Ndege zilizonunuliwa na Hayati Dkt. Magufuli zina kazi gani?

Naachana nazo vp wakati zle ndege magufuli hakutoa pesa yake mfukon kuznunua bali ni kodi ya watanzania wote
Ndugu yangu wee. Una hoja nzuri sana sana. Magufuli angefufuka leo kitu alichomfanyia Lissu ndicho angewafanyia hawa wanaotembelea hizi ndege. Hata ndege iliyonunuliwa kwa ajili ya rais sasa wanaiona haifai. Ni wakati wa mama na wapambe wake kutanua sasa.
 
Hata yeye magufuli aliwahi beba airbus akaenda nalo chato huko tena yeye ndo alisema ndege ya rais ifanywe ya abiria iboreshwe maana yake rais hana ndege matokeo yake ndo haya

Kuhusu angewafanya nn kama angefufuka ni kweli angewazngua ila tatzo alikuwa muongo muongo sana alisema znaleta faida na gawio juu wakati si kweli
 
Kwamba zikiruka bila kuwa na abiria wengi shirika halilipwi
Mkuu hivi ni kweli kabsa hujui kwamba kuna ndege za abiria na ndege za luxuries tu
Hzo ndege zkiruka bila abiria ndiyo ni hasara ndo yale madudu alisema CAG ili shirika lilipwe lazma ndege iwe na abiria maana nauli ndo chanzo cha kpato cha shirika je ni kweli serikali inamkodia rais ndege ile ili aende nayo popote ni nani analipa pesa hzo kama si uwongo ni nn

Maana ndege hzo si mali ya shirika bali shirika limekodshiwa na serikali na serikali inaziendesha kwa hasara tu tunaoumia ni sisi walipa kodi
 
Mama anazitumia kuupiga mwingi🤣🤸‍♂️🐒
 
Itafikia mahali msafara wa rais mseme uwe na gari tatu
 
Sjajua unamaanisha nn ndugu
Yan kuhoji matumiz ya ndege ya abiria kutumiwa kwny matumiz ya luxuries ndo kuonekana staki au hatutaki rais awe na msafara eti

Yan ndege zmetengenezwa kwaajili ya kufanyia biashara halafu serikali inabeba dege la abiria 200 kumtembeza rais kwny ziara zake

Hivi hii imewahi tokea wp jaman zle haziendeshwi kwa jasho la rais na wapambe wake bali kwa jasho la watz tena wengi wao maskin wa chn ya dola moja hata uji tu shida

Kama lengo ni rais awe na ndege si wasingetengeneza ya abiria bali ya luxuries ili itumiwe na rais maana tuliwahi nunua ndege ya rais tukambiwa hata tule nyasi ndege lazma inunuliwe
Watz tunaangamia kwa kuleta ushabiki shabiki hata kwny mambo yanayogusa taifa letu na sisi wenyewe
 
Habari wakuu
Nauliza zile ndege zilizonunuliwa kwa mbwembwe na kejeli nyingi kwa wapinzani kwamba ni wapingaji

Ndege ambazo CAG alisema hazjawahi kuingza faida ila hasara tu maana yake znaendeshwa kwa pesa ya mlipa kodi wa miamala ya simu nk

Ndege hizi zmetengenezwa kwa matumizi ya kibiashara yaani kusafirisha abiria na si matumizi private
Sa kinachonishangaza ndege ya airbus ya abiria zaidi ya 200 inatumiwa na rais kufanyia route nje ya nchi wakati nakumbuka kuna ndege ya rais mwenda zake alisema iboreshwe iwe ya abiria maana yake haikutengenezwa kwaajili ya biashara kama hizi airbus
Hivi ni kweli ndege hizi za kibiashara zmekuwa za matumizi ya viongozi wakati hata kwa matumizi ya kibiashara zmeleta hasara kubwa sana toka zmenunuliwa.

Naomba wenye uelewa wanieleweshe povu na matusi ruksa [emoji135]View attachment 1858579
Kumpeleka mama dodoma na kuja dsm kupaka wanja
 
Habari wakuu,

Nauliza zile ndege zilizonunuliwa kwa mbwembwe na kejeli nyingi kwa wapinzani kwamba ni wapingaji

Ndege ambazo CAG alisema hazjawahi kuingza faida ila hasara tu maana yake znaendeshwa kwa pesa ya mlipa kodi wa miamala ya simu nk

Ndege hizi zmetengenezwa kwa matumizi ya kibiashara yaani kusafirisha abiria na si matumizi private.

Sa kinachonishangaza ndege ya Airbus ya abiria zaidi ya 200 inatumiwa na rais kufanyia route nje ya nchi wakati nakumbuka kuna ndege ya rais mwenda zake alisema iboreshwe iwe ya abiria maana yake haikutengenezwa kwaajili ya biashara kama hizi Airbus.

