Ndio meli ipite salama maeneo ya Houthi, lazima itangaze kwamba kila mhudumu humo ni Muislamu

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,575
Reaction score
53,613
Kuepuka kushambuliwa na magaidi wa Waislamu maarufu kama Houthi, meli zinatangaza kwa herufi kubwa kwamba kila abiria au mhudumu ni muislamu.
Hii dini ya muarabu ikiendelea kuchekewa itaangamiza dunia, bora hivyo kubwa lao Iran limekalishwa.
=============================

'All Crew Muslim': ships look to dodge Red Sea attacks with messages​

LONDON, July 11 (Reuters) - Commercial ships still sailing through the Red Sea are broadcasting messages about their nationality and even religion on their public tracking systems to avoid being targeted by Yemen's Houthis after deadly attacks this week by the militia.
The Red Sea is a critical waterway for oil and commodities but traffic has dropped sharply since Houthi attacks off Yemen's coast began in November 2023 in what the Iran-aligned group said was in solidarity with Palestinians in the Gaza war.
 
Baada ya Ukabila Kulimaliza Taifa lenu na Vijukuu vyote Kuishi kikabila
Sasa Umekuwa Shetani wa kupandikiza Udini humu JF.
Ww jamaa ni Jinga sana Udini utakuua
 
Hawa magaidi wapumbavu, kwani Allah angetaka si angeumba watu wote waislamu, ameshindwa nini ambacho magaidi watakiweza?
 
Kuepuka kushambuliwa na magaidi wa Waislamu maarufu kama Houthi, meli zinatangaza kwa herufi kubwa kwamba kila abiria au mhudumu ni muislamu.
Hii dini ya muarabu ikiendelea kuchekewa itaangamiza dunia, bora hivyo kubwa lao Iran limekalishwa.
=============================

'All Crew Muslim': ships look to dodge Red Sea attacks with messages​

LONDON, July 11 (Reuters) - Commercial ships still sailing through the Red Sea are broadcasting messages about their nationality and even religion on their public tracking systems to avoid being targeted by Yemen's Houthis after deadly attacks this week by the militia.
The Red Sea is a critical waterway for oil and commodities but traffic has dropped sharply since Houthi attacks off Yemen's coast began in November 2023 in what the Iran-aligned group said was in solidarity with Palestinians in the Gaza war.
JE Unajua kisa cha Iraq Afghanistan Syria Palestina Libya kote uko waislam walikuwa wanaishi kwa Aman kabisa !!!

hawakuwa na shida na yoyote Tatizo likaja kuna watu wanaitwa WAKIRISITO wenye chuki mbayaa !!!

hawakupenda kuona maisha ya waislamu yenye kupendeza machoni yenye nuru yenye kuchangamsha yenye tumaini jema.. !!!

bila Sababu yoyote Wakristo wakaanza kuwapiga maboom waislam pasi na kosa lolote!!

Leo uyu mk254 bado anapiga Propaganda kuwananga waislam wasio na kosa kolote wao ndio wamechokozwa kwa kuuwawa sana tena kwenye mitaa yao!!

Kwasasa Waarabu nawao wameona wajibu mapigo talatibu tu sasa uyu Mk254 eti kwa unafiki wake eti anawalaumu waislamu !!!

Lini waislamu wamewafata Wakristo kwenye miji yao !!!

mfano waislamu waende uko Ulaya kwa Wazungu kupiga mabomu au kupora Rasilimali zao!!!!

Wazungu Wakristo wametoka kwao uko mbali sana kuja kuwapiga Maboom waislamu ukiuliza kosa akuna eti wanataka kuleta Demokrasia ya kuuwa wenyeji na kupara rasilimali zao !!¿¿¿

uwe mpole ndugu au kawasaidie Wakristo wanzio mana kwasasa ulimi nje pale red Sea !!!

mmewachokoza wenyewe na kilanga chenu na michuki yenu. MOTO ndio kwanza umeanza kuisha kwake utaishia kwenye mitaa ya uko uko ULAYA kwa Wazungu muda ndio mwalimu..
 
