Ndege zilizonunuliwa na Hayati Dkt. Magufuli zina kazi gani?

Ndege zilizonunuliwa na Hayati Dkt. Magufuli zina kazi gani?

El ohinu

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2020
Posts
242
Reaction score
412
Habari wakuu,

Nauliza zile ndege zilizonunuliwa kwa mbwembwe na kejeli nyingi kwa wapinzani kwamba ni wapingaji

Ndege ambazo CAG alisema hazjawahi kuingza faida ila hasara tu maana yake znaendeshwa kwa pesa ya mlipa kodi wa miamala ya simu nk

Ndege hizi zmetengenezwa kwa matumizi ya kibiashara yaani kusafirisha abiria na si matumizi private.

Sa kinachonishangaza ndege ya Airbus ya abiria zaidi ya 200 inatumiwa na rais kufanyia route nje ya nchi wakati nakumbuka kuna ndege ya rais mwenda zake alisema iboreshwe iwe ya abiria maana yake haikutengenezwa kwaajili ya biashara kama hizi Airbus.

Hivi ni kweli ndege hizi za kibiashara zimekuwa za matumizi ya viongozi wakati hata kwa matumizi ya kibiashara zimeleta hasara kubwa sana toka zmenunuliwa.

Naomba wenye uelewa wanieleweshe povu na matusi ruksa [emoji135]

sam.jpg
 
Zinarahisisha mizunguko kama bodaboda,wekazana kunywa maji ya madimbwi.Sema Hoyeeee
 
Kazi ipi mkuu,

Maana kazi yake ni kwaajili ya kusafirisha abiria kibiashara na si vingnevyo.

Ni sawa na ww ununue yutong ya abiria uanze kupga nalo route za kazini nyumbani ujue gharama ya kuliendesha na service ztakufanya uwe kuchaa kabisa.
Mama naye anakodi usijali na kulipa hela ndefu
 
Back
Top Bottom