Ndoa hazivunjiki kwasababu ya kuoa mke bikira ila kwa kuchunguzana au kupelelezana period

Nadhani kila mtu afanye kile kinacho mpa furaha.
Mtu akiona kuoa bikra ndo furaha yake maamuzi yake yaheshimiwe ,atakaye ona bikra sio ishu mawazo yake yaheshimiwe.
 
Kinachofanya ndoa ivunjike ni uaminifu,na tabia za mwanamke katika ndoa yenyewe basi, hayo ya bikra hayahusiani kabisa wazee walioa bikra lakin tabia za wake zao ziliwashinda wakawapa talaka.

Ndio maana wakaimba uzuri wa mwanamke sio urembooo ni tabiaaa, hawakuimba uzuri wa mwanamke ni bikiraaaa kwa sababu zamani suala la bikira lilikuwa sio issue mabikira walikuwepo wa kumwaga shida iko kwenye tabia, utaona mwanamke bikra lakini ni mchawi, mchafu, ana matusi hiyo ndoa itadumu???
 
Mkuu laiti bikra ingekua deal kiasi hicho, huko mitaani wanawake wasingewaacha waliowatoa bikra wakaanzisha mahusiano mengine.
 
Ni sahihi, lakini katika mazingira haya ambayo wanaona ndoa sio issue unafikiri kutakuwa na motivation gani ya kuwafanya waitunze bikira kwa ajili ya kuolewa?
 
Nadhani kila mtu afanye kile kinacho mpa furaha.
Mtu akiona kuoa bikra ndo furaha yake maamuzi yake yaheshimiwe ,atakaye ona bikra sio ishu mawazo yake yaheshimiwe.
Kwa msingi wa hoja yako basi tuondoe katiba na sheria pia kila mtu aishi anavyotaka au sio? Lazima tukubali kwamba kuna watu hawawezi kujiongoza ivyo wenye huo uweze basi waweke misingi ya kuifuata. Masilahi ya ustawi wa jamii lazima yatangulizwe mbele ya masilahi na furaha ya mtu binafsi. Tumefika kwenye hatua hii ya kuwa na jamii ya ovyo ni kwa sababu ya kupuuza masuala muhimu kwenye mahusiano na ndoa.
 
Ilipaswa wawavumilie hadi watakapoweza kujitegemea coz kwenu bikra ndo kigezo cha uaminifu.

Kampeni ya kuoa bikra haitekelezeki coz sie wanaume ndo waharibifu wa hizo bikra.
 
Ni sahihi, lakini katika mazingira haya ambayo wanaona ndoa sio issue unafikiri kutakuwa na motivation gani ya kuwafanya waitunze bikira kwa ajili ya kuolewa?
Masuala ya kupuuza mambo muhimu kwenye mahusiano na ndoa ikiwemo hicho kipengele cha bikira ndio yametufikisha hapa, kwamba vijana wanaona ndoa sio ishu tena.

Mwanaume anafikiria nioe ili iweje wakati mambo yote ninayotakiwa kuyapata kwenye mwili wa mwanamke nayapata nikiwa bachelor.

Mwanamke nae anafikiri niolewe ili iweje wakati hata nikikitombesha mtaa mzima hakuna anaejali na nitaolewa tu uko mbeleni.

Kizazi hiki cha ovyo tulichonacho leo hii chanzo chake ni kumpa mwanamke uhuru usiokua na mipaka ikiwemo uhuru wa kufanya ngono kiholela holela bila kuwa accountable kwa yoyote, na ndicho indirectly anachotetea mtoa mada hapa

Ofcourse wanaume pia tunastahili lawama kwa sababu tumeshindwa ku-maintain standards zetu na kukubali wanawake watuwekee standards zao za hovyo.
 
Mnakosea kuongelea kiujumla. Hata tunaotetea dhana ya kuoa bikira tunakubali kwamba kuna masuala mengine muhimu ya kuangalia mfano tabia, magonjwa ya kirithi n.k lakini mada imespecify hapo kwenye bikira.

Linapokuja suala la uadilifu na kipimo cha mwanamke kujitunza na kujiheshimu basi mwanamke bikira hauwezi kumuweka kwenye mzani sawa na ambae sio bikira.

linapokuja suala la kutengeneza bond mchakato wa kupata chemistry na mwanamke mwenye flashback ya mboo alizochezea hauwezi kufananisha na mwanamke ambae anaijua mboo yako tu, na hapo inapokosekana iyo chemistry ndipo instict ya kucheat inapoanzia

Mnafanya mambo yawe magumu tu lakini mioyoni mwenu ukweli mnaujua
 
Nadhani umeandika mada hii bila kuelewa msingi wa hoja ya bikira. Umekuja na uamuzi ambao wala sio suluhu ya kuvunjika kwa ndoa zaidi ya nadharia.

MASWALI KWAKO:
1. Kati ya mwanamke bikra na yule anayefyatuliwa hovyo ni yupi ambaye ebeba sifa ya kuhimili vishawishi?

2. Unadhani kati ya mwanamke bikra na huyo unayemlilia wewe anayefukunyuliwa kila kukicha nibyupi ambaye anakutengenezea mazingira ya KUHESHIMIANA NA KUTOTILIANA SHAKA? Yaani uoe mwanamke aliyekuwa na maboyfriend wake (ma-ex) halafu akutengenezee mazingira ya kumwamini? Unaelewa maana yake? Ajitahidi kuficha usijue kama jamaa wanapasha kiporo!! Hata wewe mwenyewe huwezi kamwe kuwa na imani naye pale hao jamaawawapo naye kwenye mazingira ya pamoja.

