W Wakuvelumba JF-Expert Member Joined Feb 22, 2024 Posts 279 Reaction score 488 Aug 15, 2024 #61 dudus said: Kwa hiyo Putin anamtumia Iran ku-target US through Israel? Kwamba Iran na Israel ni nyasi tu mafahali wanajulikana? Click to expand... Kwani ulikuwa hujui wenzetu wanapenda Ardhi zao na raia wao, vita vya 3 vya dunia vinaanzia mashariki ya kati
dudus said: Kwa hiyo Putin anamtumia Iran ku-target US through Israel? Kwamba Iran na Israel ni nyasi tu mafahali wanajulikana? Click to expand... Kwani ulikuwa hujui wenzetu wanapenda Ardhi zao na raia wao, vita vya 3 vya dunia vinaanzia mashariki ya kati
Digaller JF-Expert Member Joined Oct 20, 2009 Posts 798 Reaction score 541 Aug 15, 2024 #62 Hii mikwara ifike mwisho sasa, japo vita si nzuri ila wangezichapa ili tuone panapovuja
I Imeloa JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 14,885 Reaction score 18,083 Aug 15, 2024 #63 Hakuna vita hapo mtasubiri sana hadi mtachoka nendeni kwenye shughuli zenu.
dem boy JF-Expert Member Joined Nov 4, 2016 Posts 6,580 Reaction score 15,739 Aug 15, 2024 #64 Imeloa said: Russia ni bogus sana, wanaisaidia Iran wakati na wenyewe wamesha nyang'anywa ardhi na Ukraine huo si ni unafiki kabisa. Click to expand... mkuu bado hujiulizi kitakachowapata hao walima ngano!! yaani wamevamia lkn watu bado wanapeleka siraha kwingine yani hawajali uvamizi wa ukrine ndani ya russia WE HUOGOPI?
Imeloa said: Russia ni bogus sana, wanaisaidia Iran wakati na wenyewe wamesha nyang'anywa ardhi na Ukraine huo si ni unafiki kabisa. Click to expand... mkuu bado hujiulizi kitakachowapata hao walima ngano!! yaani wamevamia lkn watu bado wanapeleka siraha kwingine yani hawajali uvamizi wa ukrine ndani ya russia WE HUOGOPI?
Ritz JF-Expert Member Joined Jan 1, 2011 Posts 51,303 Reaction score 40,190 Aug 15, 2024 Thread starter #65 Kididimo said: Siyo kweli. Ni masuala ya kibiashara, na kiuchumi tuu. Click to expand... View: https://x.com/zainabali_72/status/1823799644570476771?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Kididimo said: Siyo kweli. Ni masuala ya kibiashara, na kiuchumi tuu. Click to expand... View: https://x.com/zainabali_72/status/1823799644570476771?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw