Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Leta hio history tuione, navyo fahamu hakuna nchi iliopigana na Yemen ikatoka imeshinda, siku zote Yemen ndio mshindi.Yemen maskini wakubwa hata sie tuna nafuu, hamna kitu pale.
Kasome historia waliwahi kukung'utwa na Israel hadi leo uchumi wao haujaweza kusimama...wale wamebaki kula mirungi tu.
We unataka upewe madume mangapi yanakutosha!?Sasa kama wanaume wakifika huko wananyaka bikra 72 kila mmoja na kuanza kutembeza NDIZI kama mchwa, je, wanawake wakifa na wakafika huko watakutana na madume ya mbegu mangapi?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Huwa unatuongopea wazi wazi huku unajiamini kabisaMimi natazama habari za ukweli sio wewe unatazama cnn, bbc, na Israel channels au European channels hizo zote ni propoganda tu, kwa tarifa yako Hamasi wako ndani ya Israel wanazipiga huko
Afu wape hongera jeshi la America na Uingereza askari wao 180 wako Jahanamu tokea jana [emoji1]
Huwa unaandika hizi comments huku unapiga kung fu na Karate kuonyesha ushupavu ulionao kwa medani za vita na hasa kinachoendelea hapo Gaza [emoji3]Hahaha. Wameshindwa kwa miaka 75 wataweza sasa?
Sema sasa mwisho wao ndiyo unefika.
Wameshaond9kanhuko kwa malaki kukinbilia ulaya na USA.
Na kimeshaanza kunukishwa Tel Aviv, wanaagiziwa vitu kutokea mbali. Hawana raha huko.
Unajuwa hii ndiyo vita yao ndefu kuanzia mwaka 1948?
Unajuwa jana USA kadonyolewa meli zake tatu?
Hahahaha ndiyo unavyojidanganya hao Wayemeni ndiyo matajiri hapo Tanzania kila siku wananunua majumba huko Tanzania njaa zenu mnawauzia😂Yemen maskini wakubwa hata sie tuna nafuu, hamna kitu pale.
Kasome historia waliwahi kukung'utwa na Israel hadi leo uchumi wao haujaweza kusimama...wale wamebaki kula mirungi tu.
Hata Dodoma wapo wengi tu maskini wakubwa wanajua kuzaliana tu kama panya.Hahahaha ndiyo unavyojidanganya hao Wayemeni ndiyo matajiri hapo Tanzania kila siku wananunua majumba huko Tanzania njaa zenu mnawauzia😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja waje Hamas wa JFHamas wameizingira Israel wanachakaza balaa
Sawa.Mbona kidogo sana hayo, nijuavyo kuna mahandaki zaidi ya 5,000.
Ngoma ya kuwasambaratisha mazayuni haijaanza bado, hao Hamas wanachokonoa tu, hiyo ni bashraf tu mziki mkamili kwa wajomba wa mungu wako, wanaemkana, upo njiani.
Kariakoo wanaimaliza😂Hata Dodoma wapo wengi tu maskini wakubwa wanajua kuzaliana tu kama panya.
Matajiri ni wachache sana, hasa wale walioishi bongo miaka mingi ambao mababu zao walijihusisha na biashara ya pembe za ndovu.
Hakuna anaelialia maadam kundi teule lihaiSasa hizi lwakubalu na mnazo lialia nini mpaka sasa magaidi 26000 yameuliwa pale gaza ni 1% ya magaidi yameuliwa
Vidume vya mbegu.Hata Dodoma wapo wengi tu maskini wakubwa wanajua kuzaliana tu kama panya.
Matajiri ni wachache sana, hasa wale walioishi bongo miaka mingi ambao mababu zao walijihusisha na biashara ya pembe za ndovu.
Mkuu hizi habari za vita usiwe unaziami kwa 100%,zimetiwa chumvi ya kila aina,hiyo ndiyo principle ya vita,unapopigana vita hutakiwi kuripoti ukweli,huo mfumo wa kuripoti uwongo kwenye vita ulianzishwa na taifa la china miaka ya zamani,kuna taifa fulani hapa duniani linaitwa USA,walipokuwa wakipigana vita kule Vietnam vita iliyoisha miaka ya 70,vyombo vyake vya habari viliamua kuripoti ukweli kuhusu vita hiyo,na wakaipelekea USA kushindwa vita hiyo.Nilikua najiuliza kwanini HAMAS wafanye kitu ambacho kimekuja kuwaletea hasara mara mia na kusababisha wafutwe Gaza.....
