Ndoa imemaanishwa kwa watu ambao hawajakutana kimwili

Kazanazo

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2023
Posts
7,875
Reaction score
12,665
Ndoa imelenga kuwakutanisha watu kwa ajili ya kuanza kujamiiana na sio vinginevyo, sasa nawashangaa watu kufunga ndoa baada ya kugegedana sijui wanafunga ndoa ili iweje

Yani mshaingiliana kimwili mara kadhaa na wengine hadi kuzaa watoto hapo ndoa ya kazi gani maana lengo kuu la kufunga ndoa ni ili kuwakutanisheni kimwili sasa mshakutana tayari ndoa ya kazi gani?
 
Hii imatokana na malipo makubwa ya mzigo pamoja na usalama na uhakika wamzigo kutokana kuwa sikuhizi mambo ni mengi ni vizuri kuhakiki mzigo kabla ya kulipia.
Kwahiyo mnafunga ndoa ili iweje na mshachunguliana
 
vijana wadogo mnasumbua sana na vitu vilivyowazidi uwezo kifikra
 
Ndoa imelenga kuwakutanisha watu kwa ajili ya kuanza kujamiiana na sio vinginevyo, sasa nawashangaa watu kufunga ndoa baada ya kugegedana sijui wanafunga ndoa ili iweje

Yani mshaingiliana kimwili mara kadhaa na wengine hadi kuzaa watoto hapo ndoa ya kazi gani maana lengo kuu la kufunga ndoa ni ili kuwakutanisheni kimwili sasa mshakutana tayari ndoa ya kazi gani?
Kuna na wale wanaoa wanawake walishaingiliwa na wanaume wengine unawaambiaje?
 
Back
Top Bottom