macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Ndugu yangu wee. Una hoja nzuri sana sana. Magufuli angefufuka leo kitu alichomfanyia Lissu ndicho angewafanyia hawa wanaotembelea hizi ndege. Hata ndege iliyonunuliwa kwa ajili ya rais sasa wanaiona haifai. Ni wakati wa mama na wapambe wake kutanua sasa.Naachana nazo vp wakati zle ndege magufuli hakutoa pesa yake mfukon kuznunua bali ni kodi ya watanzania wote
Halafu baada ya kuznunua akaanza kutudanganya znaingza faida na gawio eti eeehJPM kwa uthubutu aliofanya kununua ndege nampa ongera sana, yalikuwa maamuzi mazuri sana.
Roho yake ipumzike kwa Amani.
Hata yeye magufuli aliwahi beba airbus akaenda nalo chato huko tena yeye ndo alisema ndege ya rais ifanywe ya abiria iboreshwe maana yake rais hana ndege matokeo yake ndo hayaNdugu yangu wee. Una hoja nzuri sana sana. Magufuli angefufuka leo kitu alichomfanyia Lissu ndicho angewafanyia hawa wanaotembelea hizi ndege. Hata ndege iliyonunuliwa kwa ajili ya rais sasa wanaiona haifai. Ni wakati wa mama na wapambe wake kutanua sasa.
Kwamba zikiruka bila kuwa na abiria wengi shirika halilipwiHujaelewa swali langu
Je ndege hzo ni za kibiashara au ni za luxuries tu
Mkuu hivi ni kweli kabsa hujui kwamba kuna ndege za abiria na ndege za luxuries tuKwamba zikiruka bila kuwa na abiria wengi shirika halilipwi
Itafikia mahali msafara wa rais mseme uwe na gari tatuMkuu hivi ni kweli kabsa hujui kwamba kuna ndege za abiria na ndege za luxuries tu
Hzo ndege zkiruka bila abiria ndiyo ni hasara ndo yale madudu alisema CAG ili shirika lilipwe lazma ndege iwe na abiria maana nauli ndo chanzo cha kpato cha shirika je ni kweli serikali inamkodia rais ndege ile ili aende nayo popote ni nani analipa pesa hzo kama si uwongo ni nn
Maana ndege hzo si mali ya shirika bali shirika limekodshiwa na serikali na serikali inaziendesha kwa hasara tu tunaoumia ni sisi walipa kodi
Sjajua unamaanisha nn nduguItafikia mahali msafara wa rais mseme uwe na gari tatu
Kumpeleka mama dodoma na kuja dsm kupaka wanjaHabari wakuu
Nauliza zile ndege zilizonunuliwa kwa mbwembwe na kejeli nyingi kwa wapinzani kwamba ni wapingaji
Ndege ambazo CAG alisema hazjawahi kuingza faida ila hasara tu maana yake znaendeshwa kwa pesa ya mlipa kodi wa miamala ya simu nk
Ndege hizi zmetengenezwa kwa matumizi ya kibiashara yaani kusafirisha abiria na si matumizi private
Sa kinachonishangaza ndege ya airbus ya abiria zaidi ya 200 inatumiwa na rais kufanyia route nje ya nchi wakati nakumbuka kuna ndege ya rais mwenda zake alisema iboreshwe iwe ya abiria maana yake haikutengenezwa kwaajili ya biashara kama hizi airbus
Hivi ni kweli ndege hizi za kibiashara zmekuwa za matumizi ya viongozi wakati hata kwa matumizi ya kibiashara zmeleta hasara kubwa sana toka zmenunuliwa.
Naomba wenye uelewa wanieleweshe povu na matusi ruksa [emoji135]View attachment 1858579
Luxury? Una naama Mama anabeba hizo ndege bure bila kulipa? Kama zinalipiwa kuna tatizo gani? Kakate tiketi au nenda www.airtanzania.co.tz utuambie kana hazirukiHujaelewa swali langu
Je ndege hzo ni za kibiashara au ni za luxuries tu
Zipo parking mkuuHabari wakuu,
Nauliza zile ndege zilizonunuliwa kwa mbwembwe na kejeli nyingi kwa wapinzani kwamba ni wapingaji
Ndege ambazo CAG alisema hazjawahi kuingza faida ila hasara tu maana yake znaendeshwa kwa pesa ya mlipa kodi wa miamala ya simu nk
Ndege hizi zmetengenezwa kwa matumizi ya kibiashara yaani kusafirisha abiria na si matumizi private.