Jaribu kufungua uelewa wako:
1. Katika zama hizi za uzinzi mkubwa, binti kudumu na bikra yake mpaka kuolewa ni sifa kuu. Siku ukielewa hilo utafuta huu uzi wako.

2. Mke aliyeolewa bikira kubadilika ni jambo la kawaida kulingana na mazingira yake. Uoemke bikra halafu umpe mtaji wa kwenda China kufuata high copy, unatarajia nini? Mke ana mashosti makahaba nawe hujali, unatakaje? Mke kila ukirudi ni masimago, manyanyaso, vipigo unadhani atakupenda?

3. Mke kudumu kwenye ndoa sio tu kuwa na bikira bali hiyo ni dalili kubwa. Kama wewe mwenyewe huna sifa za mume bora utawezaje kuishi na mkeo kwa amani?

4. HESHIMA ya mke kwa mumewe ni KUTOCHAPWA NJE!! Sasa wewe unaanza na mwanamke ambaye wahuni mtaani wakikuona naye wanajigamba wamechapa sana tu, wanajua uwezo wake kitandani. Afu unajidai mnaheshimiana? Lakini heshima ya mume kwa mkewe ni kumpa matunzo anayostahili. Na huo ndio upendo wa kweli.
 
kubakwa ni suala jingine ambalo ni jinai lina namna zake za kushughulikiwa kisheria, infact it rare issue, tukikusanya non-virgin women 1000 nina uhakika waliopoteza bikira zao kwa kubakwa hawawezi kufika hata watano, there is exception in everything but exceptionality don't count when we make rules.

Thamani ya mwanaume ni mali na thamani ya mwanamke ni mwili wake. Upande wa wanawake kwenye suala la kuolewa kigezo wanachoangalia ni uwezo wa kifedha wa mwanaume, they are determined and ruthless, they don't settle for less. Lakini wanaume mmekubali kushusha standards zenu na kuoa makahaba wastaafu mkidanganywa watu wanabadili, past doesn't matter na blah blah zingine.

Huwa nasikitika sana nikiona tupo kwenye kizazi cha vijana wa kiume kama wewe ambao mmezidiwa akili na wanawake
 
The red pill men. Sio wanaume kweli, wapo busy kushindana na wanawake. Wanajidai wanaume wa shoka wakidai wanataka wanawake wenye haiba ya kike wakati hawapo yaani they don't have what it takes kuishi na mwanamke wa aina hiyo
Tumewashtukia ndio maana tumeamua kuji-adjust kitalaamu kwenye mfumo. Ushawahi kusikia habari ya hakimi na mtalaka wake, fikiria kama mshkaji asingekaa kitaalamu nini kingemkuta?

Sasa hivi kuna kesi ya mchezaji wa man city anaotwa walker, mkewe anataka talaka na kupewa nusu ya mali za walker kwa sababu walker alimcheat na kuzaa na mwanamke mwingine nje ya ndoa.

I don't support cheating but wherever the reason is, losing half pf your wealth to a woman who added nothing just in account of marriage that's not fair.

Let switch sides, is she is the one cheated on her husband will the law hold her accountable in this way?

Tunapoongelea haya masuala muwe mnakuja na hoja nzito sio hizi personal attacks na mizuka tu.
 
Tunapoelekea ni kubaya zaidi, inaonekana wengi kwa kukimbia majukumu yao watakuwa tayari watimiziwe wao badala ya wao wayatimize kwa wanawake!!
Hoja zenu ni soft kama lossion, huwa mnaluka luka mwishoe mnaishia hapo kwenye suala la ushoga mkifikiri iyo ndio defensive machenism ya kututoa kwenye mstar. Leta hoja ambayo inachoma kama tindikali hata mtu akiisoma anajua hii hoja imetoka kwenye kichwa cha moto

Sikiliza bwana mdogo unachotaka kusema tunakijua

Tunajua kuna natural insticts ya kijinsia inayomfanya mwanaume kujiona ana anawajibika kumlinda mwanamke lakini iyo nature haiwezi kutufanya tusione uhalisia wa maisha katika kizazi tulichopo.

Lazima tujiulize maswali mujimu kabla ya kufanya maamuzi. Je huyu mwanamke wa kisasa tulienae leo hii anastahili izo sacrifice za mwanaume?

For this batch of modern women we stuck with in the streets today, is it save for me to risk my loyalty, kindness and resources in relationship with her?
 
Upumbavu mtupu.
Ushauri mwingi unaohisu hao mabikra.
Mara mwanamke uliyemtoa bikra hawezi kukusahau popote ulipo hata kama ameolewa na mwanaume mwingine.

Ni ujinga mtupu!
Kwani wewe mwanaume umemsahau mwanamke wako wa kwanza katika maisha yako kujamiana naye?

Kwa umri wetu hiyo kitu ilikuwa sio sifa kama sasa.
Mabikra walikuwa wanatolewa huko mashambani au huko mitoni kama utani.
Na hauwezi kuoa wote uliowatoa.
Lakini pia waliotolewa hiyo bikla wakiolewa na mabwana wengine walikuwa wanatulia na ndoa zao.
 
Wanaoshinda na wimbo wa mabikra ndio haohao walioshindwa majukumu na kujificha kwenye kichaka cha kataa ndoa.
 
Baba yake Hakimi angefanya kazi nzuri, asingefika huko na mkewe. Na pia, ukishakuwa na status ni muhimu kujua na kuangalia nani wakuwa mama wa watoto wako, maana kuzaa tu sio shida. Malezi ni muhimu.

Na kwa hiyo case ya jamaa wa man city, unajua ukioa, zinaa is punishable kisheria mwenzako akikushitaki? Na kuomba talaka ni haki yake

Bado hujasema Natafuta Ajira
 
Hakika, Hii tuiite meninism.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…