Ndoa hizi zitatuua jamani!

Ndoa hizi zitatuua jamani!

Ndoa hizi zitatuua.Jamani ipo hivi .Mimi ni mme mwenye mke mmoja na mtoto mmoja.Mke huyu tumetoka nae mbali tulianza nae mwaka 2008. Changamoto aliyo nayo ni kelele na wivu uliopitiliza yani sina amani ndani akianza kuongea hamalizi .

Kiufupi tabia yangu niyakawaida sichepuki sana. Sasa juzi hapa kafanya kituko nimetoka mapema asubuhi kumbe huku nyuma kafanya vurugu kwa majirani yupo mama mmoja ni msimbe sasa mke wangu anahofia kuwa natembea nae .

Kiukweli huyu mama hata sijawahi kumtongoza ila mke wangu anamuhofia bure.Hili jambo linanipakero sana.

Mungu kajaria tumejenga sasa kila siku ananitisha kwamba tutauza nyumba tugawane.
Vurugu ikizidi sana hii ndoa itakuja kufa bora kuanza upya kuliko kuishi bila amani.

Hivi wadau mnaishije na aina hii ya wanawake. Ninachangamoto sana yani hapa nimekaa juu ya jiwe kijiweni nawaza namna ya kurudi nyumbani maana nikifika tu ni kelele.
Nawasilisha wakuu.
nikupe mbwinu ya kuishi na mwanamke wa hivyo, pre empty her mwanamke yeyote ambaye ni threat kwake jifanye kwa njia yeyote ile ajue humkubali, kwa namna yeyote.Kuishi ni akili, itumie.
 
Pole mkuu ndio wanawake hao. Tena hawa wa kisasa ndio salalee. Hivyo vitiaho vya kuuza na kugawana ndio anavyotaka huyo, kama hio tabia anayo tangu kitambo basi mvumilie ni swala la muda tu kuna umri ukifiaka ataacha ila kama kaanza muda si mtefu basi ana malengo yake ushindwe mpige pasu
 
Broo kukaa kimya ndio kumpa kiki huyu vurugu zake ni wivu uliopitiliza unajua inafika muda sipendi hata kukaa nyumbani. Yani yeye kila mwanamke kwake ni mbaya.
Mfanyie yale ulikuwa ukimfanyia kabla na soon baada ya ndoa. Anaona mabadiliko kwako ndio mana anapata wivu.
 
Pole sana kaka, unamlomba vizuri kweli? Ukiwa unampiga miti papuchi inatoa harufu ya mishkaki inayoungua? Kama sivyo basi jitathimini

Again fanya hivi, tafuta milioni 3 na nusu, tafuta kijana baro baro amtongoze na awe anamuhonga hizo hela utakazompatia jamaa kama nyenzo mama ya kazi, matokeo yake ni wazi kabisa Jamaa atamlomba mkeo na atakupa ushahidi, ukishapata huo ushahidi tumia hiyo njia kuachana na mkeo, baada ya hapo usioe tafuta kabinti kazuri uwe unakapiga paipu tuu, naweza kukusaidia kukulombea mke wako ili utufumanie upate kigezo cha kumuacha, pole sana ndugu mlipa kodi
 
mke wangu anahofia kuwa natembea nae .
Mimi naona wewe ndio una tatizo tangu 2008 mna mtoto mmoja tu? Itakua humkazi ndio maana ana charuka, mpe Mimba mfululizo ajihakikishie kua hio himaya ni yake wewe unacheka nae dada yako huyo?
 
Hivi wadau mnaishije na aina hii ya wanawake. Ninachangamoto sana yani hapa nimekaa juu ya jiwe kijiweni nawaza namna ya kurudi nyumbani maana nikifika tu ni kelele.
Nawasilisha wakuu.
Mkuu vumilia tu,mwana kulitaka mwana kulipata.
Mi nilikua nae km huyo.
Nikitoka job sa 5 usiku
Nikawa kuepusha mambo napita pub piga moja mbili ili nikirudi kalala.
Aah siku nikabanishwa na polisi mtaani nikalazwa selo
Mara ya pili tena selo.
Yote ni kumkwepa yeye tu.
Nikaona hapa ntakufa.
Nilimkangata makofi akazima,kuamka kapiga polisi wakaja pale.
Ndo nikashkuru wameniokoa toka kwa shetani.
 
2008 mna mtoto mmoja hadi leo...
Hujakamilika. Wacha uendelee nyanyasika.
 
Back
Top Bottom