Ndoa imemaanishwa kwa watu ambao hawajakutana kimwili

Ndoa imelenga kuwakutanisha watu kwa ajili ya kuanza kujamiiana na sio vinginevyo, sasa nawashangaa watu kufunga ndoa baada ya kugegedana sijui wanafunga ndoa ili iweje

Yani mshaingiliana kimwili mara kadhaa na wengine hadi kuzaa watoto hapo ndoa ya kazi gani maana lengo kuu la kufunga ndoa ni ili kuwakutanisheni kimwili sasa mshakutana tayari ndoa ya kazi gani?
Hizi nguvu unazotumia hapa kulalamikia watu kufunga ndoa baada ya kukutana kimwili, ungeitumia kwenda shamba kulima! Nina uhakika msimu wa mavuno ungekuwa mkulima tajiri.
 
Kuna na wale wanaoa wanawake walishaingiliwa na wanaume wengine unawaambiaje?
Kama hawajawahi kukutana ni sawa hiyo ndio maana halisi ya kuoana

Wenyewe wanasema hainaga makombo
 
Ndoa imelenga kuwakutanisha watu kwa ajili ya kuanza kujamiiana na sio vinginevyo, sasa nawashangaa watu kufunga ndoa baada ya kugegedana sijui wanafunga ndoa ili iweje

Yani mshaingiliana kimwili mara kadhaa na wengine hadi kuzaa watoto hapo ndoa ya kazi gani maana lengo kuu la kufunga ndoa ni ili kuwakutanisheni kimwili sasa mshakutana tayari ndoa ya kazi gani?
Naye atamuacha baba yake na mama yake na kuambatana na mwenzi wake....
 
Tuache tukaguane habari ya kukutana na mtu ana mzigo km kabebea ukoo mzima hatutaki… 😹😹😹
 
Hizi nguvu unazotumia hapa kulalamikia watu kufunga ndoa baada ya kukutana kimwili, ungeitumia kwenda shamba kulima! Nina uhakika msimu wa mavuno ungekuwa mkulima tajiri.
Bila shaka hapo ulipo unalima mkuu kama nipo sahihi nipe like
 
Ndoa imelenga kuwakutanisha watu kwa ajili ya kuanza kujamiiana na sio vinginevyo, sasa nawashangaa watu kufunga ndoa baada ya kugegedana sijui wanafunga ndoa ili iweje

Yani mshaingiliana kimwili mara kadhaa na wengine hadi kuzaa watoto hapo ndoa ya kazi gani maana lengo kuu la kufunga ndoa ni ili kuwakutanisheni kimwili sasa mshakutana tayari ndoa ya kazi gani?

NDOA ikikosa msingi wake UPENDO mwisho wake ni taraka, ni HATARI sana kuingia katika NDOA kwa msingi wa MAPENZI

Mapenzi yapo ndani ya muda na mambo hivyo yanabadilika kwa kadiri muda na Mambo yanavyobadilika. NDOA ikiwa imejengwa juu ya msingi wa mapenzi hakika itakuwa inayumba yumba kwani msingi wake mapenzi sio imara

Mapenzi ni ukaribu wa miili na hatua ya mwisho ya mapenzi ni sex i.e ngono
 
Naye atamuacha baba yake na mama yake na kuambatana na mwenzi wake....
Upo sahihi mkuu kwa maana wakati anamuacha baba na mama yake ndio anafunga ndoa ili kwenda kugegedwa/kugegeda
 
NDOA ikikosa msingi wake UPENDO mwisho wake ni taraka, ni HATARI sana kuingia katika NDOA kwa msingi wa MAPENZI

Mapenzi yapo ndani ya muda na mambo hivyo yanabadilika kwa kadiri muda na Mambo yanavyobadilika. NDOA ikiwa imejengwa juu ya msingi wa mapenzi hakika itakuwa inayumba yumba kwani msingi wake mapenzi sio imara

Mapenzi ni ukaribu wa miili na hatua ya mwisho ya mapenzi ni sex i.e ngono
Hii umeitoa wapi mkuu
 
Lengo kuu la ndoa ni kuwakutanisha watu kimwili hayo ya kuishi milele hadi kifo ni matokeo lakini kutengana kupo na ndio maana kuna wajane

Haina maana yoyote ya kufunga ndoa wakati mshakutana kimwili ni utapeli wa wazi kabisa
 
Hao washenga watajuaje kama mhusika ana mbususu au lah, au watakut#mb£a?

Kuna mambo mengine ni nyeti inabidi uingie mzigoni mwenyewe
Kwamba huyo mtoto kajikuza mwenyewe hana wazazi, hajaogeshwa wakati wa utoto, ni stranger kutoka mbinguni hajulikani na mtu kua kua yake yote?

Hizo ni sababu tu za kutapeliana hamna ndoa kwa walioonjana huo ni utapeli
 
Ingekuwa wote wapo pure kusingekuwa na tatizo, leo unakutana na mdada kawekwa hadi kachoshwa, toka sekondari hadi chuo, kaingia mtaani anawekwa tu. Usipoangalia unachukua kitu hakieleweki.

Ni kweli ni dhambi ila tutafanyaje...
 
Back
Top Bottom