Hivi ni kweli ndege hizi za kibiashara zimekuwa za matumizi ya viongozi wakati hata kwa matumizi ya kibiashara zimeleta hasara kubwa sana toka zmenunuliwa.

Naomba wenye uelewa wanieleweshe povu na matusi ruksa [emoji135]

Zipo parking mkuu
 
Luxury? Una naama Mama anabeba hizo ndege bure bila kulipa? Kama zinalipiwa kuna tatizo gani? Kakate tiketi au nenda www.airtanzania.co.tz utuambie kana haziruki
Yaan anamlipa nani wakati ndege hzo si mali ya shirika
Hzo pesa za kukodi dege la abiria zaid ya 200 anaztoa mfukoni mwake?
Na ndo maana zkawepo ndege za marais na abiria kwann walinunua za abiria tu wakati si kaz yake kutumiwa na rais si wangetengeneza moja ya rais

Eti mama analipia kwaiyo analipia dege la abiria afanyie ziara eti kwan ye hzo pesa za kulipia ni zake za mfukon eti
 
Habari wakuu,

Nauliza zile ndege zilizonunuliwa kwa mbwembwe na kejeli nyingi kwa wapinzani kwamba ni wapingaji

Ndege ambazo CAG alisema hazjawahi kuingza faida ila hasara tu maana yake znaendeshwa kwa pesa ya mlipa kodi wa miamala ya simu nk

Ndege hizi zmetengenezwa kwa matumizi ya kibiashara yaani kusafirisha abiria na si matumizi private.

Sa kinachonishangaza ndege ya Airbus ya abiria zaidi ya 200 inatumiwa na rais kufanyia route nje ya nchi wakati nakumbuka kuna ndege ya rais mwenda zake alisema iboreshwe iwe ya abiria maana yake haikutengenezwa kwaajili ya biashara kama hizi Airbus.

Hivi ni kweli ndege hizi za kibiashara zimekuwa za matumizi ya viongozi wakati hata kwa matumizi ya kibiashara zimeleta hasara kubwa sana toka zmenunuliwa.

Naomba wenye uelewa wanieleweshe povu na matusi ruksa [emoji135]

Ndio hizo kodi zinatafutwa kila kona kuchangia mafuta kwenye midege isiyo na faida.
 
Naona moja hapo wameamua kuigeuza Air Force one ya mama. Nchi hii ni Tajiri sana
 
Acheni wenge,
Juzi tu nimepanda Kilimanjaro-Dar na ilikiwa almost full, na wakati wa kurudi ni the same.

Businessiness inaendelea kama kawaida
 
Mabeberu wa South walipoikamata hii ndege, walilazimika kuiachia haraka baada ya 'kuaminishwa' kuwa ni ndege ya Rais.
If that is the case, ile ndege ya Mramba iuzwe, hela itakayopatikana waongezee kidogo kununua Bombadier au itolewe itumiwe na maafisa wa ngazi za juu wa serikali kuliko kuicha inapigwa na vumbi stoo!
 
Habari wakuu,

Nauliza zile ndege zilizonunuliwa kwa mbwembwe na kejeli nyingi kwa wapinzani kwamba ni wapingaji

Ndege ambazo CAG alisema hazjawahi kuingza faida ila hasara tu maana yake znaendeshwa kwa pesa ya mlipa kodi wa miamala ya simu nk

Ndege hizi zmetengenezwa kwa matumizi ya kibiashara yaani kusafirisha abiria na si matumizi private.

Sa kinachonishangaza ndege ya Airbus ya abiria zaidi ya 200 inatumiwa na rais kufanyia route nje ya nchi wakati nakumbuka kuna ndege ya rais mwenda zake alisema iboreshwe iwe ya abiria maana yake haikutengenezwa kwaajili ya biashara kama hizi Airbus.

Hivi ni kweli ndege hizi za kibiashara zimekuwa za matumizi ya viongozi wakati hata kwa matumizi ya kibiashara zimeleta hasara kubwa sana toka zmenunuliwa.

Naomba wenye uelewa wanieleweshe povu na matusi ruksa [emoji135]

Hoja ya kipumbavu kabisa
 
Hoja ya kipumbavu kabisa
Ni kweli ni hoja ya kipumbavu kwa mpumbavu lakin hii nchi si mali ya ccm na wajinga kama ww wakati umekaribia sn kuondoka madarakani kwa nguvu ama kwa kura hata KANU hawakuwahi kuwa na upeo kwamba ipo sku wakenya watawakataa hivyo hata ccm mko njia moja

Kuthibitisha hilo angalia kampeni za mwaka jana mwendazake alivyohaha kwa lissu mnayemtukana kila kukicha humu mara msaliti lakin ndiye alimtikisa mwendazake akiwa hana bango wala tv wala wasanii pch hiyo inathibtsha ni swala la muda mfupi mtaondoka haraka sn

Hoja ni ya kipumbavu maana hampo kwaajili ya maslahi ya watz bali maslahi yenu na ccm.
 
Back
Top Bottom