Ndoa imemaanishwa kwa watu ambao hawajakutana kimwili

Ingekuwa wote wapo pure kusingekuwa na tatizo, leo unakutana na mdada kawekwa hadi kachoshwa, toka sekondari hadi chuo, kaingia mtaani anawekwa tu. Usipoangalia unachukua kitu hakieleweki.

Ni kweli ni dhambi ila tutafanyaje...
Vetting inahitajika ila sio kwa kumuingilia ukishamuingilia unakuwa umeondoa kusudi la ndoa
 
Ndoa hazina utakatifu thus HAZIDUMU.
Unakuta unaoa used screpa halafu inakupasua kichwa ndani
 
We jamaa nilikua nakakubali kumbe bwege hivi.

Ndoa ni cheti mzee - Amka.
Usisahau kutesti mitambo.
 
Hii umeitoa wapi mkuu kuwa ndoa ni cheti?
Ndoa - Cheti kinabaki nini mkuu?

Cheti kinatoka mahakamani haijalishi umeolea wapi - Hata ukifunga ndoa ya kiganga au hata ukioa na watoto 10 kinachotafutwa ni nini?
 
Mungu alisema mwanaume atawaacha wazazi wake aambatane na mkewe.

Kwahiyo msingi alioweka ni huo, mwanaume unatoka nyumba ya wazazi unaenda moja kwa moja kuishi na mkeo.

Sasa tumepindisha maelekezo, sasa mwanaume hatakiwi nyumbani. Haste haste utoke ukatafute pa kuishi, whether utakuwa peke yako au na masela au utalala juu ya mti utajua mwenyewe.

Kwa Mabinti, kwenye jamii nyingi walikuwa hatakiwi nyumbani muda mrefu. Haste haste apelekwe kwa mumewe. Mungu aliagiza hivyo pia - Jeremiah 29:6,7.

Sasa tumepindisha, sasa binti tafuta maisha kwanza! Soma! Fanya kazi! Jinunulie vitu vyako! Saidia ndugu zako! Travel the world! Anzisha biashara zako! Unawahi nini! Tafuta maisha akukute na maisha yako!

Basi huyu mwanaume na huyu binti wangekutana huko waje watoe taarifa kwa wazazi, kisha waende kuchukua cheti.

Mwanzoni wazazi walikubali ilimradi wawe wanaonana kanisani tu.

Baadae vikaanza videti, wanaenda eti kutembea wapi sijui. Sawa lakini muishie kwenye public places. Kisha waende kwa wazazi.

Baadae ikawa sio mbaya binti kujua anapoishi huyu bwana aliyetolewa mkuku mkuku kwa wazazi wake.

Baadae ikabidi binti awe anaenda huko kuonyesha ufundi wa usafi na mapishi maana kulikuwa na hatari mpya ambayo haikuwepo kabla: Competition.

Eeh bwana Competition ikawa Competition sasa hata kama unajua kupika haitoshi, je ni bikraa? Hata kama sio basi inabanaa? Dawasco je? Je Ni gogo?? Akijiridhisha wanaenda kwa wazazi.

Ebwana ikafika point hata kama huyu bwana anamwaga ubongo haitoshi, je nitakuamini amini vipi? Kama unaniigizia? Embu njoo uishi hapa hata miezo 6 nikusome kwanza. Ebo! ! Kweli Bwana wakaishi kisha wakaenda kwa wazazi.

Ikafika point Baada ya kuona hana kipengele bado haikutosha, je kizazi kipo? Tusije kusumbuana kuzunguka mahospitalini! !

Somewhere kwenye huu mchakato hawa mabwana na mabinti wamegeuka maadui.

Ikafika point hata kama huko juu pote pametiki bado, jeee ukinichenjia baada ya miaka mitano halafu utake tugawane mali je? Nihangaike kutafuta upya! Kila mtu akae kwake! !

Sasa rasmi tumefika kwenye KATAA NDOA. TAFUTA PESA. PIGA NYETO. KALALE. REPEAT. DIE.

Na bado huamini kuwa #JesusIsComing???
 
Ndoa - Cheti kinabaki nini mkuu?

