inashuka na kupandisha wanyama. Cameraman alifanya alichoweza katika mazingira yaliyomkabili.
"Iacheni serikali yetu itutumikie" ni mentality za Mtanzania wa pre-1990. Muda umekuacha nyuma.
Enzi hizi wananchi wanachagizwa kujihusisha na majadiliano huru ya mambo yanayowahusu kama sehemu ya mchakato wa demokrasia.
Binafsi siamini watawala kutoka visiwani wana uchungu na Tanganyika.
Kuna ushahidi kuutoa unakuwa vigumu. Kwanza unaweza kuona hata hiyo video imepatikana kwa kuibiwa. Imepigwa toka vichakani. It's a big risk ambayo Inawezekana amechukua kupata hiyo clip.Mleta mada ndio ana burden of proof.Ukileta mada hapa JF inayohitaji ushahidi basi wewe uliyeileta hiyo mada ndio unawajibika kuleta ushahidi.
Bila hivyo itakuwa kijiwe cha kila kichaa kuleta upumbavu wake.
Kumbe huku nako mna account mbilimbili,mnapost then unarudi kuitetea post yako.halafu cha ajabu wakiitwa kuhojiwa wathibitishe watalalamika tena wanaonewa!
Wale twiga na wanyama wengine waliopakiwa wakati ule, mamlaka hazikujua?Mnaibiwa kitu gani?
Mbona hata Ndege yenyewe haionekani vizuri ili kujua ni Ndege ya wapi?
Ina maana pia hiyo Ndege imetua ndani ya nchi bila mamlaka husika kujua hilo?
Mimi nimeuliza swali na wewe unaniuliza swali? au umekurupuka tu bila kusoma comment yangu na kuielewa kwanza?Wale twiga na wanyama wengine waliopakiwa wakati ule, mamlaka hazikujua?
Kwenye swali langu, unapata majibu..!!!Mimi nimeuliza swali na wewe unaniuliza swali? au umekurupuka tu bila kusoma comment yangu na kuielewa kwanza?
Hakuandika kwa bahati mbaya amekusudia. Ukisoma vizuri utamuelewa.Sasa mtu kama wewe hata kuandika lugha yako tu kwa ufasaha huwezi,utaweza kujadili vitu vinavyohitaji akili na maarifa ya utambuzi?
Huu muda unaoutumia kutapika hapa ni vizuri ukautumia kujifundisha kuandika lugha yako kwa ufasaha.
Mimi nimemaanisha ule msemo wa lisemwalo lipo. Na wala sijahitimisha kama ni kweli kwenye hiyo video, wanyama wamebebwa. Maana huko nyuma haya matukio yamewahi kutokea.Mgosi leteni picha hata moja narudia hata moja ya wanyama wanaibiwa.Bila hivyo itakuwa propoganda na uzushi usiokuwa na mbele wala nyuma.Hii picha kwenye hii mada utaona ni ndege ndogo charter ndio kweli mnataka kutuaminisha zinabeba wanyama.Mmetufanya mazezeta wasiotumia akili??
Kuhusu ndege ndogo zimejaa Uwanja wa ndege wa Arusha Kisongo.Nazo zinabeba wanyama?Ujinga ni maradhi hasa kama ujinga wenyewe sio wa kutokujua bali wa makusudi.
Baada ya kuiangalia hii clip wewe unaweza kutueleza nini kinaendelea hapo? Maana hapo imeonekana ndege kubwa porini vumbi na miti na mchukua clip akizungumza aliyoyazungumza. Tumpinge kwa hoja kama yako lakini tusimchallenge sana sababu si mimi wala wewe ambaye tungekuwa na cha ku comment bila ya kuwepo clip hii. Si kila mwananchi anaweza kujua kinachoendelea huko hasa kwa umbali huo. Vipi kama atakuja na Clip ingine ikiwaonesha wanavyopanda hilo dege? Tutasema ni uzushi ama tutafuta kauli zetu? Jambo likiwa linazungumziwa saaana kunakuwa na ukweli ndani yake, Mkuu si mara moja watu wamelizungumzia hili, ni vile tu wanyama hawana uwezo wa kuongea.Acheni kupandikiza uongo na kuichonganisha serikali yetu kwa Ajenda zenu za Siri, Sasa hapo hiyo ndege IPO wapi? Wanyama wanao bebwa wapo wapi? Ni ndege aina gani? Kutoka nchi gani? Kwa utambulisho wa kutoka shirika gani la ndege? Wanyama wapo wapi hapo? Mbona hatuonyeshwi hao wanyama? Mbona hatuonyeshwi wakipandishwa kwenye ndege? Mbona hatuonyeshwi ndege ikitua na kupaa?
Huu uongo unawasaidia Nini? Mnalengo gani na serikali yetu? Mnapata faida gani kuichafua serikali yetu? Mnamlenga Nani kumchafua? Kwa masilahi ya Nani? Nani anawdfadhiri huu upotoshaji?
Iacheni serikali yetu ifanye kazi za kututumikia watanzania ,hizi propaganda za kitoto hazitawafikisha popote pale na hamtaweza kuichonganisha serikali yetu na sisi wananchi