Ndege zilizonunuliwa na Hayati Dkt. Magufuli zina kazi gani?

wenzio wameagiz nyinine
 
Mbunge anakunja milioni ishirini na mbili (22,000,000/=) kwa mwezi lakini halipi kodi

Mbunge huyo huyo anatunga sheria ya kodi huku yeye akijipa kinga ya kutolipa kodi!

Pesa anazolipwa Mbunge zinatokana na kodi ya ambao hata mlo moja kwa siku ni shida!

KumbeTanzania inajengwa na wazalendo lakini inaliwa na walafi CCM wenye meno!

Yaani Wazalendo wanahangaika juani ili kuwawezesha wabunge CCM kula kivulini!
 
wenzio wameagiz nyinine
Wacha waagze waje wazgawane kama zle alizoacha baba wa taifa maana haijulikan zko wp wala hazjadiliwi kbs kwaiyo hata hz uwenda washazgawana na idadi ya wagawanaji ni kubwa sa waagza zngn ili kila mnufaika apate yake
 
Kuhusu huyu Swaumu kuchukua dege la abiria 200 dreamliner kwenye ziara ni big no.
Hata kama walipewa zile Focker Atcl si atumie tu kwenye safari zake.
Lile dude kulipiga moto tu linakula lita za kutosha
 
JPM kwa uthubutu aliofanya kununua ndege nampa ongera sana, yalikuwa maamuzi mazuri sana.

Roho yake ipumzike kwa Amani.
tena alinunua ndege bila kuongoza tozo kwenye muamala
 
Kuhusu huyu Swaumu kuchukua dege la abiria 200 dreamliner kwenye ziara ni big no.
Hata kama walipewa zile Focker Atcl si atumie tu kwenye safari zake.
Lile dude kulipiga moto tu linakula lita za kutosha
Kuna masangoma humu wanasema hz ni hoja za kipumbavu kabisa
 
Kazi ipi mkuu,

Maana kazi yake ni kwaajili ya kusafirisha abiria kibiashara na si vingnevyo.

Ni sawa na ww ununue yutong ya abiria uanze kupga nalo route za kazini nyumbani ujue gharama ya kuliendesha na service ztakufanya uwe kuchaa kabisa.
Mara ya mwisho kufika Airport pale JNIA lini?! Mbona sisi tunazipanda kama kawa.
 
Mara ya mwisho kufika Airport pale JNIA lini?! Mbona sisi tunazipanda kama kawa.
Aisee nahisi kichwa chako kimejaa makamasi au mavi
Kuna mahali nmesema ndege hazpg route au hujaelewa hoja yng

Kwan ndege hiyo airbus ya abiria zaid ya 200 ni ndege ya abiria kibiashara au ni ndege ya rais kama ni ya abiria gharama ya kuitembeza ikiwa eti imebeba rais na wapambe wake tu ni hatari kwa uchumi wa taifa maskni kama hili aisee leo ndege ya abiria imekuwa ya rais mmmh.....

Hapa unaandka pumba ukute hata airport hujawai kufka ukute hata mlo mmoja tu shida maana majinga majinga kama ww ndo mtaji wa maccm

Uzuri viongoz wenu wanawajua hamna akili ndo maana wanachukua vjana wa chadema wanakuwa mpk mawaziri

Eti leo nape ni mbunge tu wakati katambi ex bavicha ni naibu waziri
 
Tunaonyesha namna gani wa Tz tulivyo wa hovyo kwaajili ya watu wachache yaani wakenya wavyosoma huu uzi wanaishia kutushangaa kweli kweli,katika usafiri wa anga kwa Tanzania mnyama twiga Air Tanzania anafanya vizuri sana katika utoaji wa huduma tofauti na mashirika mengine mimi ni mmoja wa watu ambao nimesafiri na hilo shirika hasa uhakika wa safar ukiambiwa ndege ya saa kumi masaa mawili kabla unavyoingia kwenye vituo vya ukaguzi twiga tayari yupo uwanjani wakati wengine muda umefika ndio kwanza ndege ipo Zanzibar iende Nairobi ndio ije Dar, pili baada ya kufufuliwa ATC watanzania wenzetu mamia wamepata ajira ndani ya shirika na kuweza kutunza familia zao na wengine wenye uhitaji. Changamoto ni katika uwepo wa COVID-19 pamoja na kurithi madeni ya zamani. Tukumbuke mwezi August ndege zingine zinakuja hivyo kuna wataopata fursa za ajira. Tuipende nchi yetu jamani.
 
Kama anakodisha basi sawa lakini lakini narudia tena lakini haya
Na kwa nini akodi wakati tulinunua ndege ya Rais ambayo Mramba alisema hata tukila nyasi lazima ndege inunuliwe?

Tunajua lifespan ya ndege huwa hata miaka sabini, hii ndege bado nzima maana Magufuli hakuwa na routes nyingi alikuwa anatumia gari.

Hata kama ilisafirisha maofisa wengine bado haikutumika sana sababu kipindi cha Magufuli safari za nje zilikuwa chache sana.

Wanatuumiza kwa Kodi za kishenzi ili wao waishi lavish life.
 
Sorry Mh sikujua uelewa wako
 
Hivi ile tuliyoambiwa hata tule nyasi lazima inunuliwe Iko wapi?? Au ndo ile Fokker pangaboi??
 
Alimtikisa Wapi?lissu alikuwa na mkono wa mabeberu vyombo vyote vya mabeberu vilikuwa upande wa Lissu na akina amstadam, lakini pamoja na hayo aliibuka na mbunge mmoja πŸ˜πŸ˜„πŸ˜„,bila aibu unasema alintikisa Magufuri
 
Alimtikisa Wapi?lissu alikuwa na mkono wa mabeberu vyombo vyote vya mabeberu vilikuwa upande wa Lissu na akina amstadam, lakini pamoja na hayo aliibuka na mbunge mmoja [emoji16][emoji1][emoji1],bila aibu unasema alintikisa Magufuri
Hivi vituko nibonyeze ngapi kupata tena
 
Alimtikisa Wapi?lissu alikuwa na mkono wa mabeberu vyombo vyote vya mabeberu vilikuwa upande wa Lissu na akina amstadam, lakini pamoja na hayo aliibuka na mbunge mmoja [emoji16][emoji1][emoji1],bila aibu unasema alintikisa Magufuri
Tozo ya Mafuta juu
Tozo ya Fedha mitandaoni juu
Tozo ya kiwanja kwa luku
Makato ya kwenye vocha juu.
Kodi ya pembejeo za kilimo mara mbili
Nauli mabasi mikoani juu (bado daladala any time wanapandisha)

Mnataka tuishije sasaa?
 
Mambo ya msingi ya taifa tunaleta ushabiki,uchumia tumbo plus ujinga haya sasa kamata hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…