Ndege za mizigo za kijeshi za Urusi zinapeleka silaha Iran

Pia Iran wana mkataba wa kiulinzi na Urusi, yeyote atakayemshambulia Iran Urusi anaingia kulinda mkataba… unaogopa nini sasa si kila siku unasema Iran hawana lolote na kusifia jeshi mashoga la Israel.
Huo mkataba ulisainiwa lini?, maana kijukuu cha Ibrahimu kimeua mno viongozi wa kiislam hapo hapo iran😳😳😳
 
Pia Iran wana mkataba wa kiulinzi na Urusi, yeyote atakayemshambulia Iran Urusi anaingia kulinda mkataba… unaogopa nini sasa si kila siku unasema Iran hawana lolote na kusifia jeshi mashoga la Isra
Inawezekana Iran amenunua silaha hizo kama Israel alivyonunia kwa USA. Ila sasa silaha za kupewa sidhani kama Iran atamshinda Israel, Rusia na silaha zao zote wameshindwa kummaliza vita Ukraine.
 
Inawezekana Iran amenunua silaha hizo kama Israel alivyonunia kwa USA. Ila sasa silaha za kupewa sidhani kama Iran atamshinda Israel, Rusia na silaha zao zote wameshindwa kummaliza vita Ukraine.
Hayo ya kushinda siyo muhimu kwa sasa muhimu vita vianze tu heshima iwepo watu wanataka kuona Tev Aviv majengo na maiti zionekane kama wao wanavyofanya Gaza na sehemu zingine.
 
Russia ni bogus sana, wanaisaidia Iran wakati na wenyewe wamesha nyang'anywa ardhi na Ukraine huo si ni unafiki kabisa.
Hamna msaada hapo Russia anauza silaha kwa yeyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…