Ndege za mizigo za kijeshi za Urusi zinapeleka silaha Iran

Ndege za mizigo za kijeshi za Urusi zinapeleka silaha Iran

Kwa hiyo Putin anamtumia Iran ku-target US through Israel? Kwamba Iran na Israel ni nyasi tu mafahali wanajulikana?
Kwani ulikuwa hujui wenzetu wanapenda Ardhi zao na raia wao, vita vya 3 vya dunia vinaanzia mashariki ya kati
 
Hii mikwara ifike mwisho sasa, japo vita si nzuri ila wangezichapa ili tuone panapovuja
 
Hakuna vita hapo mtasubiri sana hadi mtachoka nendeni kwenye shughuli zenu.
 
Russia ni bogus sana, wanaisaidia Iran wakati na wenyewe wamesha nyang'anywa ardhi na Ukraine huo si ni unafiki kabisa.
mkuu bado hujiulizi kitakachowapata hao walima ngano!!
yaani wamevamia lkn watu bado wanapeleka siraha kwingine yani hawajali uvamizi wa ukrine ndani ya russia WE HUOGOPI?
 
Back
Top Bottom