Ndege za kivita za China na Urusi zafanya mazoezi ya pamoja

Ndege za kivita za China na Urusi zafanya mazoezi ya pamoja

Waache waendelee kufanya mazoea ya pamoja lakini hata mchina na mrusi waungane hawawezi kumpiga mmarekani.
Mmarekani anambinu nyingi sana.
 
Pale urusi anapigana na NATO nzima Kwa sababu NATO wanata mbinu na silaha Kwa Ukraine na bado Russia anaendelea kuchukua maeneo msijitoe akili aisee
Mpaka sasa Russia hajui hata analolitaka huko Ukraine. Wewe unajua anataka nini huko!?
 
Back
Top Bottom