Ndege za kivita za China na Urusi zafanya mazoezi ya pamoja

Katika kuonyesha mshikamano thabiti na usioyumba,ndege za vita za china na russia zimeruka kwa takribani siku nzima,karibu na anga ya japan na ya korea kusini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…