Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Bendera nyekundu bado inapepea?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walipeleka silaha ukraineLet's wait and see. But Jerusalem wana special agreement na Moscow.
Yaani wewe ambae hata mfumo wenu wa elimu ni mbovu ambao umezalisha watu kama wewe,mfumo ambao umeshindwa hata kuzalisha wasomi wenye tija, then una iita Russia bogus??Russia ni bogus sana, wanaisaidia Iran wakati na wenyewe wamesha nyang'anywa ardhi na Ukraine huo si ni unafiki kabisa.
Kabisa...uzandiki mkubwa huoRussia ni bogus sana, wanaisaidia Iran wakati na wenyewe wamesha nyang'anywa ardhi na Ukraine huo si ni unafiki kabisa.
We kilaza Iran kamsaidia Mrusi kupambana na hayo mashoga. Mrusi lazima atasimama naye pia. Sa lile taifa lenu mbona linasaidiwa kila kukicha hamsemi 😄Russia ni bogus sana, wanaisaidia Iran wakati na wenyewe wamesha nyang'anywa ardhi na Ukraine huo si ni unafiki kabisa.
Hata me nahisi hivyo Aisee!Let's wait and see. But Jerusalem wana special agreement na Moscow.
Hahaha tulia ayotolah wa bongo Iran hatokuangushaTunasubiria maana huku kijiweni sisi timu Iran tunakaa kinyonge mimi nimechimba watu mkwara kama vile ndio naenda front line
Kwa vita hawawezi labda ushindi wa kishoga, taifa la kuingiliana wanaume kwa wanaume hilo.Israel ishashinda vita hii tiyari
Mkuu hio Israel kila siku inaombewa msamahaBendera nyekundu bado inapepea?!
Wenzako wanaomba msamaha afu unawashauri ujinga .Namshauri ISRAEL iuwe wote isiangalie raia wala wagonjwa namana wakikua wanakua magaid
Nakazia.Namshauri ISRAEL iuwe wote isiangalie raia wala wagonjwa namana wakikua wanakua magaid
Bila shaka!Uko nyuma ya wakati.
😒😟😒😟😁😂😂Kipofu anapomuongoza kipofu mwenzie...😄😄😄😄
Alirusha 300Iran atupe kombora tuu, ndo tujue mbabe kweli. 😁
Inaombewa msamaha na nani?!Mkuu hio Israel kila siku inaombewa msamaha
Ila nyie waisrael wa maji matitu kwa mtogole ni majeuri mtawaponza wenzenu