Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Mpaka dunianiTeule kuzimu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka dunianiTeule kuzimu
Hamas ikiwa kama kundi teule hakuna wakuifutaMisri nayo imeshauli pale magaidi ya hamas yamalizwe na yasiwe na jeshi kabisa israel ameshauriwa na waislam wenye akiki zao wafute vimelea vyote vya hamas
Sasa hizi lwakubalu na mnazo lialia nini mpaka sasa magaidi 26000 yameuliwa pale gaza ni 1% ya magaidi yameuliwaHamas ikiwa kama kundi teule hakuna wakuifuta
Labda Mungu pekee ila sio hii israhell mnayodai ilishinda vita ya siku sita
Halag leo mtake aifute hamas inayokaa eneo lenye ukubwa wa viwanja vitatu vya mpira tena wa chandimu
NIliwahi ona humu kwamba Misri iliitaarifu Israel kuhusu kushambuliwa na Hamas.
Nadhani waliacha kusudi ili wapate sababu ya kuwamaliza huko Gaza.
Ama kuhusu kujiandaa nadhani umewachukua miaka kujenga maficho imara kwa msaada wa washirika wao kama Iran, Syria Qatar,uturuki na vikundi vingine.
Hawana kambi juu ya ardhi,kambi zao zipo ardhini, juu yao majumba , milango ya hospitali, hii yote ni kimbinu zaidi maana ili uwafikie lazima uuwe watu wengi,wakiwamo Hamas militant wenyewe wakiwa wamevaa kiraia.
Kwa maana nyingine waliwatega Israel kwenye jamii ya kimataifa kama.ilivyo sasa . Siyo kweli kwamba wanakuwa ni raia tu bali ni wanajeshi wa Hamas waliovaa mavazi ya kiraia, wametoka mashimoni wakiwa kiraia na kukimbilia kwenye Makambi ya wakimbizi, mahospitali na miundombinu mingine ya kiraia.
Kuwamaliza siyo rahisi labda idf ikae pale Gaza kwa miaka, huku ikizuia upokeaji wa silaha na vifaa vya kijeshi kutoka kwa washirika wao.
Mkenya nakushangaa sana, unafikiri mazayuni wankutambuwa wewe? Wewe wa kutemewa makohozi tu.
Nakushangaa sana unashadadia watoto na wanawake kuuliwa na watu waliokuulia "mungu" wako.
Sema Mazayuni hawajala kichapo kama hiki toke wapewe hiyo ardhi na Muingereza 1948, jionee:
View attachment 2833492
Inasemekana zaidi ya wanajeshi 900 wa kizayuni wameuliwa.Ama kweli usicheze na allahMbona kidogo sana hayo, nijuavyo kuna mahandaki zaidi ya 5,000.
Ngoma ya kuwasambaratisha mazayuni haijaanza bado, hao Hamas wanachokonoa tu, hiyo ni bashraf tu mziki mkamili kwa wajomba wa mungu wako, wanaemkana, upo njiani.
Mr Uharo.Nilikua najiuliza kwanini HAMAS wafanye kitu ambacho kimekuja kuwaletea hasara mara mia na kusababisha wafutwe Gaza.....
Aisei hiki kilikua kiama kwa Israel, hawa jamaa walijiandaa kwa muda mrefu sana, mpaka sasa Israel imegundua mahandaki 800 na imefumua 500, bora ishikilie hapo hapo, safisha hiyo Gaza bila kuskliza kenge yeyote maana Israel ingefutika tukiiona hivi hivi.
Inaonekana huu mpango ulikua umesukwa na mataifa yote ya ile dini, na ilikua HAMAS washambulie halafu hao wengine waje kwa kumalizia, ila Marekani wakaingiza dubwana la meli pale na kusema asiyependa maisha yake ajaribu kujikuna, wakaufyata wote ikiwemo kubwa la magaidi wa kidni Iran.
