Ndege zilizonunuliwa na Hayati Dkt. Magufuli zina kazi gani?

Ndege zilizonunuliwa na Hayati Dkt. Magufuli zina kazi gani?

Ni kweli ni hoja ya kipumbavu kwa mpumbavu lakin hii nchi si mali ya ccm na wajinga kama ww wakati umekaribia sn kuondoka madarakani kwa nguvu ama kwa kura hata KANU hawakuwahi kuwa na upeo kwamba ipo sku wakenya watawakataa hivyo hata ccm mko njia moja

Kuthibitisha hilo angalia kampeni za mwaka jana mwendazake alivyohaha kwa lissu mnayemtukana kila kukicha humu mara msaliti lakin ndiye alimtikisa mwendazake akiwa hana bango wala tv wala wasanii pch hiyo inathibtsha ni swala la muda mfupi mtaondoka haraka sn

Hoja ni ya kipumbavu maana hampo kwaajili ya maslahi ya watz bali maslahi yenu na ccm.
Una pumbu kichwani sio bureee.

"Mama anaupiga mwingi"imekuaje tena?
Mbona ghafla mnamugeuka mama.
 
Ndio zetu sio miaka ile tunakodisha kodisha halafu tunashindwa kulipa.
 
Màgufool kaiingiza hii nchi hasara ya mabilioni ya $$$$
 
Hata yeye magufuli aliwahi beba airbus akaenda nalo chato huko tena yeye ndo alisema ndege ya rais ifanywe ya abiria iboreshwe maana yake rais hana ndege matokeo yake ndo haya

Kuhusu angewafanya nn kama angefufuka ni kweli angewazngua ila tatzo alikuwa muongo muongo sana alisema znaleta faida na gawio juu wakati si kweli
we jamaa ni Mtz kweli!?... Maana kumtaja taja (kumlaumu/kumtusi) mtu aliekufa ni tabia mbovu ndg - huchokii du!
 
Imesharudi juzi ilikuwa imekwenda wapi hujui mwendazake alsema ifanyiwe matekebsho iwe ya abiria ili awe anaenda chato na hz airbus kwa ksngzio hana ndege
Ufahamu zako kuhusu hata ndege ni aina gani zilipelekwa Atcl ni mdogo mno hadi aibu sana. Bahati mbaya mwenyewe uelewi hilo!
 
Ndugu yangu wee. Una hoja nzuri sana sana. Magufuli angefufuka leo kitu alichomfanyia Lissu ndicho angewafanyia hawa wanaotembelea hizi ndege. Hata ndege iliyonunuliwa kwa ajili ya rais sasa wanaiona haifai. Ni wakati wa mama na wapambe wake kutanua sasa.
Kuna wakati simuelewi Rais Samia. Kama ndege ya rais mbovu si itengenezwe?
Niliona hadi imempeleka Kikwete Zambia.
Hata kama manunuzi hayakufuata utaratibu lkn ni kodi zetu, wangeziwekea utaratibu mzuri ili kuwanufaisha wananchi kuli rais kuzurura nazo kila siku
 
Ndege hizo zina kazi ya kumpakia Mama dikteta!
hivi huwa hakuna jina kwa dikteta wakike ? hili la kuanzia na dic kama la kiume zaidi haipendezi kumuita madam dictator na labada tumpe muda wa kujifunzakulingana na makosa yake nani ajuaye labda atakuwa our first beuty just like a famed chinese siren Xi Shi
 
Dikteta ni dikteta tu awe mwanaume au mwanamke kwa sababu udikteta ni mfumo wa utawala wa mabavu usiozingatia katiba wala sheria! Samia ni dikteta kwa asili na huenda mume wake anamvumilia kwa sababu ana mke mwingine!
 
Aisee ndio maana kazi ya urais wanalipwa mishahara mizito ... Wanasimangwa/tukanwa sana
 
Back
Top Bottom