Ndio naanza kupata picha kwanini HAMAS walishambulia, walijipanga sana, mahandaki 800

Hahaha. Wameshindwa kwa miaka 75 wataweza sasa?

Sema sasa mwisho wao ndiyo unefika.

Wameshaond9kanhuko kwa malaki kukinbilia ulaya na USA.

Na kimeshaanza kunukishwa Tel Aviv, wanaagiziwa vitu kutokea mbali. Hawana raha huko.

Unajuwa hii ndiyo vita yao ndefu kuanzia mwaka 1948?

Unajuwa jana USA kadonyolewa meli za tatu?

Hamjapigwa kichapo kama hiki siku nyingine, nina uhakika hili unalielewa mpaka kunako, hivi wanaopigwa kwenye makambi ya wakimbizi na wao watapata mabikira?
 
Mandiko ya kunyonya ulimi 😄 we unauhakika aliye andika hakuwa na akili kama zako? Vipi Mtume wenu Paulo kwanini alikuwa hapendi wanawake? Hivi kuna mwanaume yuko sawa akachukia wanawake? Hauoni kambukiza mpaa mapadri wengi ni mashoga kama yeye

Tazama Yemen anavyo mpelekea zawadi Israel

Aha kumbe unayakumbuka, sasa mtu anafanya uchafu kama huu unamuabuduje MTUME MUHAMMAD ALINYONYA ULIMI WA AL HASSAN Hadith Idadi 16,245:
 
Mbona kidogo sana hayo, nijuavyo kuna mahandaki zaidi ya 5,000.

Ngoma ya kuwasambaratisha mazayuni haijaanza bado, hao Hamas wanachokonoa tu, hiyo ni bashraf tu mziki mkamili kwa wajomba wa mungu wako, wanaemkana, upo njiani.
Porojo
 
Nilikua najiuliza kwanini HAMAS wafanye kitu ambacho kimekuja kuwaletea hasara mara mia na kusababisha wafutwe Gaza.....

Aisei hiki kilikua kiama kwa Israel, hawa jamaa walijiandaa kwa muda mrefu sana, mpaka sasa Israel imegundua mahandaki 800 na imefumua 500, bora ishikilie hapo hapo, safisha hiyo Gaza bila kuskliza kenge yeyote maana Israel ingefutika tukiiona hivi hivi.

Inaonekana huu mpango ulikua umesukwa na mataifa yote ya ile dini, na ilikua HAMAS washambulie halafu hao wengine waje kwa kumalizia, ila Marekani wakaingiza dubwana la meli pale na kusema asiyependa maisha yake ajaribu kujikuna, wakaufyata wote ikiwemo kubwa la magaidi wa kidni Iran.
=========================

IDF says 800 tunnels discovered in Gaza op, 500 destroyed or sealed​

Military says hundreds of kilometers of tunnels, many of which link Hamas’s ‘strategic assets,’ eliminated; IDF Arabic spokesperson urges Shejaiya battalion to surrender​

The Israel Defense Forces said Sunday that troops have discovered more than 800 tunnel shafts in the Gaza Strip since the beginning of the ground offensive targeting the Hamas terror group that began in late October.

The military said that around 500 of them have already been destroyed, either by setting off large explosive charges inside or by sealing them.

According to the IDF, many of the tunnels connect Hamas’s “strategic assets.”
NIliwahi ona humu kwamba Misri iliitaarifu Israel kuhusu kushambuliwa na Hamas.
Nadhani waliacha kusudi ili wapate sababu ya kuwamaliza huko Gaza.
Ama kuhusu kujiandaa nadhani umewachukua miaka kujenga maficho imara kwa msaada wa washirika wao kama Iran, Syria Qatar,uturuki na vikundi vingine.
Hawana kambi juu ya ardhi,kambi zao zipo ardhini, juu yao majumba , milango ya hospitali, hii yote ni kimbinu zaidi maana ili uwafikie lazima uuwe watu wengi,wakiwamo Hamas militant wenyewe wakiwa wamevaa kiraia.
Kwa maana nyingine waliwatega Israel kwenye jamii ya kimataifa kama.ilivyo sasa . Siyo kweli kwamba wanakuwa ni raia tu bali ni wanajeshi wa Hamas waliovaa mavazi ya kiraia, wametoka mashimoni wakiwa kiraia na kukimbilia kwenye Makambi ya wakimbizi, mahospitali na miundombinu mingine ya kiraia.
Kuwamaliza siyo rahisi labda idf ikae pale Gaza kwa miaka, huku ikizuia upokeaji wa silaha na vifaa vya kijeshi kutoka kwa washirika wao.
 
Hamjapigwa kichapo kama hiki siku nyingine, nina uhakika hili unalielewa mpaka kunako, hivi wanaopigwa kwenye makambi ya wakimbizi na wao watapata mabikira?
Mkenya nakushangaa sana, unafikiri mazayuni wankutambuwa wewe? Wewe wa kutemewa makohozi tu.

Nakushangaa sana unashadadia watoto na wanawake kuuliwa na watu waliokuulia "mungu" wako.

Sema Mazayuni hawajala kichapo kama hiki toke wapewe hiyo ardhi na Muingereza 1948, jionee:

Dini ya mabikra 72

Sasa kama wanaume wakifika huko wananyaka bikra 72 kila mmoja na kuanza kutembeza NDIZI kama mchwa, je, wanawake wakifa na wakafika huko watakutana na madume ya mbegu mangapi?
 
Mbona kidogo sana hayo, nijuavyo kuna mahandaki zaidi ya 5,000.