=========================
IDF says 800 tunnels discovered in Gaza op, 500 destroyed or sealed
Military says hundreds of kilometers of tunnels, many of which link Hamas’s ‘strategic assets,’ eliminated; IDF Arabic spokesperson urges Shejaiya battalion to surrender
The Israel Defense Forces said Sunday that troops have discovered more than 800 tunnel shafts in the Gaza Strip since the beginning of the ground offensive targeting the Hamas terror group that began in late October.
The military said that around 500 of them have already been destroyed, either by setting off large explosive charges inside or by sealing them.
According to the IDF, many of the tunnels connect Hamas’s “strategic assets.”
Unapingana na Faiza?Huyu kichaa kila akisikia uwongo wa Israel anauleta hapa, hivi hao mashoga wangegundua hayo ma tunnels siwangeita fox news, cnn, bbc na European media [emoji1]
Ukiona hawakuwaita ujuwe wazi wanacho ongea ni uwongo, wali acting ile movie ya Alshifaa Hospital ilipo kosa soko wakaifuta, hata hizo tunnels sijui wameziona wako usingizini wana ota si bora wakatafute my producers na madirectors kutoka Bollywood wanaweza kutengeneza filim nzuri sana ikapata soko India [emoji1]
Au waligundua yale mafake tunnels walipoingia wakafukiwa humo humo wapo hai [emoji1]
Hamas wameizingira Israel wanachakaza balaaMimi natazama habari za ukweli sio wewe unatazama cnn, bbc, na Israel channels au European channels hizo zote ni propoganda tu, kwa tarifa yako Hamasi wako ndani ya Israel wanazipiga huko
Afu wape hongera jeshi la America na Uingereza askari wao 180 wako Jahanamu tokea jana [emoji1]
Jana maaskari 3000 wa US wamedonyolewa na wana muqawamaHahaha. Wameshindwa kwa miaka 75 wataweza sasa?
Sema sasa mwisho wao ndiyo unefika.
Wameshaond9kanhuko kwa malaki kukinbilia ulaya na USA.
Na kimeshaanza kunukishwa Tel Aviv, wanaagiziwa vitu kutokea mbali. Hawana raha huko.
Unajuwa hii ndiyo vita yao ndefu kuanzia mwaka 1948?
Unajuwa jana USA kadonyolewa meli zake tatu?
Lazima utakua na damu ya kiarabu upande wa ujombani.Mbona kidogo sana hayo, nijuavyo kuna mahandaki zaidi ya 5,000.
Ngoma ya kuwasambaratisha mazayuni haijaanza bado, hao Hamas wanachokonoa tu, hiyo ni bashraf tu mziki mkamili kwa wajomba wa mungu wako, wanaemkana, upo njiani.
Israel wanaomba msaada kutoka Nato hawasaidie kuishambulia Yemen mashoga kweli😂 wapeleke ndege zao Yemen waome kama zitarudi wao wanapigana na watoto na wagonjwa na majengo.Mandiko ya kunyonya ulimi 😄 we unauhakika aliye andika hakuwa na akili kama zako? Vipi Mtume wenu Paulo kwanini alikuwa hapendi wanawake? Hivi kuna mwanaume yuko sawa akachukia wanawake? Hauoni kambukiza mpaa mapadri wengi ni mashoga kama yeye
Tazama Yemen anavyo mpelekea zawadi Israel
Hahaha naona mnajiliwaza na kujifariji vita ndiyo vinaanza mabwana zenu kila siku wapo msibani.Kazi inakwenda kwisha, popote Hamas walipojificha Gaza wanasakwa na kusambaratishwa mara moja.
Israel imesema wazi haitaacha chochote kinachowaficha Hamas iwe kisiki, kichuguu, kichaka, kiota, shimo au handaki lolote Gaza kubakia salama, viwe vimefichwa shuleni, hospitalini, msikitini, kanisani, kambini vyote vitagezwa majivu.
Afu nimewambia hapa wanabisha wanajeshi wa Israel wamepata maradhi wanajiharia hovyo pale GazaIsrael wanaomba msaada kutoka Nato hawasaidie kuishambulia Yemen mashoga kweli😂 wapeleke ndege zao Yemen waome kama zitarudi wao wanapigana na watoto na wagonjwa na majengo.