Aisei hiki kilikua kiama kwa Israel, hawa jamaa walijiandaa kwa muda mrefu sana, mpaka sasa Israel imegundua mahandaki 800 na imefumua 500, bora ishikilie hapo hapo, safisha hiyo Gaza bila kuskliza kenge yeyote maana Israel ingefutika tukiiona hivi hivi.
Inaonekana huu mpango ulikua umesukwa na mataifa yote ya ile dini, na ilikua HAMAS washambulie halafu hao wengine waje kwa kumalizia, ila Marekani wakaingiza dubwana la meli pale na kusema asiyependa maisha yake ajaribu kujikuna, wakaufyata wote ikiwemo kubwa la magaidi wa kidni Iran.
=========================
IDF says 800 tunnels discovered in Gaza op, 500 destroyed or sealed
Military says hundreds of kilometers of tunnels, many of which link Hamas’s ‘strategic assets,’ eliminated; IDF Arabic spokesperson urges Shejaiya battalion to surrender
The Israel Defense Forces said Sunday that troops have discovered more than 800 tunnel shafts in the Gaza Strip since the beginning of the ground offensive targeting the Hamas terror group that began in late October.
The military said that around 500 of them have already been destroyed, either by setting off large explosive charges inside or by sealing them.
According to the IDF, many of the tunnels connect Hamas’s “strategic assets.”
Unaandika kimipasho kama Mzee Yusufu..ila ndo zenu izo..mtachapwa hadi maji muite mmaaHahaha. Wameshindwa kwa miaka 75 wataweza sasa?
Sema sasa mwisho wao ndiyo unefika.
Wameshaond9kanhuko kwa malaki kukinbilia ulaya na USA.
Na kimeshaanza kunukishwa Tel Aviv, wanaagiziwa vitu kutokea mbali. Hawana raha huko.
Unajuwa hii ndiyo vita yao ndefu kuanzia mwaka 1948?
Unajuwa jana USA kadonyolewa meli zake tatu?
kinachowajia kichwan huwa mnalopoka , wapo ndan ya Israel , wapo mji gan wa Israel? kama wapo kwenye makaz ya waarabu wanawaua ndugu zaoMimi natazama habari za ukweli sio wewe unatazama cnn, bbc, na Israel channels au European channels hizo zote ni propoganda tu, kwa tarifa yako Hamasi wako ndani ya Israel wanazipiga huko
Afu wape hongera jeshi la America na Uingereza askari wao 180 wako Jahanamu tokea jana [emoji1]
narudia tena hakuna mungu anamtuma mwanadamu amuue mwanadamu mwenzio , MNAABUDU SHETANI , AMKENIUnajifurahisha au hauujuwi Uislam.
Wewe ni zayuni? Unamkana Yesu?
endelea kumuabudu shetan , muda utaongeaHamas kundi teule
jifariji ila hatutak vilioHahaha. Wameshindwa kwa miaka 75 wataweza sasa?
Sema sasa mwisho wao ndiyo unefika.
Wameshaond9kanhuko kwa malaki kukinbilia ulaya na USA.
Na kimeshaanza kunukishwa Tel Aviv, wanaagiziwa vitu kutokea mbali. Hawana raha huko.
Unajuwa hii ndiyo vita yao ndefu kuanzia mwaka 1948?
Unajuwa jana USA kadonyolewa meli zake tatu?
tupe maandiko yanayosema Mtume Paulo alichukia wanawakeMandiko ya kunyonya ulimi [emoji1] we unauhakika aliye andika hakuwa na akili kama zako? Vipi Mtume wenu Paulo kwanini alikuwa hapendi wanawake? Hivi kuna mwanaume yuko sawa akachukia wanawake? Hauoni kambukiza mpaa mapadri wengi ni mashoga kama yeye
Tazama Yemen anavyo mpelekea zawadi Israel
kwan wapalestina wanakutambua ww?Mkenya nakushangaa sana, unafikiri mazayuni wankutambuwa wewe? Wewe wa kutemewa makohozi tu.
Nakushangaa sana unashadadia watoto na wanawake kuuliwa na watu waliokuulia "mungu" wako.
Sema Mazayuni hawajala kichapo kama hiki toke wapewe hiyo ardhi na Muingereza 1948, jionee:
View attachment 2833492