Kwani sisi tumewakosea nini?kama mbwai na iwe mbwai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani sisi tumewakosea nini?kama mbwai na iwe mbwai
Ama kwa hakika mambo si shwari. Naona ndege za Tanzania nazo zimeanza kupata hitilafu kama ile ya Kenya
---
Akizungumza jijini Nairobi wakati akitoa taarifa kuhusu mwendendo wa maambukizi ya janga la Covid-19 nchini Kenya, Waziri wa Usafirishaji James Macharia amesema kuwa anga la Kenya halitafunguliwa kwa kila mtu. Orodha ikionesha wazi Tanzania ikiwa si mmoja wa nchi inayokaribishwa kwenye anga ya Kenya.
Macharia amesema ni raia wa nchi 11 pekee wa kigeni ndio watakaoruhusiwa kutua Kenya katika viwanja vyake vinne vya kimataifa vilivyopo Nairobi, Mombasa, Eldoret na Kisumu.
Nchi zilizoruhusiwa ni China, Korea Kusini, Japan, Canada, Zimbabwe, Ethiopia, Switzerland, Uganda, Rwanda, Namibia na Morocco.
Waziri huyo amesema nchi hizo zimedhibiti janga la Covid- 19 kwa kiasi cha kuridhidha.
Amesema nchi hizo zimepunguza maambukizi ya ugonjwa huo na raia wake wamekuwa wakipata dalili za kawaida za ugonjwa wa mfumo wa upumuaji.
''Tutaendelea kuboresha orodha yetu kwa kutegemea na hali ilivyo na mazingira. Hii ni orodha yetu kwa leo tutaipitia tena kesho na siku zinazokuja.''
''Abiria wote watakaowasili kwa ndege za kimataifa wakiwa na hati zinazoonesha kuwa hawana dalili za Covid-19 na wale waliopima saa 96 kabla ya safari hawatakaa karantini,'' alisema.
Mara tu orodha ilipotolewa, Wakenya kwa haraka waligundua kuwa Tanzania haimo.
Siku ya Jumatatu tarehe 27 mwezi Julai, Rais Uhuru Kenyatta alitoa kauli ambayo haikuilenga Tanzania moja kwa moja kuwa Kenya haifichi idadi ya watu wenye maambukizi ya Covid-19.
''Sisi tuko wazi na tunajua fika kuwa ugonjwa huu upo tofauti na majirani zetu ambao wanauficha ukweli huu,'' alisema Rais Kenyatta.
Chanzo: BBC
Kwaiyo Mkapa uliambiwa anaishi milele, aliyekimbilia kafa Kwa corona ninani? Ndio maana aliwaita Marofa na wapumbavu.Babu yako kafa juzi. Sababu unaijua? Na kilichowazuia kuja kuzika unakijua. Think critically. Wana lumumba bwana, pumba tupu
Aliyemshauri Uhuru kamshauri ujinga,utaona nani atakayeomba msamaha kwenye hiliKuna zile zinazotoka Tanzania kupitia Kenya mkuu. Nazo zimepigwa ban vilevile
partner airlines appliesHii imekaeje wadau, kenya wamezuia flights from Tz lkn ndege yao ukiingia mtandao wao bado wanakatisha ticket, au shida ni kutuhujumu tu ili dunia ijue tz sio salama?
Kwaiyo Mkapa uliambiwa anaishi milele, aliyekimbilia kafa Kwa corona ninani? Ndio maana aliwaita Marofa na wapumbavu.
[/QUOTEA
Akili zenu wote ziko sawa na babu yako lofa. Ndiomaana alishindwa kufuata taratibu za kuepuka mikusanyiko hatimae akakutana na tatizo lakushindwa kupumua. Tumeeleza sana taratibu za kujikinga lakini mlivyomalofa hamsikii. mlienda na kijani yenu huko mkapakaa wadudu.
Partner wa KQ kwa Dar-NBO segment unamjua?partner airlines applies
Still doen't make sense!partner airlines applies
A vulture is a patient bird