Wenzako wanajiharia hovyo sasa pale GazaJipe moyo
Acha kupotosha watu wewe. Ni kweli,Wanajeshi wa Israel karibu 70% wameondoka Kaskazini mwa Gaza kuelekea Kusini mwa Gaza. Kaskazini mwa Gaza ndio Kuna Mji wa GAZA CITY,Huko kazi imekamilika. Mji umesambaratishwa na umebaki Magofu tu. Miundombinu ya Mahandaki ya Hamas imesambaratishwa yote. Mpaka Sasa,Israel imegundua Mahandaki 800 na Kati ya hayo,500 yapo Kaskazini mwa Gaza ambapo kazi ya kuyasambaratisha imekamilika. Yamebaki 300 ambayo yapo Kusini mwa Gaza kwenye mji wa Khan Yusin. Sasa Israel imehamishia Vita Huko make kule Kaskazini kazi imekwisha. Wamebaki Wanajeshi wa IDF wachache ambao wanalinda Usalama ndani ya Mji huo.Kuna kila dalili za mazayuni wameomba poo kimya kimya baada ya juzi wanajeshi wao 70 kuuliwa kwa mpigo. Tumeona jana 70% wakijiondowa Ghaza na leo mpaka saa hizi pamekuwa kimya sana pande zote mbili mpaka sasa.
Hiyo ni dalili ya mazayuni kuomba poo kimya kimya.
Tuombe salama na tuone yatakuwaje mpaka baadae.
Mnashikiwa akilo kweli nyiie mapunguani hayo mahandaki umeyona kwenye TV? Mashambiulizo makali wanashambulia shule na hospital pamoja ambulance, majengo, watoto, nikuulize kama Gaza yote ipo kwa Israel vipi mateka zaidi ya 159 wako wapi?Acha kupotosha watu wewe. Ni kweli,Wanajeshi wa Israel karibu 70% wameondoka Kaskazini mwa Gaza kuelekea Kusini mwa Gaza. Kaskazini mwa Gaza ndio Kuna Mji wa GAZA CITY,Huko kazi imekamilika. Mji umesambaratishwa na umebaki Magofu tu. Miundombinu ya Mahandaki ya Hamas imesambaratishwa yote. Mpaka Sasa,Israel imegundua Mahandaki 800 na Kati ya hayo,500 yapo Kaskazini mwa Gaza ambapo kazi ya kuyasambaratisha imekamilika. Yamebaki 300 ambayo yapo Kusini mwa Gaza kwenye mji wa Khan Yusin. Sasa Israel imehamishia Vita Huko make kule Kaskazini kazi imekwisha. Wamebaki Wanajeshi wa IDF wachache ambao wanalinda Usalama ndani ya Mji huo.
Sasa hivi Vita imehamia Kusini kwenye mji wa pili kwa ukubwa wa KHAN YUNIS ambao mashambulizi Ni makali Sana. Ndege za IDF zimedondosha vipeperushi kwenye mji huo kuwataarifu raia kuhamia kwenye Mahema kandokando ya Bahari ambapo hakina huduma ya umeme,maji Wala Chakula.
Kwahiyo usidanganye watu eti IDF imekimbia Kaskazini mwa Gaza Bali imehamisha mashambulizi yake kule Kusini. Hakuna Wanajeshi waliorudishwa Nyumbani. Wanahama Gaza kutoka eneo Moja kwenda eneo jingine.
Afu nimewambia hapa wanabisha wanajeshi wa Israel wamepata maradhi wanajiharia hovyo pale Gaza
View: https://youtu.be/AhwpRj5utgQ?si=i0KOZnk7TgktKpSk
Yemen maskini wakubwa hata sie tuna nafuu, hamna kitu pale.Israel wanaomba msaada kutoka Nato hawasaidie kuishambulia Yemen mashoga kweli😂 wapeleke ndege zao Yemen waome kama zitarudi wao wanapigana na watoto na wagonjwa na majengo.