Pre GE2025 Ndio kwanza wanahakiki majina, bado wagombea kujinadi ndio zoezi la kura lianze! Wanatoboa kweli leo?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wakuu,

Naona CHADEMA leo wanataka kutulaza saa tisa usiku :BearLaugh: :BearLaugh: .Maana ndio kwanza wapo kwenye zoezi la kuhakiki wajumbe, mara wamesema sijui kuna kanda ya Rukwahaikuwepo kwenye orodha, hapo inabidi wajadili tena ili naowahakikiwe. Kupoteza muda tu.

Wakimaliza kuhakiki wajumbe, wanatakiwa kumchagua mwenyekitu wa uchaguzi atakayeongoza zoezi hilo, halafu wagombea waitwe kujinadi! Wamalize wote kujinadi na kujibu maswali ndio waanze kupiga kura. Na hapo bado hawajaenda kura!

Hii haiwezi kuwa bahati mbaya, mambo yafanyike usiku mwingi ili wafanye umafia! Sisi vimbelembele ndio hatutali hadi kieleweke! Tutabaki macho hata tukiwa mazombi 😒😒
Kwani kanuni ya uchaguzi ya Chadema inasemaje? Maana wapigakura wanapaswa kuhakikiwa ndani ya ukumbi na si vinginevyo. Maana ndiyo daftari ya orodha ya wapiga kura. La sivyo wataanza kulalamika kuwa Kuna mamluki hapo.
 
Yaani Kuna watu wa ajabu sana, Kila chama kina program yake. Na kumbuka huu ni mkutano mkuu unaprogram zake na ajenda zake hivyo Kwa sababu wewe unataka TU matokeo ya uchaguzi wa mwenyekiti basi unatukana TU na kufikiria wizi wa kura.

Je tangu asubuhi SI kulikua na program zingine muda wa kura ukifika watapiga matokeo yatatolewa. Kuwa mpole

Pia wanalinganisha na uchaguzi wa CCM Juzi. Ule mkutano wao ulikua maalumu na mkutano maalumu una ajenda Moja TU ambayo Kwa ilikuwa uchaguzi hata ya kuwapitisha wagombea ilikuwa ni mengineyo.

Wotetunapenda kupata matokeo ya uchaguzi huu lakini sio Kwa kukejeli utaratibu chama uliojiwekea.

Tuwe wavumilizi na tusome program ya mkutano huo kama walivyopewa wajumbe wake
 
Acha tulale tu, temper imeshuka, kama tulitaka lissu ashinde, kwa ile hotuba yake tukubali matokeo tu. Huenda wakamteua na kumpitisha awe mgombea urais na mbowe aendelee kuwa mwenyekiti. Ngoma imeisha hiyo, tulale tu, majibu tutayapata usiku wa manane
 
Mwenyekiti hawezi kuwa Mbowe na TL akashinda urais wowote
 
Yaani Kuna watu wa ajabu sana, Kila chama kina program yake. Na kumbuka huu ni mkutano mkuu unaprogram zake na ajenda zake hivyo Kwa sababu wewe unataka TU matokeo ya uchaguzi wa mwenyekiti basi unatukana TU na kufikiria wizi wa kura.

Je tangu asubuhi SI kulikua na program zingine muda wa kura ukifika watapiga matokeo yatatolewa. Kuwa mpole

Pia wanalinganisha na uchaguzi wa CCM Juzi. Ule mkutano wao ulikua maalumu na mkutano maalumu una ajenda Moja TU ambayo Kwa ilikuwa uchaguzi hata ya kuwapitisha wagombea ilikuwa ni mengineyo.

Wotetunapenda kupata matokeo ya uchaguzi huu lakini sio Kwa kukejeli utaratibu chama uliojiwekea.

Tuwe wavumilizi na tusome program ya mkutano huo kama walivyopewa wajumbe wake
Tuache kuwa tunatetea mambo ya hovyo hata kama yanafanywa na watu tunaowashabikia.

CHADEMA wanatia aibu, huwezi kusema uchaguzi unafanya tarehe fulani unaalika watu unawakalisha ukumbini zaidi ya saa 24.
Ni ujinga na kutaokujali muda ndo maana tumeendelea kuwa maskini wa kutupwa
 
Naungana na wewe
 
iwe mwanzo na mwisho
 
Yaani Kuna watu wa ajabu sana, Kila chama kina program yake. Na kumbuka huu ni mkutano mkuu unaprogram zake na ajenda zake hivyo Kwa sababu wewe unataka TU matokeo ya uchaguzi wa mwenyekiti basi unatukana TU na kufikiria wizi wa kura.

Je tangu asubuhi SI kulikua na program zingine muda wa kura ukifika watapiga matokeo yatatolewa. Kuwa mpole

Pia wanalinganisha na uchaguzi wa CCM Juzi. Ule mkutano wao ulikua maalumu na mkutano maalumu una ajenda Moja TU ambayo Kwa ilikuwa uchaguzi hata ya kuwapitisha wagombea ilikuwa ni mengineyo.

Wotetunapenda kupata matokeo ya uchaguzi huu lakini sio Kwa kukejeli utaratibu chama uliojiwekea.

Tuwe wavumilizi na tusome program ya mkutano huo kama walivyopewa wajumbe wake
Nani wa ajabu wewe embu tupishe, utafikiri wewe tu ndio unafatilia mchakato na kuona kinachoendelea😒😒
 
Back
Top Bottom