Cheti kinatoka mahakamani haijalishi umeolea wapi - Hata ukifunga ndoa ya kiganga au hata ukioa na watoto 10 kinachotafutwa ni nini?
Ndoa sio cheti, cheti kimewekwa kwa ajili ya mitaala ya kisheria ili kuondoa udanganyifu mfano kama wewe ni muajiriwa au maswala mengine ya kisheria ya kidunia

Ndoa ni maagano ya kiroho yaliyowekewa utaratibu ili kuyafikia yakilenga kuwakutanisha watu kwa ajili ya tendo (kugegeda) la ndoa
 
Nani aliyaweka hayo maagano?
 
Mungu alisema mwanaume atawaacha wazazi wake aambatane na mkewe.

Kwahiyo msingi alioweka ni huo, mwanaume unatoka nyumba ya wazazi unaenda moja kwa moja kuishi na mkeo.

Sasa tumepindisha maelekezo, sasa mwanaume hatakiwi nyumbani. Haste haste utoke ukatafute pa kuishi, whether utakuwa peke yako au na masela au utalala juu ya mti utajua mwenyewe.

Kwa Mabinti, kwenye jamii nyingi walikuwa hatakiwi nyumbani muda mrefu. Haste haste apelekwe kwa mumewe. Mungu aliagiza hivyo pia - Jeremiah 29:6,7.

Sasa tumepindisha, sasa binti tafuta maisha kwanza! Soma! Fanya kazi! Jinunulie vitu vyako! Saidia ndugu zako! Travel the world! Anzisha biashara zako! Unawahi nini! Tafuta maisha akukute na maisha yako!

Basi huyu mwanaume na huyu binti wangekutana huko waje watoe taarifa kwa wazazi, kisha waende kuchukua cheti.

Mwanzoni wazazi walikubali ilimradi wawe wanaonana kanisani tu.

Baadae vikaanza videti, wanaenda eti kutembea wapi sijui. Sawa lakini muishie kwenye public places. Kisha waende kwa wazazi.

Baadae ikawa sio mbaya binti kujua anapoishi huyu bwana aliyetolewa mkuku mkuku kwa wazazi wake.

Baadae ikabidi binti awe anaenda huko kuonyesha ufundi wa usafi na mapishi maana kulikuwa na hatari mpya ambayo haikuwepo kabla: Competition.

Eeh bwana Competition ikawa Competition sasa hata kama unajua kupika haitoshi, je ni bikraa? Hata kama sio basi inabanaa? Dawasco je? Je Ni gogo?? Akijiridhisha wanaenda kwa wazazi.

Ebwana ikafika point hata kama huyu bwana anamwaga bongo haitoshi, je nitakuamini amini vipi? Kama unaniigizia? Embu njoo uishi hapa hata miezo 6 nikusome kwanza. Ebo! ! Kweli Bwana wakaishi kisha wakaenda kwa wazazi.

Ikafika point Baada ya kuona hana kipengele bado haikutosha, je kizazi kipo? Tusije kusumbuana kuzunguka mahospitalini! !

Somewhere kwenye huu mchakato hawa mabwana na mabinti wamegeuka maadui.

Ikafika point hata kama huko juu pote pametiki bado, jeee ukinichenjia baada ya miaka mitano halafu utake tugawane mali je? Nihangaike kutafuta upya! Kila mtu akae kwake! !

Sasa rasmi tumefika kwenye KATAA NDOA. TAFUTA PESA. PIGA NYETO. KALALE. REPEAT. DIE.

Na bado huamini kuwa #JesusIsComing???
😅😅 Inahuzunisha sana mkuu huko kupindisha pindisha ndio kunakoleta shida kwanini watu wasinyooke
 
Ndoa sio cheti, cheti kimewekwa kwa ajili ya mitaala ya kisheria ili kuondoa udanganyifu mfano kama wewe ni muajiriwa au maswala mengine ya kisheria ya kidunia

Ndoa ni maagano ya kiroho yaliyowekewa utaratibu ili kuyafikia yakilenga kuwakutanisha watu kwa ajili ya tendo (kugegeda) la ndoa
😂😂🫵🏾🫵🏾

Amka mkuu.
 
Back
Top Bottom