Hizi nguvu unazotumia hapa kulalamikia watu kufunga ndoa baada ya kukutana kimwili, ungeitumia kwenda shamba kulima! Nina uhakika msimu wa mavuno ungekuwa mkulima tajiri.Ndoa imelenga kuwakutanisha watu kwa ajili ya kuanza kujamiiana na sio vinginevyo, sasa nawashangaa watu kufunga ndoa baada ya kugegedana sijui wanafunga ndoa ili iweje
Yani mshaingiliana kimwili mara kadhaa na wengine hadi kuzaa watoto hapo ndoa ya kazi gani maana lengo kuu la kufunga ndoa ni ili kuwakutanisheni kimwili sasa mshakutana tayari ndoa ya kazi gani?
Naye atamuacha baba yake na mama yake na kuambatana na mwenzi wake....Ndoa imelenga kuwakutanisha watu kwa ajili ya kuanza kujamiiana na sio vinginevyo, sasa nawashangaa watu kufunga ndoa baada ya kugegedana sijui wanafunga ndoa ili iweje
Yani mshaingiliana kimwili mara kadhaa na wengine hadi kuzaa watoto hapo ndoa ya kazi gani maana lengo kuu la kufunga ndoa ni ili kuwakutanisheni kimwili sasa mshakutana tayari ndoa ya kazi gani?
Bila shaka hapo ulipo unalima mkuu kama nipo sahihi nipe likeHizi nguvu unazotumia hapa kulalamikia watu kufunga ndoa baada ya kukutana kimwili, ungeitumia kwenda shamba kulima! Nina uhakika msimu wa mavuno ungekuwa mkulima tajiri.
Waendelee kuingiliwa…Kuna na wale wanaoa wanawake walishaingiliwa na wanaume wengine unawaambiaje?
Ndoa imelenga kuwakutanisha watu kwa ajili ya kuanza kujamiiana na sio vinginevyo, sasa nawashangaa watu kufunga ndoa baada ya kugegedana sijui wanafunga ndoa ili iweje
Yani mshaingiliana kimwili mara kadhaa na wengine hadi kuzaa watoto hapo ndoa ya kazi gani maana lengo kuu la kufunga ndoa ni ili kuwakutanisheni kimwili sasa mshakutana tayari ndoa ya kazi gani?
Huogopi kuuziwa mbuzi kwenye junia?!Ndoa imemaanishwa kwa watu ambao hawajakutana kimwili
Vetting inafanywa na washenga ambao ni wakubwa zakoSiku ukibahatika kuoa "mwanamke" kama huyu hapa ndiyo utajua hujui.. .
👇
View: https://youtu.be/mmvyNnrRNNw?si=tkE_jTZYpDTAZn0R
Hii umeitoa wapi mkuuNDOA ikikosa msingi wake UPENDO mwisho wake ni taraka, ni HATARI sana kuingia katika NDOA kwa msingi wa MAPENZI
Mapenzi yapo ndani ya muda na mambo hivyo yanabadilika kwa kadiri muda na Mambo yanavyobadilika. NDOA ikiwa imejengwa juu ya msingi wa mapenzi hakika itakuwa inayumba yumba kwani msingi wake mapenzi sio imara
Mapenzi ni ukaribu wa miili na hatua ya mwisho ya mapenzi ni sex i.e ngono
Hao washenga watajuaje kama mhusika ana mbususu au lah, au watakut#mb£a?Vetting inafanywa na washenga ambao ni wakubwa zako
Lengo kuu la ndoa ni kuwakutanisha watu kimwili hayo ya kuishi milele hadi kifo ni matokeo lakini kutengana kupo na ndio maana kuna wajaneNDOA ikikosa msingi wake UPENDO mwisho wake ni taraka, ni HATARI sana kuingia katika NDOA kwa msingi wa MAPENZI
Mapenzi yapo ndani ya muda na mambo hivyo yanabadilika kwa kadiri muda na Mambo yanavyobadilika. NDOA ikiwa imejengwa juu ya msingi wa mapenzi hakika itakuwa inayumba yumba kwani msingi wake mapenzi sio imara
Mapenzi ni ukaribu wa miili na hatua ya mwisho ya mapenzi ni sex i.e ngono
Kwamba huyo mtoto kajikuza mwenyewe hana wazazi, hajaogeshwa wakati wa utoto, ni stranger kutoka mbinguni hajulikani na mtu kua kua yake yote?Hao washenga watajuaje kama mhusika ana mbususu au lah, au watakut#mb£a?
Kuna mambo mengine ni nyeti inabidi uingie mzigoni mwenyewe