Ndoa imemaanishwa kwa watu ambao hawajakutana kimwili

Ndoa ni tabia na amani na sio vyeti.
Kama wazazi wako walishindwa kukufunza kuishi na watu usiingie kwenye ndoa utamuharibia mwenzako cv yke
 
Ndoa ni baraka na pia ni Laana ukiingia vibaya.
Shida elimu za kuoana hazifundishwi kila kitu kina kanuni yke ukikosea lazima kitakwama tu.
Pana makundi ya watu hayawezi kuungana kiroho yaaishie kuungana kimwili huko na sio kiroho.
Ndoa ni muunganiko wa nafsi na mwili.
Una ndoa unachepuka unategemea nini lzm ife tu Kwa sababu unaunganisha wengine kwenye chain ktk muunganiko rasmi unaotambulika kiroho.
Pana majina hayawezi kukaa pamoja.
Ndoa iliyounganisha nafsi,roho na mwili haiwezi kufa kwa maana ya bolt na nati yake zinaendana.
Tatizo watu tunajiolea olea tu bila missingi baada ya kunogewa na uzinzi au kupeana mimba.
Jadi na dini zote zinapinga kulana kabla ya kuchunguzana au ndoa ili kuepusha ule upofu wa ngono ukiwa kwenye upofu huwezi ona mabaya ya mwenzake. Unakuwa sawa na achague kahaba bar akiwa ulevini asubuhi yake ujuta pombe hizi bwana!
Ndoa ni hatma ya maisha yako unaweza pata baraka au laana.
 
Ndoa imelenga kuwakutanisha watu kwa ajili ya kuanza kujamiiana na sio vinginevyo, sasa nawashangaa watu kufunga ndoa baada ya kugegedana sijui wanafunga ndoa ili iweje

Yani mshaingiliana kimwili mara kadhaa na wengine hadi kuzaa watoto hapo ndoa ya kazi gani maana lengo kuu la kufunga ndoa ni ili kuwakutanisheni kimwili sasa mshakutana tayari ndoa ya kazi gani?
Wewe ndiyo unapotosha ujui hata dini ....kama ni hivyo basi ndoa zisizo hivyo azitambuliki na huyo mungu wako ....kama mungu....mungu anaposema usitamani mke wa mtu wewe unadhani mke ni yule aliye kuwa na ndoa kwa kigezo unacho sema wewe ? Soma yusufu alivyo mtambua mke wa mtu misri ...hivyo ndoa siyo swala la kidini tu ndiyo maana hata mke au mume wa mpagani wanatambulika kuwa ni mke na mume na wewe ukiwatamani unakuwa umefanya kosa la kutamani mke au mume wa mtu na 7kitembea nao hivyo hivyo unakuwa umefanya kosa ....sasa kama ndoa ni kidini tu au ni halali kidini yako tu mbona mungu anatambua hadi wake na waume za wasio na dini na wanao abudu vitu vingine tofauti na dini yako ...kama yusufu angetembea na yule mwanamke je asinge hesabiwa na mungu kuwa katembea na mke wa mtu ?
 
Wazazi wengi wanajua kuzaa tu na sio kulea malezi ni taaluma nyumbani ni chuo.
Usimlee mtoto kama utaishi nae milele, mtoto kwa mzazi ni mpangaji kwa maana mda ukifika ataenda kwake.
Lea mtoto kama unalea mke wa mtu au mme wa mtu ajae.
Mzazi ndie anaejenga tabia ya mtoto.
Mtoto sio wa mzazi ni WA jamii thus ukifika umri amuoi au kuolewa na mzazi bali anaenda kwenye Koo nyingine sasa usipeleke laana kwenye Koo zingine peleka baraka.
Kwa maana ndoa ni photocopy ya jinsi wazazi walivyoishi.
Wapo baada tu ya ndoa walifukuzwa KAZI, biashara zao zilifilisika nk na wapo baada tu ya ndoa wakapata KAZI, biashara zikastawi sana.
Si kila mtu mwenye elimu ya kujua ya ndani ya mtu.Na si kitu mtu anayo elimu bora ya kuoana,wengi tunatembea gizani kwenye hili.
Maisha si elimu ya darasani pekee Ina nafasi yake na elimu zingine za kuishi Zina nafasi yake kubwa tu kwa maana ndizo utaishi nazo mtaani.
 
