Ndio naanza kupata picha kwanini HAMAS walishambulia, walijipanga sana, mahandaki 800

Ndio naanza kupata picha kwanini HAMAS walishambulia, walijipanga sana, mahandaki 800

Sasa kama wanaume wakifika huko wananyaka bikra 72 kila mmoja na kuanza kutembeza NDIZI kama mchwa, je, wanawake wakifa na wakafika huko watakutana na madume ya mbegu mangapi?
wanapigwa mtungo kama akina Faizafoxy [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna kila dalili za mazayuni wameomba poo kimya kimya baada ya juzi wanajeshi wao 70 kuuliwa kwa mpigo. Tumeona jana 70% wakijiondowa Ghaza na leo mpaka saa hizi pamekuwa kimya sana pande zote mbili mpaka sasa.

Hiyo ni dalili ya mazayuni kuomba poo kimya kimya.

Tuombe salama na tuone yatakuwaje mpaka baadae.
mabomu yakifuata msiseme hatukuwaambia [emoji23][emoji23]
 
Israel are considering flooding the tunnels. Hii ya kumtoa nyoka pangoni naona kama itaondoka na mateka
 
Wewe ni chawa usiejielewa umewaacha Ukraine wanakufa kule umehamia Israeli...

Em tupe update nini kinaendelea Ukraine
 
Israel are considering flooding the tunnels. Hii ya kumtoa nyoka pangoni naona kama itaondoka na mateka
Israhell mwaka huu hakuna rangi ataacha kuona
Kama anaweza ahamishe bahari yote hapo ukanda wa ghaza
Ila hataifuta hamas na wala hatakomboa magaidi wake hata mmoja
Watu pekee wanaoweza kuwaokoa magaidi walotekwa na hamas ni hamas wenyewe
Wengineo wooote lazma wakubali kukaa na hamas ili wapewe magaidi wao laa sivyo wanahangaika tuuu
Israhell ilopiga mataifa yote ya kiarabu kwa siku sita leo imefikia huko[emoji3][emoji1787][emoji3]
 
kinachowajia kichwan huwa mnalopoka , wapo ndan ya Israel , wapo mji gan wa Israel? kama wapo kwenye makaz ya waarabu wanawaua ndugu zao
😄 Nilikuiwa nadhani Gaza mmeiteka kumbe bado, nyie simlisema Israel kaichukua North Gaza yote.

Kuja kushtukia nikaona Hamasi kaipiga camp ya Israel pale Gaza , kwa hio mmekubali bado Gaza ipo chini ya Hamasi 😄

Sa nani muongo mimi au nyie, kule North Gaza naona wanakimbia, wanadhani kule South wataonyesha Hollywood film za ki Rambo 😄
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Huwa unatuongopea wazi wazi huku unajiamini kabisa
Hapana dogo nyie simlisema Israel kaisha ichukua North Gaza au hamkusema 😄

Mimi nilidhani Gaza imeisha kuwa taifa teule la bibilia kumbe bado, poleni sana nasikia mmekimbia huku mnaharisha, tukiwambieni Hamasi ni number 1 mnabisha, wabishi nyie sa kule South simtafurushwa.pia.
 
Israhell mwaka huu hakuna rangi ataacha kuona
Kama anaweza ahamishe bahari yote hapo ukanda wa ghaza
Ila hataifuta hamas na wala hatakomboa magaidi wake hata mmoja
Watu pekee wanaoweza kuwaokoa magaidi walotekwa na hamas ni hamas wenyewe
Wengineo wooote lazma wakubali kukaa na hamas ili wapewe magaidi wao laa sivyo wanahangaika tuuu
Israhell ilopiga mataifa yote ya kiarabu kwa siku sita leo imefikia huko
emoji3.png
emoji1787.png
emoji3.png
Alipiga mataifa ya kiarabu kwa kusaidiwa na America na Europe pamoja na Russia wakati ule warabu walikuwa wanatumia K45 na Mig 15
 
😄 Nilikuiwa nadhani Gaza mmeiteka kumbe bado, nyie simlisema Israel kaichukua North Gaza yote.