Baada ya Ukabila Kulimaliza Taifa lenu na Vijukuu vyote Kuishi kikabila
Sasa Umekuwa Shetani wa kupandikiza Udini humu JF.
Ww jamaa ni Jinga sana Udini utakuua

Ushetani wenu ndio unaiharibu dunia, na ulianza na huyo mzee aliyekua anadinya katoto ka miaka 9, alisababisha mauaji ya Wayahudi wa Banu Qurayza
Nimeshangaa kumbe kifo chake kilitokana na umalaya soma huu uzi Zaynab, jasusi wa Kiyahudi aliyemuua Mtume Muhammad
 
JE Unajua kisa cha Iraq Afghanistan Syria Palestina Libya kote uko waislam walikuwa wanaishi kwa Aman kabisa !!!

hawakuwa na shida na yoyote Tatizo likaja kuna watu wanaitwa WAKIRISITO wenye chuki mbayaa !!!

hawakupenda kuona maisha ya waislamu yenye kupendeza machoni yenye nuru yenye kuchangamsha yenye tumaini jema.. !!!

bila Sababu yoyote Wakristo wakaanza kuwapiga maboom waislam pasi na kosa lolote!!

Leo uyu mk254 bado anapiga Propaganda kuwananga waislam wasio na kosa kolote wao ndio wamechokozwa kwa kuuwawa sana tena kwenye mitaa yao!!

Kwasasa Waarabu nawao wameona wajibu mapigo talatibu tu sasa uyu Mk254 eti kwa unafiki wake eti anawalaumu waislamu !!!

Lini waislamu wamewafata Wakristo kwenye miji yao !!!

mfano waislamu waende uko Ulaya kwa Wazungu kupiga mabomu au kupora Rasilimali zao!!!!

Wazungu Wakristo wametoka kwao uko mbali sana kuja kuwapiga Maboom waislamu ukiuliza kosa akuna eti wanataka kuleta Demokrasia ya kuuwa wenyeji na kupara rasilimali zao !!¿¿¿

uwe mpole ndugu au kawasaidie Wakristo wanzio mana kwasasa ulimi nje pale red Sea !!!

mmewachokoza wenyewe na kilanga chenu na michuki yenu. MOTO ndio kwanza umeanza kuisha kwake utaishia kwenye mitaa ya uko uko ULAYA kwa Wazungu muda ndio mwalimu..

Hakuna sehemu waislamu wameishi kwa amani, kumbuka hata muasisi wa hiyo dini alisababisha mauaji ya Wayahudi wa Banu Qurayza na kuuza watoto wao utumwani

Muslims living with Hindus = Problem.
Muslims living with Buddhists = Problem.
Muslims living with Christians = Problem.
Muslims living with Jews = Problem.
Muslims living with Sikhs = Problem
Muslims living with Baha’is = Problem.
Muslims living with Shintos = Problem.
Muslims living with Atheists = Problem.
Muslims living with Muslims = Big Problem.

This led to:

They’re not happy in Gaza.
They’re not happy in Egypt.
They’re not happy in Libya.
They’re not happy in Morocco.
They’re not happy in Iran.
They’re not happy in Iraq.
They’re not happy in Yemen.
They’re not happy in Afghanistan.
They’re not happy in Pakistan.
They’re not happy in Syria.
They’re not happy in Lebanon.
They’re not happy in Nigeria.
They’re not happy in Kenya.
They’re not happy in Sudan.

Where are they happy?
They’re happy in Australia.
They’re happy in England.
They’re happy in Belgium.
They’re happy in France.
They’re happy in Italy.
They’re happy in Germany.
They’re happy in Sweden.
They’re happy in the USA and Canada.
They’re happy in Norway and India.
They’re happy in almost every country that is not Islamic.
Whom do they blame? Not Islam. Not their leadership. Not themselves.

They blame the countries they are happy in.
They want to change the countries they’re happy in, to be like the countries they came from where they were unhappy.
 
Waislam wameishi kwa amani arabuni kwa zaidi ya miaka 1000,wameishi kwa amani andalusia (spain, portugal) kwa zaidi ya miaka 800,wameishi kwa amani ottoman empire kwa zaidi ya miaka 600,wameishi kwa amani afrika mashariki kwa zaidi ya miaka 900,huko kote waliovuruga amani ni wakristu kuanzia crusaders,wareno mpaka george bush
 
Aliyoyaandika yana ukweli au ni uongo?
Asilimia kubwa ya Meli duniani ni za kichina na Kijapan, Toka mgogoro uanze umesikia Meli ngapi za Kichina na Kijapan zimelipuliwa? Kama Ingekua sababu ni dini basi kila siku mamia ya Meli za kichina yangelipuliwa.

Ila tunajua meli za Nani zinakuwa Targeted na haijalishi wamepandisha bendera ipi.
 
