Ndekrepha
JF-Expert Member
- Jun 4, 2020
- 1,506
- 2,660
Hivi nimekuambia hakuna direct flights?!
Unaelewa mtu anaposema direct flights?! Ina maana unajifanya hujui au ni kweli hujui kwamba kutoka Tanzania kwenda nchi nyingi tu duniani mtu unalazimika kwenda kupanda ndege Nairobi, au kuondoka Dar hadi Addis Ababa kisha kule ndo unabadilisha ndege?!
Acheni kuleta ushabiki... Jomo Kenyatta ina routes nyingi zaidi za kimataifa na direct routes than JNIA na KIA combined!!
Wewe ndio hujaelewa kumbe impacts ya hii ishu, Kwanza tuseme Jomo ilikuwa famous na hub ya usafiri kabla ya improvement kwenye uwanja wetu. Saiv tuna uwanja bora na wenye facilities za kutosha kuliko hiyo Jomo. Na mashirika ya ndege yanakuja kwa kasi sasa TZ baada ya kuona uwekezaji huo mkubwa kwenye sekta ya anga. Utalii upo juu zaidi Tz hivyo tayari kuna soko la kutosha kutengeneza usafiri kuwa mkubwa na kushift hub from ke to TZ.
Halafu unavyotetea huo uamuzi umeshajiuliza kama TZ nayo ika reciprocate kufunga anga lake kwa wakenya nani ata athirika zaidi? Kenya inacheza tu haiwezi kushikilia huo msimamo wake kamwe.