Kuja kushtukia nikaona Hamasi kaipiga camp ya Israel pale Gaza , kwa hio mmekubali bado Gaza ipo chini ya Hamasi 😄

Sa nani muongo mimi au nyie, kule North Gaza naona wanakimbia, wanadhani kule South wataonyesha Hollywood film za ki Rambo 😄
Kwani ni Uongo, North Gaza iko mikononi mwa Israel kwa zaidi ya wiki mbili sasa. Dunia yote inajua hivyo, na Hamas wanakiri hivyo.

Israel anawezaje kuwa na Camp katika Northern Gaza kama hana umiliki wa hilo eneo?

Kwa 90% ya eneo la North Gaza ni kama Israel kamaliza operation zake za ardhini hivyo kaamua kuhamishia nguvu zake kwenda Gaza kusini ili kuondoa uchafuzi wote wa Hamas.
 
dini ya mashetan hiyo , amken , hata quran inasema siku za mwisho shetan atakuja na kulazimisha kila mtu awabudu usipofanya hivyo atakutesa hata kukuua , AMKENI
MPumbavu , hujui maandiko wala huna maarifa ya historia na geopolitics .
Hao mashoga unawashabikia ndio wana sheria za kwamba asiye katika Judaism basi sio binadamu na mtu huyo anafaa kuuawa ,hamna kitu kama unachoandika hapa kwenye Uislamu , Uislamu unamtambua Kristo / jesus

Na actually waislamu na quran yenyewe ina kiri kwamba Christ atarudi na aliwahi kuexist ,hamna kitu kama hicho kwenye Judaism , wao wanatumia Talmud and Kaballah ,vitabu vya kishetani vinavyomtukana huyo christ na hata ukristo wenyewe , kwenye Talmud mkristo ni nguruwe na mnyama anayefaa kuuawa na kufanywa mtumwa na mazayuni .
Nchi nyingi hapo Middle east kuna wakristo karne na karne ,na ndio chimbuko la ukristo ,nchi kama Syria , Lebanon ,Jordan ,Egypt NK ,kuna jamii kubwa tu za wakristo na wana coexist vizuri na waislamu kwa maelfu ya miaka
Mfano wale Coptic Christians WA Misri , lile ni moja kati ya dhehebu kongwe kabisa katika ukristo .
Tatizo wapumbav kama wewe ,hamfuatilii mambo ,vichwa vyenu ni vitupu ,vimejaa propaganda na false hood za mainstream media zinazolisha propaganda watu Kwa minajili ya kutengeneza uadui ambao haupo kati ya ukristo na uislamu ( divide and rule )
Wewe ni mpumbavu ,huna hekima wala maarifa
Mxieew
 
ujinga wako ni kuwa unasubir habari jamiiforums ili ubishane , nenda mitandao yote mikubwa kila siku yanaoneshwa mambo mapya , ENDELEA KUMUABUDU SHETANI
Umelishwa Matango pori ya propaganda Mainstream media za mazayuni cnn ,Reuters ,BBC nk mpaka kichwa kimeoza hicho .
 
Ukishajua ni nani anayemiliki na kudominate mifumo na vyombo upashaji habari na matukio duniani ,haitakuwa shida kwako kujua ni watu gani wanaohusika kutengeneza propaganda na kulisha watu hizo propaganda ili kutimiza matakwa yao
 
IDF wamesuka mkakati wa kukalia pale muda mrefu, maana mpaka upasafishe inabidi kutumia mabavu kwa mwaka na zaidi.
Na hicho kichwa chako kibovu ,unadhani ni mara ya kwanza IDF kufanya occupation Gaza ? , Unajua hayo mashoga ya Kizayuni yamefanya military occupation Kwa miaka mingapi kabla ya 2005 kutimua mbio kutoka Gaza ?
Na miaka yote hiyo wapo hapo Gaza ,Hamas walikuwepo wakiendelea na harakati za kuunda silaha na kujenga miundo mbinu ya chini ya ardhi
Ni mpumbavu pekee asiyejua historia ya huo mgogoro ndio anaweza kudhani Hamas wanaweza tokomezwa kindezi hivyo .
 
