Ndege za kivita za China na Urusi zafanya mazoezi ya pamoja

Ndege za kivita za China na Urusi zafanya mazoezi ya pamoja

Wewe wa huko Gongolamboto unataka kusema unaakili kuliko warusi kwamba hawajui wanachokitaka?acha kujiaibisha aisee.
Haya wewe wa hapo Moscow naomba unisaidie waRussi wenzako wanataka nini hasa hapo Ukraine.
 
Katafiti mbona mambo yapo wazi.Russia ni nchi kubwa Sana kisanyansi,kiinteligensia na kiuchumi pia.hawawezi kuanzisha vitu ovyoovyo.
Hizi ulizoandika hapa ni porojo tu. Au wewe Mrussia koko!? Unaniambia nikatafiti wakati wewe mRussia wa Moscow upo! Ni nini mnatafuta huko Ukraine!? Au na wewe ni Mrussia wa tandale kwa tumbo!?
 
Haya wewe wa hapo Moscow naomba unisaidie waRussi wenzako wanataka nini hasa hapo Ukraine.
Tunataka kumwadabisha huyo Zele amezidi kiburi😀😀 Halafu huyo Zele anawakaribisha 'wachawi' wa NATO na kuweka tunguli zao pale ili 'kutuloga' sisi...hatuwezi kukubali...
 
Russia hawa hawa wanaoendelea kuhangaishwa na kale kamkoa ka Ukraine!?
If you know you know
Screenshot_20220525-084330.jpg
 
Unajua Baiden amemzidi putin zaidi ya miaka 15.
Putin bado ana lipa bwana si unaona ana mpaka mchepuko ?sasa kababu Baiden mchepuko katauweza kama akajajifia kitandani?[emoji1][emoji3][emoji2][emoji1][emoji3][emoji2]
Ni wazi unatamani Putin awe bwana wako. Sio mbaya yule anaruhusiwa kuwa na mke zaidi ya mmoja.
 
Tunataka kusababisha huyo Zele amezidi kiburi😀😀 Halafu huyo Zele anawakaribisha 'wachawi' wa NATO na kuweka tunguli zao pale ili 'kutuloga' sisi...hatuwezi kukubali...
Ujinga mwingine huu. Ukraine sio taifa huru!?
 
Back
Top Bottom