DENG XIAOPING
JF-Expert Member
- Mar 6, 2022
- 2,396
- 2,598
-Ndege za kivita za china na urusi zilifanya mazoezi ya pamoja katika bahari ya Japan na bahari ya china mashariki siku ya jumanne ya tarehe 24 May 2022 wakati viongozi wa “Quad”walipokutana Tokyo, waziri wa ulinzi wa Japan alisema.
- Nobuo kishi alisema Tokyo imeeleza “wasiwasi mkubwa” kwa urusi na china juu ya safari za ndege, ambazo zilifanyika wakati viongozi kutoka Amerika[U.S.A], India, Australia na Japan wakifanya mazungumzo juu ya usalama wa kikanda.
- “Wakati jumiaya ya kimataifa inajibu uchokozi wa urusi dhidi ya Ukraine, ukweli kwamba china ilichukua hatua hiyo kwa ushirikiano na urusi ambayo ni mchokozi, ni sababu ya wasi wasi haiwezi kupuuzwa".Al-Arabiya iliripoti
Credit: @Dondookimataifa/Instagram