Ndege zilizonunuliwa na Hayati Dkt. Magufuli zina kazi gani?

Una pumbu kichwani sio bureee.

"Mama anaupiga mwingi"imekuaje tena?
Mbona ghafla mnamugeuka mama.
 
Ndio zetu sio miaka ile tunakodisha kodisha halafu tunashindwa kulipa.
 
Màgufool kaiingiza hii nchi hasara ya mabilioni ya $$$$
 
we jamaa ni Mtz kweli!?... Maana kumtaja taja (kumlaumu/kumtusi) mtu aliekufa ni tabia mbovu ndg - huchokii du!
 
Imesharudi juzi ilikuwa imekwenda wapi hujui mwendazake alsema ifanyiwe matekebsho iwe ya abiria ili awe anaenda chato na hz airbus kwa ksngzio hana ndege
Ufahamu zako kuhusu hata ndege ni aina gani zilipelekwa Atcl ni mdogo mno hadi aibu sana. Bahati mbaya mwenyewe uelewi hilo!
 
Kuna wakati simuelewi Rais Samia. Kama ndege ya rais mbovu si itengenezwe?
Niliona hadi imempeleka Kikwete Zambia.
Hata kama manunuzi hayakufuata utaratibu lkn ni kodi zetu, wangeziwekea utaratibu mzuri ili kuwanufaisha wananchi kuli rais kuzurura nazo kila siku
 
Ndege hizo zina kazi ya kumpakia Mama dikteta!
hivi huwa hakuna jina kwa dikteta wakike ? hili la kuanzia na dic kama la kiume zaidi haipendezi kumuita madam dictator na labada tumpe muda wa kujifunzakulingana na makosa yake nani ajuaye labda atakuwa our first beuty just like a famed chinese siren Xi Shi
 
Dikteta ni dikteta tu awe mwanaume au mwanamke kwa sababu udikteta ni mfumo wa utawala wa mabavu usiozingatia katiba wala sheria! Samia ni dikteta kwa asili na huenda mume wake anamvumilia kwa sababu ana mke mwingine!
 
Dikteta ni dikteta tu awe mwanaume au mwanamke kwa sababu udikteta ni mfumo wa utawala wa mabavu usiozingatia katiba wala sheria! Samia ni dikteta kwa asili na huenda mume wake anamvumilia kwa sababu ana mke mwingine!
Aisee ndio maana kazi ya urais wanalipwa mishahara mizito ... Wanasimangwa/tukanwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…