NDI NDI NDI CONCERT : Updates from Mlimani City

NDI NDI NDI CONCERT : Updates from Mlimani City

Gadna bila kujijua kamnufaisha sana Jide.
Wanawake wengi wamekasirishwa na alichokisema,wakaamua kujitokeza kwa wingi kumuunga mkono mwenzetu.
Ni kweli kabisa wanawake weng wapo ukumbini na hata respond yao ya nyimbo za vijembe unapata picha kabisa kwanini wamejitokeza , jidee kanufaika na hili beef
 
Niko zangu Calabash hapa Mwenge!

Napiga kitwangwa Lager kwenda mberee....! Ticket iko mfukoni nimeshindwa kuja wakuu....

Next time nitakuja, wacha Leo nipige lager tuu
 
Back
Top Bottom