Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
[emoji38][emoji38][emoji38]Dawa ya mnyonge ni kumnyonga hadi anye.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38][emoji38][emoji38]Dawa ya mnyonge ni kumnyonga hadi anye.
Kaka hayo mambo hayawezekani miaka hii ya sasa, nchi inamulikwa na rada kwa ukamilifu.Iko Twitter
Acha kujitoa ufahamu
Nchi inaibiwa kuliko unavyojua
Madini wanyama imegeuka mali ya wachache
Msikomaze shingo
Katiba Mpya muhimu tufunge wezi
Wewe endelea kunyweshwa maji machafu na hizo siasa zenu za majitaka. Bila shaka wewe ulikuwa mmoja wa watu walioamini kuwa Lowasa ni fisadi namba 1 nchi hii, na baadae ukabadilishiwa kibao kuwa sio fisadi na wewe ukaamini kuwa sio fisadi, kwa sababu wewe ni mzee wa kukubali kila propaganda inayoletwa humu dhidi ya serikali au kiongozi wa serikali bila kujali kuwa propaganda zenyewe ni za kweli au sio za kweli.Hata kama ni Mmasai wa Kenya! Wanyama hawatoroshwi kwenda nje? Na hasa huko Uarabuni?
Ila hujanijibu swali langu. Maana kuna twiga, na wanyama wengine walishawahi kupandishwa kwenye ndege kule KIA enzi za JK, na kupelekwa Uarabuni.Wewe endelea kunyweshwa maji machafu na hizo siasa zenu za majitaka. Bila shaka wewe ulikuwa mmoja wa watu walioamini kuwa Lowasa ni fisadi namba 1 nchi hii, na baadae ukabadilishiwa kibao kuwa sio fisadi na wewe ukaamini kuwa sio fisadi, kwa sababu wewe ni mzee wa kukubali kila propaganda inayoletwa humu dhidi ya serikali au kiongozi wa serikali bila kujali kuwa propaganda zenyewe ni za kweli au sio za kweli.
Sasa mimi nipo tofauti, sio rahisi mtu kunilisha matango pori kizembe zembe bila kuwa na fact za kunifanya niamini.
Jamaa kaweka video yenye pori na kwa mbali kuna ndege. Sasa ni kitu gani kinachoweza kunifanya mimi niamini kuwa hilo pori ni la Tanzania?
1) Kama ni video iliyo recordiwa Kenya na kuwekwa mitandaoni makusudi ili lengo la wale wamasai wa Kenya la kuichafua serikali yetu liweze kutimia?
2) Anasema hilo eneo ni la siri akimaanisha hakuna raia wa kawaida anaeruhusiwa kufika, ila cha kushangaza yeye yupo eneo hilo anachukua video na anapata hadi nafasi ya kuingiza sauti yake.
3) Ndege anayodai inabeba wanyama ukiiangalia vizuri utaona ni ya kawaida sana, sawa na zile ndege za kukodi ambazo watalii au watu wa kawaida huzunguka nazo mahali popote ikiwemo mbugani kuangalia wanyama kwa juu.
Kifupi jamaa kaleta propaganda mfu ambazo haziwezi kumsaidia yeye wala waliomtuma.
Hahahahahah hadi anye dah,mavi yenyewe yatatoka wap wakat hata kula yake shidaDawa ya mnyonge ni kumnyonga hadi anye.
Unaweza Kuta ndio warsbu wenyewe wanajitaidi kuzimaWaisiharamu mkisikia muarabu ana semwa vibaya tu mnaumia moyo kwa sababu kwenu muisiharamu ni mungu kabisa
Hili swali lako ni la kipindi kilichopo kwahiyo moja kwa moja unajaribu kuihusisha serikali na upuuzi alioleta jamaa.Wanyama hawatoroshwi kwenda nje? Na hasa huko Uarabuni?
Nadhani hapo umenielewa.Ila hujanijibu swali langu. Maana kuna twiga, na wanyama wengine walishawahi kupandishwa kwenye ndege kule KIA enzi za JK, na kupelekwa Uarabuni.
Lakini awakuleta ndege zao kipindi Cha maguWaarabu wa Loliondo wapo toka Rais ni Mwinyi ..kama wangekuwa wanavunja sheria Mkapa alipoingia madarakani mbona hakuwatimua?
