radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,440
- 32,260
Shetani wa mguu mmoja wewe.
Wewe umemuumba yupi hadi ukosoe uumbaji wa Mungu?
Jinga kabisa.
haterz hao mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shetani wa mguu mmoja wewe.
Wewe umemuumba yupi hadi ukosoe uumbaji wa Mungu?
Jinga kabisa.
Weraaaaaaaaaaaa oyoooooooooTupo hadi tatizo la kiufundi litengamae[emoji4]
Nadhani ni kinega ndiyo maana haipati hiyo heshima
Ila yangu anayo
Mimi katika nyimbo zote za Rama Dee napenda "Si waoaji hao"...
Bonge la wimbo,jamaa anajua sana.
Gadna bila kujijua kamnufaisha sana Jide.Pamoja na yotee hii show beeef la ndoa limeplay party kubwa kuhamasisha watu kujitokeza
Aipate tokea wapi mkuu???Angetaka asinge shindwa...
Mlioko huko hata picha jamani?
Mbona me naangalia from a distance via Eatv.You can watch it by the way.Mlioko huko hata picha jamani?
Ni kweli kabisa wanawake weng wapo ukumbini na hata respond yao ya nyimbo za vijembe unapata picha kabisa kwanini wamejitokeza , jidee kanufaika na hili beefGadna bila kujijua kamnufaisha sana Jide.
Wanawake wengi wamekasirishwa na alichokisema,wakaamua kujitokeza kwa wingi kumuunga mkono mwenzetu.
Hakika,amefanya show Kali sana leoHuyu ni COMMANDO
Realy?Mbona me naangalia from a distance via Eatv.You can watch it by the way.
Teh teh,ambulia updates tu mkuu
Kwann kakaGadner umetuabisha wanaume kenge mkubwa we!