Sina maneno mengi sana leo ila wacha niwape ukweli kuhusu kufa kwa ndoa na sababu iliyo sababisha.
- Pale tu walipo ruhusu mwanamke atafute pesa kwa udi na uvumba kama mwanaume ndipo ndoa ilikufa mazima.
- Pale tu walipo ruhusu usawa wa kijinsia ndipo ndoa ilijifia.
- Pale tu waliopo ruhusu mwanamke asome kwa level ya juu sana ndipo ndoa ilijifia.
- Pale tu walipo ruhusu mwanaume atoke na mwanamke atoke kwenda kwenye mahangaiko na kuacha mfanyakazi ndipo ndoa ilijifia.
Mwisho: Siku hizi hakuna ndoa ila kuna maigizo ya baba na mama, mume na mke.
HII KWA WAPUMBAVU HAWATA KUELEWA;
1.WATAKUAMBIA WEWE NI MTETEZI WA MFUMO DUME(MFUMO WA KUTESA, KUNYANAYASA NA KUKANDAMIZA WANAWAKE!)
2.WANASHINDWA KUJUA MFUMO JIKE/MFUMO WA USAWA NI MFUMO ULIO UA MGAWANYO WA MAJUKUMU WA ASILI. KWAMBA MWANAUME ATAFUTE KWA JASHO NA KUTUNZA FAMILIA. MWANAMKE ALEE WATOTO NA FAMILIA
3.KWA SASA MALEZI YA WATOTO YANAFANYWA NA MTU WA TATU(NDUGU, MAJIRANI NA WASICHANA WA KAZI AU WALIMU YA DAY CARE).
4.MWANAMKE KUWA MBALI NA MALEZI YA WATOTO NA FAMILIA YAKE, NDIO SABABU KUU YA UJIO NA KUSAMBAA KWA MASHOGA. KWAMBA MASHOGA NI MATOKEO MAZURI YA HAKI SAWA, USAWA WA JINSIA NA HARAKATI ZA KUETETEA MWANAMKE.
WENYE AKILI WANAELEWA KWAMBA:
1. ADUI WA KWANZA SIO MWANAUME, WALA MFUMO DUME BALI MALEZI NA MAKUZI YA HUYO MTOTO/WATOTO.
JE MTOTO UNAYEMLEA MWENYEWE ANAWEZA KUWA MUME/BABA BORA BAADAYE? JE MTOTO ANAYELELEWA NA MISCHANA WA KAZI ANAWEZAJE KUJA KUWA MWENZA BORA KWENYE NDOA?
2.ADUI WA PILI NI KUKOSEKANA KWA UWIANO WA HIZI JINSIA. KATI YA WATU 10 WAWILI WANAUME NANE WANAWAKE! BADALA YA KUJIKITA KWENYE PROGRAM ZA KUHAMASISHA UZAZI WA WATOTO WA KIUME. WATU TUKO BIZE NA KUPINGA MFUMO DUME!