Ndege za Tanzania zapigwa marufuku kutua viwanja vya Kenya kutokana na janga la Corona

Ndege za Tanzania zapigwa marufuku kutua viwanja vya Kenya kutokana na janga la Corona

Hivi nimekuambia hakuna direct flights?!

Unaelewa mtu anaposema direct flights?! Ina maana unajifanya hujui au ni kweli hujui kwamba kutoka Tanzania kwenda nchi nyingi tu duniani mtu unalazimika kwenda kupanda ndege Nairobi, au kuondoka Dar hadi Addis Ababa kisha kule ndo unabadilisha ndege?!

Acheni kuleta ushabiki... Jomo Kenyatta ina routes nyingi zaidi za kimataifa na direct routes than JNIA na KIA combined!!

Wewe ndio hujaelewa kumbe impacts ya hii ishu, Kwanza tuseme Jomo ilikuwa famous na hub ya usafiri kabla ya improvement kwenye uwanja wetu. Saiv tuna uwanja bora na wenye facilities za kutosha kuliko hiyo Jomo. Na mashirika ya ndege yanakuja kwa kasi sasa TZ baada ya kuona uwekezaji huo mkubwa kwenye sekta ya anga. Utalii upo juu zaidi Tz hivyo tayari kuna soko la kutosha kutengeneza usafiri kuwa mkubwa na kushift hub from ke to TZ.

Halafu unavyotetea huo uamuzi umeshajiuliza kama TZ nayo ika reciprocate kufunga anga lake kwa wakenya nani ata athirika zaidi? Kenya inacheza tu haiwezi kushikilia huo msimamo wake kamwe.
 
Mkuu umeshawahi kusafiri na ndege nje ya Tanzania?
 
Kama dunia inaweza kututenga kwa nini unawashutumu wakenya kwa unafiki peke yao?

Haiwezekani kuwa dunia yote ndiyo labda ni wanafiki isipokuwa sisi?

Ndugu yako akiwa na mapungufu, wa kwanza kumsitiri ni nani kati ya watu wa mbali au wewe ndugu yake!?

Wakenya hawakupaswa kuitangazia dunia jambo kama hili! Walipaswa kudeal na sisi kindugu yaan kaka yako anaumwa UKIMWI na kweli alifanya umalaya kwa makusudi lakini ni lazima umuuguze!
 
Lazima Bwana yule atalipiza tena muda sio mrefu.
Hakuna kulipiza sababu Kenya hawawazuia watu kutoka Tanzania pekee.
Orodha ina nchi 11 wakati Afrika ina nchi zaidi ya 50 na dunia nzuma ina nchi nyingi sana, bado kuna nchi za Ulaya nyingi tu hazipo kwenye hiyo orodha.
Sioni tatizo lolote wao kufanya walichofanya, sisi tunaruhusu wote na faida inakuwa kwetu maana wanakuja na pesa za kigeni.
 
Kwa hiyo mkuu na wewe unaamini kuwa bado Corona ipo Tanzania na inaua watu? Hao watu wanazikwa wapi mbona Mimi siwaoni mtaani kwetu? Hata ndugu zao hao watu nao mbona hatusikii wakisema chochote? Au Mimi niko Tanzania nyingine.

Kwahiyo wewe unashinda kwenye makaburi yote Tanzania ?.Unataka kuniambia kazi yako ni kuuliza ndugu waliofiwa na wapendwa wao.
 
Kwa hiyo kupitia hiyo tweet ndio tayari una amini kwamba corona ipo Tanzania? Mimi nimekwambia ugonjwa sio kitu cha kuficha leta updates hospital iliyo jirani na wewe wamelazwa watu wangapi na vifo vingapi vimetokea. Simple tu mkuu.

Nadhani umeona heka heka ya huo uigonjwa kwa hizo nchi nyingine jinsi hospitali zimejaaa na vifo vinatokea. Sasa kwa Tanzania hali iko vipi?
Kwahiyo ulitaka niwabebe wagonjwa wa corona nikuletee uwaone, au?!!

Ajabu ni kwamba, bado unataka nikuamini wewe ambae huna ushahidi wowote kwamba hakuna corona?! Unataka nimuamini JPM wakati kila mmoja anajua TZ haifanyi testing yoyote?!

Btw, hizo heka heka za huko mahospitalini utazionea wapi wakati vituo vyote vimefungwa, na hata ukienda hospital na dalili zote za covid-19 unaambiwa kaugulie nyumbani?!

Unajua mambo mengine ni ya kutumia common sense!!
Covid.png

Yaani COVID-19 cases zilipanda from around 300 on April 29 to 509 on May 09 lakini GHAFLA tu, CORONA ikatoweka!!!!
 
Kuna zile zinazotoka Tanzania kupitia Kenya mkuu. Nazo zimepigwa ban vilevile
Kupita Kenya kuelekea wapi? Kama hujui Ndege zao nyingi kuelekea Malawi, Zimbabwe, Zambia, Botswana, Rwanda na Burundi Lazima ziingie anga la Tanzania. Pia wanatua Mara nyingi kwa siku katika viwanja vya TZ (Dar, Kilimanjaro & Zanzibar) mfano, wastani wa Mara 42 kwa wiki pale JNIA tu
 
Kwahiyo ulitaka niwabebe wagonjwa wa corona nikuletee uwaone, au?!!

Ajabu ni kwamba, bado unataka nikuamini wewe ambae huna ushahidi wowote kwamba hakuna corona?! Unataka nimuamini JPM wakati kila mmoja anajua TZ haifanyi testing yoyote?!

