Mtukutu wa Nyaigela
JF-Expert Member
- Sep 4, 2018
- 8,013
- 14,263
sahau kuhusu kutoboa kwa mshaharaWataalam wa Darisalaam nawasalim,
Ndo nmereport kazin apa na takehome ya 1M. Nipeni mbinu za kufanya ili kufikia mwisho wa mwaka huu nisiwe Tena mtegemezi wa mshahara.
Nipeni mbinu za kiasi gani Cha kusave, kuspend na kuinvest ili kijana wenu nisiwe napiga marktime.
Na kama nainvest nipeni ushauri noinvest katika biashara gani ambayo Haina risk sana kwa sisi tunafanya kazi za kuajiriwa.
Nipeni pia mbinu za kuhandle vizinga kutoka kwa wanawake,ndugu,jamaa na marafiki.
Natanguliza shukran.🙏