JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,191
- 8,490
Sio ujinga. mtu anapomsifia mwanaume mmoja kuhusu mambo ya faragha na kumponda mwingine ni wazi mtu huyo kama ni mwanaume basi ana tabia za kichoko (yaani bwabwa) au kama ni mwanamke basi anatamani awe mke/mchepuko wa huyo anayemsifia.Punguza ujinga matusi ya nn?
Na hiko ndicho ulichofanya kwenye post yako namba 68. Mimi nimefanya conclusion tu.