Kwa leo kama sio kukamilisha amri ya mungu basi nikutaka tu heshi.a kwenye jamii basiKwahiyo mnafunga ndoa ili iweje na mshachunguliana
Oooh kumbe bas sawaa.Kusudi la ndoa sio kurasimisha baada ya kugegedana ila kabla
Ndio kwasasaasilimia kubwa ni utapeli tuBasi hazipaswi kuitwa ndoa hamna hadhi ya ndoa watu wakishakutana ni utapeli tu unaoendelea
Kuna na wale wanaoa wanawake walishaingiliwa na wanaume wengine unawaambiaje?Ndoa imelenga kuwakutanisha watu kwa ajili ya kuanza kujamiiana na sio vinginevyo, sasa nawashangaa watu kufunga ndoa baada ya kugegedana sijui wanafunga ndoa ili iweje
Yani mshaingiliana kimwili mara kadhaa na wengine hadi kuzaa watoto hapo ndoa ya kazi gani maana lengo kuu la kufunga ndoa ni ili kuwakutanisheni kimwili sasa mshakutana tayari ndoa ya kazi gani?