Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hio Rada una uhakika inaona eneo zima la Loliondo na Ngorongoro?Mnaoleta mada za aina hii kitu ambacho mnakosea kwa makusudi au hamkijui ni ukweli kuwa Tanzania ya sasa yote inamulikwa na rada nne zilizowekwa kimkakati katika kona nne.
Hakuna ndege inayoweza kuingia na kutoka tu kama shamba la bibi, haya mambo yalifanyika miaka hiyo ya nyuma kwa sasa haiwezekani ndege ikatua mgodini na kuondoka tu bila ya kutazamwa na rada.
Na hizi rada ni chanzo cha mapato, kila ndege inavyokatiza angani taarifa zinakwenda mamlaka ya anga ambao wanatuma invoice ya moja kwa moja katika nchi inayotoka hiyo ndege, mambo yamebadilika mno na mengi sio kama ya miaka ile.
Hivyo mnavyoanzisha uzi kwa nia ya kuitangazia chuki Tanzania kumbukeni kuandika uzi wenye elimu angalau, msiishie kutunga vitu visivyowezekana kwa sababu ya kukariri tu hulka za siku za nyuma.
unataka ujue mamlaka ili umfanyeje?Mamlaka gani?
Mnaibiwa kitu gani?
Mbona hata Ndege yenyewe haionekani vizuri ili kujua ni Ndege ya wapi?
Ina maana pia hiyo Ndege imetua ndani ya nchi bila mamlaka husika kujua hilo?
Naomba nieleweshwe na wataalamu wa wild life management. Najua kuwa wanyama wanazaliana sana na wanakufa kama sisi binadamu. Zaidi ya kuwa ni kivutio cha utalii, Je kuna ubaya gani kuuza zile species zinazozaliana sana?Maasai walituma ushahidi wa ndege kubwa isiyo na alama ikitua na kuruka kutoka Pololeti
View attachment 2473424
Yero masai na kismatifoni chake...Maasai walituma ushahidi wa ndege kubwa isiyo na alama ikitua na kuruka kutoka Pololeti
View attachment 2473424
Ndio mara yako ya kwanza kusikia watu wanahamishwa kupisha hifadhi!? Huku Mbarali kuna vijiji vingi vimefutwa kupisha hifadhi na zoezi la tathmini ya mali za wananchi linaendeleaLakini Samia kawatimua wamasai pale Loliondo
Lazima watu wawe namashaka sababu tendo lile linazua mashaka.
WE Bwege kwelikweli!Mnaibiwa kitu gani?
Mbona hata Ndege yenyewe haionekani vizuri ili kujua ni Ndege ya wapi?
Ina maana pia hiyo Ndege imetua ndani ya nchi bila mamlaka husika kujua hilo?
Nawe unaweza jua kiini Cha mmasai kuondolewa Ngorongoro?Baada ya kuiangalia hii clip wewe unaweza kutueleza nini kinaendelea hapo? Maana hapo imeonekana ndege kubwa porini vumbi na miti na mchukua clip akizungumza aliyoyazungumza. Tumpinge kwa hoja kama yako lakini tusimchallenge sana sababu si mimi wala wewe ambaye tungekuwa na cha ku comment bila ya kuwepo clip hii. Si kila mwananchi anaweza kujua kinachoendelea huko hasa kwa umbali huo. Vipi kama atakuja na Clip ingine ikiwaonesha wanavyopanda hilo dege? Tutasema ni uzushi ama tutafuta kauli zetu? Jambo likiwa linazungumziwa saaana kunakuwa na ukweli ndani yake, Mkuu si mara moja watu wamelizungumzia hili, ni vile tu wanyama hawana uwezo wa kuongea.
NB: Naunga mkono juhudi za Serikali, na kama hii Clip imeletwa hapa kwa agenda ingine ya uzushi basi siungani na mleta thread.
We lazima ni mlamba asali.Mnaibiwa kitu gani?
Mbona hata Ndege yenyewe haionekani vizuri ili kujua ni Ndege ya wapi?
Ina maana pia hiyo Ndege imetua ndani ya nchi bila mamlaka husika kujua hilo?
We ni mlamba asali huwezi kuelewaUmbea katika kiwango chake, hata kuwadadisi hao waliopiga picha mkakosa huo muda. Ukijihisi unaonewa kila wakati hata kujiamini inakuwa ngumu sana. TUWAWAZIE NA MEMA VIONGOZI WETU.
Daa nyi walamba asali ni wagumu kuelewe mambo,asali imewalewesha.Acheni kupandikiza uongo na kuichonganisha serikali yetu kwa Ajenda zenu za Siri, Sasa hapo hiyo ndege IPO wapi? Wanyama wanao bebwa wapo wapi? Ni ndege aina gani? Kutoka nchi gani? Kwa utambulisho wa kutoka shirika gani la ndege? Wanyama wapo wapi hapo? Mbona hatuonyeshwi hao wanyama? Mbona hatuonyeshwi wakipandishwa kwenye ndege? Mbona hatuonyeshwi ndege ikitua na kupaa?
Huu uongo unawasaidia Nini? Mnalengo gani na serikali yetu? Mnapata faida gani kuichafua serikali yetu? Mnamlenga Nani kumchafua? Kwa masilahi ya Nani? Nani anawdfadhiri huu upotoshaji?
Iacheni serikali yetu ifanye kazi za kututumikia watanzania ,hizi propaganda za kitoto hazitawafikisha popote pale na hamtaweza kuichonganisha serikali yetu na sisi wananchi
Watu wanasema wana ndugu zao sijui oman, sijui ujombani....yaani mambo hayaeleweki.mnachekesha, mlitegemea rais atoke zanzibar halafu serengeti ibaki salama
Daah huyu dingi sijui ni kwanini alikufa!!??Raisi wenu Mama Samia si ndio ameruhusu Wanyama Wauzwe ?Alivyokwenda Uarabuni kwenye Ziara yake si aliwaambia Waarabu wanaotaka wanyama waje kuwachukuwa. Mpaka mwaka 2030 Tanzania kutakuwa hakuna tena Wanyama Twiga Tembo ,Vifaru Simba, Chui na Chita wote watakuwa hakuna nchini Tanzania. Watalii hawata kuja Tanzania kutembelea mbuga za Wanyama. Kiongozi wetu mpendwa RIP Rais Magufuli aliwahi kutabiri haya hapo unayo yaona.
View attachment 2473776