New City
JF-Expert Member
- Apr 17, 2014
- 2,880
- 3,794
Aaaaghh mhasibu unazingua 😁Mpige pumbu kisawasawa apunguze kelele. Itakuwa unampapasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaaaghh mhasibu unazingua 😁Mpige pumbu kisawasawa apunguze kelele. Itakuwa unampapasa
ndoa ni UPUMBAVU.Sasa ndoa yako unaileta jf kwa public judgement? It is not fair
nikupe mbwinu ya kuishi na mwanamke wa hivyo, pre empty her mwanamke yeyote ambaye ni threat kwake jifanye kwa njia yeyote ile ajue humkubali, kwa namna yeyote.Kuishi ni akili, itumie.Ndoa hizi zitatuua.Jamani ipo hivi .Mimi ni mme mwenye mke mmoja na mtoto mmoja.Mke huyu tumetoka nae mbali tulianza nae mwaka 2008. Changamoto aliyo nayo ni kelele na wivu uliopitiliza yani sina amani ndani akianza kuongea hamalizi .
Kiufupi tabia yangu niyakawaida sichepuki sana. Sasa juzi hapa kafanya kituko nimetoka mapema asubuhi kumbe huku nyuma kafanya vurugu kwa majirani yupo mama mmoja ni msimbe sasa mke wangu anahofia kuwa natembea nae .
Kiukweli huyu mama hata sijawahi kumtongoza ila mke wangu anamuhofia bure.Hili jambo linanipakero sana.
Mungu kajaria tumejenga sasa kila siku ananitisha kwamba tutauza nyumba tugawane.
Vurugu ikizidi sana hii ndoa itakuja kufa bora kuanza upya kuliko kuishi bila amani.
Hivi wadau mnaishije na aina hii ya wanawake. Ninachangamoto sana yani hapa nimekaa juu ya jiwe kijiweni nawaza namna ya kurudi nyumbani maana nikifika tu ni kelele.
Nawasilisha wakuu.
Baada ya kupoteza miaka 16 kwenye ndoa, jamaa sasa anaona Bora kuanza upyaaa.NDOA NI UTAPELI,TAFUTA AMANI YA MOYO:CC:Mkuu wetu mr Liverpool VPN
Imagine 🤣🤣Kwamba waogopa kurudi nyumbani kwako, si ndiyo?
Chaa... Lanyeee... 🤣🤣Piga kelb mbili tatu atatii akili
Mfanyie yale ulikuwa ukimfanyia kabla na soon baada ya ndoa. Anaona mabadiliko kwako ndio mana anapata wivu.Broo kukaa kimya ndio kumpa kiki huyu vurugu zake ni wivu uliopitiliza unajua inafika muda sipendi hata kukaa nyumbani. Yani yeye kila mwanamke kwake ni mbaya.
Mimi kama katibu mwenezi wa kataa ndoa, nakazia.ndoa ni UPUMBAVU.
#YNWA
Au sio 😂😂😂Mimi kama katibu mwenezi wa kataa ndoa, nakazia.
kATAA NDOA LINDA UHURU WAKO
kATAA NDOA LINDA MAISHA YAKO
kATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKO
Nakazia sana hapaMimi kama katibu mwenezi wa kataa ndoa, nakazia.
kATAA NDOA LINDA UHURU WAKO
kATAA NDOA LINDA MAISHA YAKO
kATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKO
Mimi naona wewe ndio una tatizo tangu 2008 mna mtoto mmoja tu? Itakua humkazi ndio maana ana charuka, mpe Mimba mfululizo ajihakikishie kua hio himaya ni yake wewe unacheka nae dada yako huyo?mke wangu anahofia kuwa natembea nae .
Mkuu vumilia tu,mwana kulitaka mwana kulipata.Hivi wadau mnaishije na aina hii ya wanawake. Ninachangamoto sana yani hapa nimekaa juu ya jiwe kijiweni nawaza namna ya kurudi nyumbani maana nikifika tu ni kelele.
Nawasilisha wakuu.