Why Magufuli nae hakuvunja mikataba na hawa sasa?..
Majungu ndo meengi kuliko uhalisia .....
Na wewe tuoneshe izo za wa china na wazungu usilete uwarabu, usiwausishe waslam apo awapo kabisa,Sio team tetea...team logic..
Ndege za wazungu mbugani hamlalamiki...
Ndege za wachina mbugani hamlalamiki huku inajulikana wachina ndo walanguzi wakubwa wa meno ya tembo duniani....
Nyinyi mko bize na ndege za waarabu Tu ...hata kama ni hisia tu kuwa wanakuja kubeba wanyama...ushahidi hakuna lakini mnashupaza mashingo ...na mapovu yanawatoka.....
Hiyo narration kuwa Samia anawapendelea waarabu ni ya kipumbavu sana ...kama waarabu hawafai mngemwambia Magufuli awatimue au Mkapa awatimue ..
Samia kawakuta hao wawekezaji WA kiarabu wapo kisheria ..
Na Samia akimaliza mda wake akija Rais mwingine mkristo hata midege itue 100 huko mbugani mtanyamaza kimyaa Kwa unafiki wenu
Akili Yako sio nzuriZinaleta Watalii
Mgosi leteni picha hata moja narudia hata moja ya wanyama wanaibiwa.Bila hivyo itakuwa propoganda na uzushi usiokuwa na mbele wala nyuma.Hii picha kwenye hii mada utaona ni ndege ndogo charter ndio kweli mnataka kutuaminisha zinabeba wanyama.Mmetufanya mazezeta wasiotumia akili??Ila hujanijibu swali langu. Maana kuna twiga, na wanyama wengine walishawahi kupandishwa kwenye ndege kule KIA enzi za JK, na kupelekwa Uarabuni.
Atatoa hata utumboHahahahahah hadi anye dah,mavi yenyewe yatatoka wap wakat hata kula yake shida
Mkapa na Magufuli ndiyo walikuwa wasafi? Si ni hao hao CCM wanaotuumiza kila siku?Waarabu wa Loliondo wapo toka Rais ni Mwinyi ..kama wangekuwa wanavunja sheria Mkapa alipoingia madarakani mbona hakuwatimua?
Why Magufuli nae hakuvunja mikataba na hawa sasa?..
Majungu ndo meengi kuliko uhalisia .....
Jamaa tokea 2009 wanapeleka ndege kubwa ndiyo kipindi cha jkUpuuzi tu. Ka private jet ka kawaida halo ka matajiri wamekuja kutembea.
Kuna shida yeyote ndege kuruka kwenye pori tengefu?Maasai walituma ushahidi wa ndege kubwa isiyo na alama ikitua na kuruka kutoka Pololeti
View attachment 2473424
We lijenzi lyane lkn welipukupuku.Acheni kupandikiza uongo na kuichonganisha serikali yetu kwa Ajenda zenu za Siri, Sasa hapo hiyo ndege IPO wapi? Wanyama wanao bebwa wapo wapi? Ni ndege aina gani? Kutoka nchi gani? Kwa utambulisho wa kutoka shirika gani la ndege? Wanyama wapo wapi hapo? Mbona hatuonyeshwi hao wanyama? Mbona hatuonyeshwi wakipandishwa kwenye ndege? Mbona hatuonyeshwi ndege ikitua na kupaa?
Huu uongo unawasaidia Nini? Mnalengo gani na serikali yetu? Mnapata faida gani kuichafua serikali yetu? Mnamlenga Nani kumchafua? Kwa masilahi ya Nani? Nani anawdfadhiri huu upotoshaji?
Iacheni serikali yetu ifanye kazi za kututumikia watanzania ,hizi propaganda za kitoto hazitawafikisha popote pale na hamtaweza kuichonganisha serikali yetu na sisi wananchi
Kwa hiyo pori tengefu maana yake kuibiwa wanyama pori🤣Maasai walituma ushahidi wa ndege kubwa isiyo na alama ikitua na kuruka kutoka Pololeti
View attachment 2473424
MUNGU halindi wajinga!Mungu uilinde nchi hii.
Yanayotokea kwenye mapori tengevu ni wizi mtupu!Kwa hiyo pori tengefu maana yake kuibiwa wanyama pori🤣