Sa kinachonishangaza ndege ya Airbus ya abiria zaidi ya 200 inatumiwa na rais kufanyia route nje ya nchi wakati nakumbuka kuna ndege ya rais mwenda zake alisema iboreshwe iwe ya abiria maana yake haikutengenezwa kwaajili ya biashara kama hizi Airbus.
Hivi ni kweli ndege hizi za kibiashara zimekuwa za matumizi ya viongozi wakati hata kwa matumizi ya kibiashara zimeleta hasara kubwa sana toka zmenunuliwa.
Naomba wenye uelewa wanieleweshe povu na matusi ruksa [emoji135]
Yaan anamlipa nani wakati ndege hzo si mali ya shirikaLuxury? Una naama Mama anabeba hizo ndege bure bila kulipa? Kama zinalipiwa kuna tatizo gani? Kakate tiketi au nenda www.airtanzania.co.tz utuambie kana haziruki
Ndio hizo kodi zinatafutwa kila kona kuchangia mafuta kwenye midege isiyo na faida.Habari wakuu,
Nauliza zile ndege zilizonunuliwa kwa mbwembwe na kejeli nyingi kwa wapinzani kwamba ni wapingaji
Ndege ambazo CAG alisema hazjawahi kuingza faida ila hasara tu maana yake znaendeshwa kwa pesa ya mlipa kodi wa miamala ya simu nk
Ndege hizi zmetengenezwa kwa matumizi ya kibiashara yaani kusafirisha abiria na si matumizi private.
Sa kinachonishangaza ndege ya Airbus ya abiria zaidi ya 200 inatumiwa na rais kufanyia route nje ya nchi wakati nakumbuka kuna ndege ya rais mwenda zake alisema iboreshwe iwe ya abiria maana yake haikutengenezwa kwaajili ya biashara kama hizi Airbus.
Hivi ni kweli ndege hizi za kibiashara zimekuwa za matumizi ya viongozi wakati hata kwa matumizi ya kibiashara zimeleta hasara kubwa sana toka zmenunuliwa.
Naomba wenye uelewa wanieleweshe povu na matusi ruksa [emoji135]
Na Leo nilikuwa Chato Airport kumsindikiza Kigogo mmoja amepanda ndege hizi hizi unazoziulizia!zinafanya kazi
Hoja ya kipumbavu kabisaHabari wakuu,
Nauliza zile ndege zilizonunuliwa kwa mbwembwe na kejeli nyingi kwa wapinzani kwamba ni wapingaji
Ndege ambazo CAG alisema hazjawahi kuingza faida ila hasara tu maana yake znaendeshwa kwa pesa ya mlipa kodi wa miamala ya simu nk
Ndege hizi zmetengenezwa kwa matumizi ya kibiashara yaani kusafirisha abiria na si matumizi private.
Sa kinachonishangaza ndege ya Airbus ya abiria zaidi ya 200 inatumiwa na rais kufanyia route nje ya nchi wakati nakumbuka kuna ndege ya rais mwenda zake alisema iboreshwe iwe ya abiria maana yake haikutengenezwa kwaajili ya biashara kama hizi Airbus.
Hivi ni kweli ndege hizi za kibiashara zimekuwa za matumizi ya viongozi wakati hata kwa matumizi ya kibiashara zimeleta hasara kubwa sana toka zmenunuliwa.
Naomba wenye uelewa wanieleweshe povu na matusi ruksa [emoji135]
Ni kweli ni hoja ya kipumbavu kwa mpumbavu lakin hii nchi si mali ya ccm na wajinga kama ww wakati umekaribia sn kuondoka madarakani kwa nguvu ama kwa kura hata KANU hawakuwahi kuwa na upeo kwamba ipo sku wakenya watawakataa hivyo hata ccm mko njia mojaHoja ya kipumbavu kabisa