Ngoma ya kuwasambaratisha mazayuni haijaanza bado, hao Hamas wanachokonoa tu, hiyo ni bashraf tu mziki mkamili kwa wajomba wa mungu wako, wanaemkana, upo njiani.
Kabla ya truce ya siku 5 ulisema Israel ameomba poo baada ya kuzidiwa,tukakwambia Israel ndio mbabe kwenye vita hii hakuna wa kumuamlia si marekani si UN,kama kazi haijaisha atarudi tena kupambana na HAMAS, sasa wababe wa dunia wamerudi wanaendelea kufanya wanachotaka na jana wamepeperusha bendera ya Israel kwenye bunge la hamas,pia elewa kwenye akili yako baada ya vita hii kwa ujinga waliofanya HAMAS Gaza strip haitakuwa chini yao tena,maana wamegeuza uwanja wa kukuza magaidi na ndio maana delegation ya makamu wa rais wa marekani ipo huko tangu jana kujadili namna uongozi utakavyo kuwa baada ya vita.
 
Mandiko ya kunyonya ulimi 😄 we unauhakika aliye andika hakuwa na akili kama zako? Vipi Mtume wenu Paulo kwanini alikuwa hapendi wanawake? Hivi kuna mwanaume yuko sawa akachukia wanawake? Hauoni kambukiza mpaa mapadri wengi ni mashoga kama yeye

Tazama Yemen anavyo mpelekea zawadi Israel
Mwamedi mbona alikua shoga nar afu aibu yake alikua anaenda kuficha kwa kuoa kitoto cha miaka 8 na kujificha kwa kibibi cha mika 90
 
Mbona kidogo sana hayo, nijuavyo kuna mahandaki zaidi ya 5,000.

Ngoma ya kuwasambaratisha mazayuni haijaanza bado, hao Hamas wanachokonoa tu, hiyo ni bashraf tu mziki mkamili kwa wajomba wa mungu wako, wanaemkana, upo njiani.
Hata wakati wa Saddam Hussein story zilikua hivyo hivyo
 
Huyu kichaa kila akisikia uwongo wa Israel anauleta hapa, hivi hao mashoga wangegundua hayo ma tunnels siwangeita fox news, cnn, bbc na European media [emoji1]

Ukiona hawakuwaita ujuwe wazi wanacho ongea ni uwongo, wali acting ile movie ya Alshifaa Hospital ilipo kosa soko wakaifuta, hata hizo tunnels sijui wameziona wako usingizini wana ota si bora wakatafute my producers na madirectors kutoka Bollywood wanaweza kutengeneza filim nzuri sana ikapata soko India [emoji1]

Au waligundua yale mafake tunnels walipoingia wakafukiwa humo humo wapo hai [emoji1]
Jipe moyo
 
Nilikua najiuliza kwanini HAMAS wafanye kitu ambacho kimekuja kuwaletea hasara mara mia na kusababisha wafutwe Gaza.....

Aisei hiki kilikua kiama kwa Israel, hawa jamaa walijiandaa kwa muda mrefu sana, mpaka sasa Israel imegundua mahandaki 800 na imefumua 500, bora ishikilie hapo hapo, safisha hiyo Gaza bila kuskliza kenge yeyote maana Israel ingefutika tukiiona hivi hivi.

Inaonekana huu mpango ulikua umesukwa na mataifa yote ya ile dini, na ilikua HAMAS washambulie halafu hao wengine waje kwa kumalizia, ila Marekani wakaingiza dubwana la meli pale na kusema asiyependa maisha yake ajaribu kujikuna, wakaufyata wote ikiwemo kubwa la magaidi wa kidni Iran.
=========================

IDF says 800 tunnels discovered in Gaza op, 500 destroyed or sealed​

Military says hundreds of kilometers of tunnels, many of which link Hamas’s ‘strategic assets,’ eliminated; IDF Arabic spokesperson urges Shejaiya battalion to surrender​

The Israel Defense Forces said Sunday that troops have discovered more than 800 tunnel shafts in the Gaza Strip since the beginning of the ground offensive targeting the Hamas terror group that began in late October.

The military said that around 500 of them have already been destroyed, either by setting off large explosive charges inside or by sealing them.

According to the IDF, many of the tunnels connect Hamas’s “strategic assets.”

Israeli asirudi nyuma mpaka amalize magaidi yote pale Gaza.
Free Palestine from Hamas terror
 
Mbona kidogo sana hayo, nijuavyo kuna mahandaki zaidi ya 5,000.

Ngoma ya kuwasambaratisha mazayuni haijaanza bado, hao Hamas wanachokonoa tu, hiyo ni bashraf tu mziki mkamili kwa wajomba wa mungu wako, wanaemkana, upo njiani.
Mbona yanashughulikiwa kikamilifu?
Baadhi yanalipuliwa na mengine yanazibwa kabisa (sealed)
 
Mbona kidogo sana hayo, nijuavyo kuna mahandaki zaidi ya 5,000.

Ngoma ya kuwasambaratisha mazayuni haijaanza bado, hao Hamas wanachokonoa tu, hiyo ni bashraf tu mziki mkamili kwa wajomba wa mungu wako, wanaemkana, upo njiani.
Maandaki 5000 hiyo itakuwa mitaro
 
Kuna kila dalili za mazayuni wameomba poo kimya kimya baada ya juzi wanajeshi wao 70 kuuliwa kwa mpigo. Tumeona jana 70% wakijiondowa Ghaza na leo mpaka saa hizi pamekuwa kimya sana pande zote mbili mpaka sasa.

Hiyo ni dalili ya mazayuni kuomba poo kimya kimya.

Tuombe salama na tuone yatakuwaje mpaka baadae.
 
Back
Top Bottom