Boya tu ndio utakua huoni hiki kipigo, hamna siku nyingine kwenye historia ya ugomvi baina ya hayo mazombi ya dini yenu na Israel ambapo mumefanyiwa mnachofanyiwa leo hii, yaani mauaji ya kimbali na Gaza inafanywa shamba huku waarabu na nyie wote wafia dini mpo kimya mumeufyata, hamna mnachoweza kufanya.
 
Mkuu hizi habari za vita usiwe unaziami kwa 100%,zimetiwa chumvi ya kila aina,hiyo ndiyo principle ya vita,unapopigana vita hutakiwi kuripoti ukweli,huo mfumo wa kuripoti uwongo kwenye vita ulianzishwa na taifa la china miaka ya zamani,kuna taifa fulani hapa duniani linaitwa USA,walipokuwa wakipigana vita kule Vietnam vita iliyoisha miaka ya 70,vyombo vyake vya habari viliamua kuripoti ukweli kuhusu vita hiyo,na wakaipelekea USA kushindwa vita hiyo.
Kwa hiyo hapo unaweza kuona uwongo ni moja ya silaha kubwa sana inayotumika kwenye vita,ni bora mtu kufuatilia habari za Yanga anavyofanya maandalizi yake dhidi ya timu ya Mediama ya Ghana ,au habari za Simba avyojiandaa kumwinda Wydad hapo kwa mkapa,kuliko kufuatilia habari ambazo zimejaa propaganda na magongo mengine,mfano picha nyingi unazoziona kwenye vyombo vya habari zinazohusu Gaza,zimebadilishwa kwenye teknolojia ya AI ili kukidhi interest za hao wanazozitumia kwenye vyombo vya habari.

Kwa hiyo wewe ndiye mwenye habari za kweli au nikueleweje....maana kwa teknolojia za kisasa tunaona kabisa kinachofanywa Gaza, panafanywa shamba pale, hamna kinachoachwa.
 
MPumbavu , hujui maandiko wala huna maarifa ya historia na geopolitics .
Hao mashoga unawashabikia ndio wana sheria za kwamba asiye katika Judaism basi sio binadamu na mtu huyo anafaa kuuawa ,hamna kitu kama unachoandika hapa kwenye Uislamu , Uislamu unamtambua Kristo / jesus

Na actually waislamu na quran yenyewe ina kiri kwamba Christ atarudi na aliwahi kuexist ,hamna kitu kama hicho kwenye Judaism , wao wanatumia Talmud and Kaballah ,vitabu vya kishetani vinavyomtukana huyo christ na hata ukristo wenyewe , kwenye Talmud mkristo ni nguruwe na mnyama anayefaa kuuawa na kufanywa mtumwa na mazayuni .
Nchi nyingi hapo Middle east kuna wakristo karne na karne ,na ndio chimbuko la ukristo ,nchi kama Syria , Lebanon ,Jordan ,Egypt NK ,kuna jamii kubwa tu za wakristo na wana coexist vizuri na waislamu kwa maelfu ya miaka
Mfano wale Coptic Christians WA Misri , lile ni moja kati ya dhehebu kongwe kabisa katika ukristo .
Tatizo wapumbav kama wewe ,hamfuatilii mambo ,vichwa vyenu ni vitupu ,vimejaa propaganda na false hood za mainstream media zinazolisha propaganda watu Kwa minajili ya kutengeneza uadui ambao haupo kati ya ukristo na uislamu ( divide and rule )
Wewe ni mpumbavu ,huna hekima wala maarifa
Mxieew
Hivi ni kweli mwislam akibadili dini na kuwa mkristu basi adhabu yake ni kifo? nieleweshe kidogo
 
Mimi natazama habari za ukweli sio wewe unatazama cnn, bbc, na Israel channels au European channels hizo zote ni propoganda tu, kwa tarifa yako Hamasi wako ndani ya Israel wanazipiga huko

Afu wape hongera jeshi la America na Uingereza askari wao 180 wako Jahanamu tokea jana 😄
Kwa hiyo channel za salama aleku ndo pekee zinaongea ukweli? Na una hakika kabsa Hamas watashinda hii vita?
 
Back
Top Bottom