Baada ya Ukabila Kulimaliza Taifa lenu na Vijukuu vyote Kuishi kikabila
Sasa Umekuwa Shetani wa kupandikiza Udini humu JF.
Ww jamaa ni Jinga sana Udini utakuua
Mkuu wakati mwingine ni vigumu sana kumuelewa binadamu huyu!! Ni bingwa sana wa kupandikiza mbegu za chuki kwenye imani za kidini, si hilo tu hata majirani kwa majirani yaani anatamani sana vurugu zinazo likumba Taifa lake ziikumbe hata Tanzania, ndiyo alivyo!!
 
Haingiiii akilini hata....we kondoo unashida kubwa mnooo
 
Haingiiii akilini hata....we kondoo unashida kubwa mnooo
 
Waislam wameishi kwa amani arabuni kwa zaidi ya miaka 1000,wameishi kwa amani andalusia (spain, portugal) kwa zaidi ya miaka 800,wameishi kwa amani ottoman empire kwa zaidi ya miaka 600,wameishi kwa amani afrika mashariki kwa zaidi ya miaka 900,huko kote waliovuruga amani ni wakristu kuanzia crusaders,wareno mpaka george bush

Soma historia ya waislam achana na madrassa, wameishi kwa upanga tangu Mohammad abuni hiyo dini, kasababisha mauaji ya Wayahudi wa Banu Qurayza na kuuza watoto wao utumwani, na mpaka leo mumeteka watoto wa Wayahudi, na mkiuawa mnalialia
 
Mkuu wakati mwingine ni vigumu sana kumuelewa binadamu huyu!! Ni bingwa sana wa kupandikiza mbegu za chuki kwenye imani za kidini, si hilo tu hata majirani kwa majirani yaani anatamani sana vurugu zinazo likumba Taifa lake ziikumbe hata Tanzania, ndiyo alivyo!!

Hiyo dini yenu ni mwendo wa chuki na mauaji, inabidi msemwe kama mlivyo, tangu mohammad abuni hiyo dini na kuanza kuitembeza kwa upanga, haijawahi kuwa na amani, soma alichofanya Wayahudi wa Banu Qurayza, kuwachinja na kuua watoto wao utumwani. Mna laana sana nyie.
 
Kuepuka kushambuliwa na magaidi wa Waislamu maarufu kama Houthi, meli zinatangaza kwa herufi kubwa kwamba kila abiria au mhudumu ni muislamu.
Hii dini ya muarabu ikiendelea kuchekewa itaangamiza dunia, bora hivyo kubwa lao Iran limekalishwa.
=============================

'All Crew Muslim': ships look to dodge Red Sea attacks with messages​

LONDON, July 11 (Reuters) - Commercial ships still sailing through the Red Sea are broadcasting messages about their nationality and even religion on their public tracking systems to avoid being targeted by Yemen's Houthis after deadly attacks this week by the militia.
The Red Sea is a critical waterway for oil and commodities but traffic has dropped sharply since Houthi attacks off Yemen's coast began in November 2023 in what the Iran-aligned group said was in solidarity with Palestinians in the Gaza war.
Nyinyi wagalatia sijui lini mtazundukana na kutambua kuwa vita ya Marekani na washirika wake katika nchi za mashariki ya kati hususani nchi za kiarabu sio vita za kidini Wala kigaidi ila ni vita vya kiuchumi na sababu kubwa ni kuwa Marekani anatakani kutawala uchumi wa Dunia na Ili utawale uchumi wa Dunia ni lazima bei ya mafuta iwe Kwa Dora

Mama Ana tibaijuka Kila siku anasema sababu ya Marekani kuumua Sadam huseni sio ugaidi Wala Nyukilia ila ni sababu za kiuchumi Sadamu alitaka mafuta yasiuzwe Kwa Dora

Juzi tu hapa Obama amesema katika kitu ambacho anajuta ni kumuua Gadafi
Na Gadafi pia alikuwa anataka mafuta yake Yasiuzwe Kwa Dora

Sasa nyinyi wagalatia mmegeuzwa Misukule ya Dunia hi Yani mpo mpo tu mnapandikizwa chuki za kidini katika mambo ambayo sio ya kidini

Na pia tayari imeshagundulika ukanda wa Gaza Kuna mafuta mengi sana kwahiyo hi vita ni Marekani akitumia Base yake ya kijeshi Yani Israel lengo ni kuwahamisha wapalestine Ili wao wachimbe hayo mafuta bila ya bughuza

Yani nyinyi wagalatia mmedanganywa kuhusu Mungu wa kweli na dini ya kweli

Yani bado mnadanganywa hata katika mambo ya kidunia?
 
Back
Top Bottom