Ndege za kivita za China na Urusi zafanya mazoezi ya pamoja

Ndege za kivita za China na Urusi zafanya mazoezi ya pamoja

Tulia ww, haya mambo yalianza Japan, Vietnam, Iraq, Palestina, Libya nk na mlikua kimya tu na sometimes kufurahi na kejeli juu, leo tuna mazoezi yetu tunapasha imekua kelele sio
Watu huwa wanasema Mungu NI wetu sote huwa anajibu kwa kila mmoja na wakati wake muda wao wa kuteseka Libya, Syria,Iraq, Palestine,Congo,Yemen, Afghanistan,n.k ulipita na unaendelea muda wa kuteseka wengine ni Sasa hivyo tu .
 
-Ndege za kivita za china na urusi zilifanya mazoezi ya pamoja katika bahari ya Japan na bahari ya china mashariki siku ya jumanne ya tarehe 24 May 2022 wakati viongozi wa “Quad”walipokutana Tokyo, waziri wa ulinzi wa Japan alisema.

- Nobuo kishi alisema Tokyo imeeleza “wasiwasi mkubwa” kwa urusi na china juu ya safari za ndege, ambazo zilifanyika wakati viongozi kutoka Amerika[U.S.A], India, Australia na Japan wakifanya mazungumzo juu ya usalama wa kikanda.

- “Wakati jumiaya ya kimataifa inajibu uchokozi wa urusi dhidi ya Ukraine, ukweli kwamba china ilichukua hatua hiyo kwa ushirikiano na urusi ambayo ni mchokozi, ni sababu ya wasi wasi haiwezi kupuuzwa".Al-Arabiya iliripoti

View attachment 2237105

Credit: @Dondookimataifa/Instagram

View attachment 2237108
Ndege moja hapo kama ya abiria.😂

Mitambo ya US inaangusha hizo kama embe juu ya mti.
 
Back
Top Bottom