DOKEZO Ndege za Dubai zinaendelea kutua Serengeti! Tunaibiwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hio Rada una uhakika inaona eneo zima la Loliondo na Ngorongoro?

Sent from my SM-A525F using JamiiForums mobile app
 
Botswana rais mstaafu kakimbilia south kwa ajili ya matendo yake akiwa madarakani. Hii ni kwa sababu katiba na sheria zinaruhusu. Huku kwetu sijuiii
 
Ndo tatizo letu wabongo... Unapewa taarifa ya tatizo nawe umaleta tatizo!
Mnaibiwa kitu gani?

Mbona hata Ndege yenyewe haionekani vizuri ili kujua ni Ndege ya wapi?

Ina maana pia hiyo Ndege imetua ndani ya nchi bila mamlaka husika kujua hilo?
 
Only in Tanzania and SA .Gupta family waliwahi kutua kwenye kiwanja cha jeshi wakihudhuria arusi kufuatia ufidhuri wa mamlaka. Ni very questionable kwa serikali ya CCM kwa ndege kutua kwenye hifadhi zetu then so called msemaji wa serikali anakuja na cheap answers kuwa mwenye ushahidi alete. Its very confusing to us wenye nchi kuona ndege zinaingia na kutoka kwenye mapori yetu.

Hii ni kufuatia historia ya hawa watu, pili majibu yanayotolewa hayaturidhishi, tatu, mikataba iliyoingiwa bila kuwekwa wazi.
 
Lakini Samia kawatimua wamasai pale Loliondo
Lazima watu wawe namashaka sababu tendo lile linazua mashaka.
Ndio mara yako ya kwanza kusikia watu wanahamishwa kupisha hifadhi!? Huku Mbarali kuna vijiji vingi vimefutwa kupisha hifadhi na zoezi la tathmini ya mali za wananchi linaendelea
 
Chama ndio kimeshika hatamu kuongoza nchi!
na wenye chama ndio 'walewale' hapo lazima wanyama wetu watoroshwe saaana!
 
Nawe unaweza jua kiini Cha mmasai kuondolewa Ngorongoro?

Maasai Hali wanyama wa pori, ni mlinzi wa Raslimali,

Kwann aondoshwe Kwa Mtutu?
 
Watu tukisema kuhusu deportation ya wanyama kuna lile chawa linajiita sijui 'Fallen sunky' linakuja kutisha watu eti huna ushahidi, hamishieni tu mbuga nzima huko arabuni tuone kama mtaishi milele.....
 
Daa nyi walamba asali ni wagumu kuelewe mambo,asali imewalewesha.
 
Daah huyu dingi sijui ni kwanini alikufa!!??
Sshv makambale ni mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…