Btw, hizo heka heka za huko mahospitalini utazionea wapi wakati vituo vyote vimefungwa, na hata ukienda hospital na dalili zote za covid-19 unaambiwa kaugulie nyumbani?!

Unajua mambo mengine ni ya kutumia common sense!!
View attachment 1522629

Yaani COVID-19 cases zilipanda from around 300 on April 29 to 509 on May 09 lakini GHAFLA tu, CORONA ikatoweka!!!!

Katika kutumia common sense sasa ndio useme hali ya ugonjwa iko vipi hapa nchini. Yani watu wana ambiwa wakaugulie nyumbani? Hizo oksijeni wanafungiwa huko nyumbani?

Kuwa serious mkuu, unaielewa covid mziki wake vizuri kweli?
 
Basi ndiyo maana, ipo sababu moja kubwa sana ya Kenya kuwa juu kwa usafiri wa anga kuliko Tanzania. Pia Tanzania direct flight yake ni moja na inaenda moombay na ni wastani wa masaa matano kutokea bongo hadi huko. Ili uwe na channel ya flight connections inakuhitaji kufanya kazi ya ziada na kwa Afrika wanaounga ni South Africa, Ethiopia, Kenya na Rwanda hao ndiyo popular. Niliwahi kusafiri na watu wa Ghana na nilishangaa kuona wana connect flight Addis Ababa! Mambo ya ndege siyo kama Magufuli anavyokuaminisha. Futa kabisa hayo mawazo
 
Wakenya watuamini tu,tunaposema Tanzania hatuna mgonjwa wa korona wala washukiwa, wawe wanatuamini. Tudanganye ili iweje
 
Usiwe mpumbavu! Yani Mkapa afe kwa corona alafu system iruhusu viongozi wakuu wakae kihasara namna ile ikiwemo kumkumbatia mjane?

Wanakunywa kitu cha Madagaska hawana wasiwasi.
 
Basi ndiyo maana, ipo sababu moja kubwa sana ya Kenya kuwa juu kwa usafiri wa anga kuliko Tanzania. Pia Tanzania direct flight yake ni moja na inaenda moombay na ni wastani wa masaa matano kutokea bongo hadi huko. Ili uwe na channel ya flight connections inakuhitaji kufanya kazi ya ziada na kwa Afrika wanaounga ni South Africa, Ethiopia, Kenya na Rwanda hao ndiyo popular. Niliwahi kusafiri na watu wa Ghana na nilishangaa kuona wana connect flight Addis Ababa! Mambo ya ndege siyo kama Magufuli anavyokuaminisha. Futa kabisa hayo mawazo

Asante kwa maelezo mazuri. Pia tambua inawezekana hivyo kwa sababu ya KQ, ila umeshajiuliza kwa uamuzi huo itakuwaje TZ ikaizuia KQ kuja bongo nani ata athirika zaidi? Kwamb kuwe na link ya Bole to Dar airport. ATCL na Ethiopia wafanye hiyo service. Nani anamuhitaji mwenzie zaidi katika usafiri wa anga kati ya TZ na ke?
 
Wewe ndio hujaelewa kumbe impacts ya hii ishu, Kwanza tuseme Jomo ilikuwa famous na hub ya usafiri kabla ya improvement kwenye uwanja wetu. Saiv tuna uwanja bora na wenye facilities za kutosha kuliko hiyo Jomo. Na mashirika ya ndege yanakuja kwa kasi sasa TZ baada ya kuona uwekezaji huo mkubwa kwenye sekta ya anga. Utalii upo juu zaidi Tz hivyo tayari kuna soko la kutosha kutengeneza usafiri kuwa mkubwa na kushift hub from ke to TZ.

Halafu unavyotetea huo uamuzi umeshajiuliza kama TZ nayo ika reciprocate kufunga anga lake kwa wakenya nani ata athirika zaidi? Kenya inacheza tu haiwezi kushikilia huo msimamo wake kamwe.
Ndo maana nikakuuliza kwamba:-
Kwani ukishakuwa na world class airport ndo basi tena wageni wanaweza kuingia kutoka popote pale duniani kama kufumba na kufumbua hata kama hakuna direct route kutoka destination husika?!
Hujajibu hilo swali! Na hakuna aliyekataa kwamba hakuna mashirika yanayotumia JKIA lakini usidhani international rooutes zinaanzishwa kirahisi rahisi tu kama unavyodhani!

Hizo daladala zenyewe huwezi tu kwenda pale SUMATRA ukatarajia utapewa route unayoitaka kama unavyoenda Kariakoo kuulizia shati utakalo, seuze international routes!!

And this's not all about Airline X kutaka Route Y, but it's all about business! Airline haiwezi tu kuanzisha safari mpya to TZ simply Tanzania finally wana uwanja mkubwa but watakachofanya ni kuangalia business potential in the region!!! Na huwezi tu kuanzisha direct route kwa kutegemea Watalii wa Msimu kama nchi husika hakuna enough socio-economic activities zinazovutia wageni throught the air!!

Ni kutokana na ukweli huo ndio maana mashirika mengi ya ndege yanafanya collabo ya kutoa abiria from Airport X to Airport Y kwenda kubadili ndege!!!

Na utakuwa unajidanganya kweli kweli kama unadhani eti kwavile hivi sasa tuna uwanja mkubwa zaidi ndo tayari JNIA kwa sasa inapokea wageni wengi zaidi kuliko uwanja wowote ule East Africa!!

Baada ya kwa East Africa, bado Bole International Airport iko mbali sana, huku wakifuatiwa na Jomo Kenyatta, na ndipo inakuja JNIA!
 
Back
Top Bottom