Ndoa ni baraka na pia ni Laana ukiingia vibaya.
Shida elimu za kuoana hazifundishwi kila kitu kina kanuni yke ukikosea lazima kitakwama tu.
Pana makundi ya watu hayawezi kuungana kiroho yaaishie kuungana kimwili huko na sio kiroho.
Ndoa ni muunganiko wa nafsi na mwili.
Una ndoa unachepuka unategemea nini lzm ife tu Kwa sababu unaunganisha wengine kwenye chain ktk muunganiko rasmi unaotambulika kiroho.
Pana majina hayawezi kukaa pamoja.
Ndoa iliyounganisha nafsi,roho na mwili haiwezi kufa kwa maana ya bolt na nati yake zinaendana.
Tatizo watu tunajiolea olea tu bila missingi baada ya kunogewa na uzinzi au kupeana mimba.
Jadi na dini zote zinapinga kulana kabla ya kuchunguzana au ndoa ili kuepusha ule upofu wa ngono ukiwa kwenye upofu huwezi ona mabaya ya mwenzake. Unakuwa sawa na achague kahaba bar akiwa ulevini asubuhi yake ujuta pombe hizi bwana!
Ndoa ni hatma ya maisha yako unaweza pata baraka au laana.
Umeeleza vizuri asielewa kaamua kujizima data
 
Wewe ndiyo unapotosha ujui hata dini ....kama ni hivyo basi ndoa zisizo hivyo azitambuliki na huyo mungu wako ....kama mungu....mungu anaposema usitamani mke wa mtu wewe unadhani mke ni yule aliye kuwa na ndoa kwa kigezo unacho sema wewe ? Soma yusufu alivyo mtambua mke wa mtu misri ...hivyo ndoa siyo swala la kidini tu ndiyo maana hata mke au mume wa mpagani wanatambulika kuwa ni mke na mume na wewe ukiwatamani unakuwa umefanya kosa la kutamani mke au mume wa mtu na 7kitembea nao hivyo hivyo unakuwa umefanya kosa ....sasa kama ndoa ni kidini tu au ni halali kidini yako tu mbona mungu anatambua hadi wake na waume za wasio na dini na wanao abudu vitu vingine tofauti na dini yako ...kama yusufu angetembea na yule mwanamke je asinge hesabiwa na mungu kuwa katembea na mke wa mtu ?
Umezunguuka sana mkuu ila bado sijakuelewa kwani mke/mume wa mtu ni nani? Si ni mtu alieoa au kuolewa? Sasa hapo unatatizika wapi mkuu
 
Ndoa ni baraka na ni laana pia ingia kwa step ukiweza,usipoweza usiingie.
Hakuna dhambi kuingia au kutoingia.
Ukijiona huna utii achana na hio kitu utaaharibu tu cv ya mwenzio maana utavunja kanuni.
 
Umezunguuka sana mkuu ila bado sijakuelewa kwani mke/mume wa mtu ni nani? Si ni mtu alieoa au kuolewa? Sasa hapo unatatizika wapi mkuu
Maana yangu ni kwamba hata walio anza kujamiiana kabla ya ndoa, ndoa zao zinakuwa halali pia.
 
Lengo langu la ndoa ni kupata familia zaidi, mengine yanapatikana popote ukihitaji
 
Maana yangu ni kwamba hata walio anza kujamiiana kabla ya ndoa, ndoa zao zinakuwa halali pia.
Wakianza kujamiiana wanafunga ndoa ili iweje, na lengo hasa ni nini?
 
Ndoa nyingi zimeshikiliwa na pesa na uzuri vikitoka hivi ndoa nyingi zitakufa
 
Wakianza kujamiiana wanafunga ndoa ili iweje, na lengo hasa ni nini?
Hapo ndipo mnapo kosea msingi wa ndoa siyo kujamiiana tu, ni zaidi ya undugu zaidi ya kujamiiana zaidi ya urafiki zaidi ya umoja ...lengo kuu ni kuanzisha familia ...
 
Back
Top Bottom