Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
mm sifungi ndoa, nimecomment ndoa maana ya muunganiko wa mume na mke,Kwani mkijamiiana bila kufunga ndoa hampati watoto na kuwa familia?
Sex ni sehemu ndogo sana ya ndoa inabeba asilimia 30.Hapo ndipo mnapo kosea msingi wa ndoa siyo kujamiiana tu, ni zaidi ya undugu zaidi ya kujamiiana zaidi ya urafiki zaidi ya umoja ...lengo kuu ni kuanzisha familia ...
Ndiyo maana wengi wana feli wao wanaingia kwa kuwaza sex tu mara pa magonjwa ya kuchefusha yanaingia mke anatoa vidonda au mume wanakimbiana au uzuri ukipotea au umasikini ukiingia wanavunja ndoa ...ndoa ni mzigo wenye mema na mabaya ..mabaya kama magonjwa ...uzeee....umasikini ...shida nkSex ni sehemu ndogo sana ya ndoa inabeba asilimia 30.
Kama ulivyosema ndoa ni ujitoleo wa zaidi ya undugu
Mbona unachanganyikiwa ndiyo maana nikakuambia ndoa ni zaidi ya kujamiiana ....wazee wengi wapo kwenye ndoa japo awana uwezo tena wa kujamiianaFamilia huanzishwa kwa kujamiiana na kuzaa watoto ndoa yanini
Ndoa ndio kifungua mlango cha maisha ya mume na mke kikubwa kikiwa tendo la ndoa hayo mengine ni ziada tuMbona unachanganyikiwa ndiyo maana nikakuambia ndoa ni zaidi ya kujamiiana ....wazee wengi wapo kwenye ndoa japo awana uwezo tena wa kujamiiana
Kwani tendo la ndoa uwezi kulipata bila ya ndoa .....naona umeanza kuchanganyikiwa akiliNdoa ndio kifungua mlango cha maisha ya mume na mke kikubwa kikiwa tendo la ndoa hayo mengine ni ziada tu
Muunganiko wa mume na mke hauhitaji ndoa ni kitu tu chakukubaliana na kujamiiana ndoa ni takwa la kidini lililolenga kuwakutanisha watu kabla ya kuanza kunjunjanamm sifungi ndoa, nimecomment ndoa maana ya muunganiko wa mume na mke,
Mnapata vyote familia na watoto yes, hiyo ya kanisani au mahakamani kama umemaanish hiyo ni ushahidi tuu na Sheria za binadamu
Nimekuelewa vzr nachomaanisha ni huo muunganiko ndiyo ninaoutaka, Hilo la ndoa ni neno tuu kama maneno mengine,Muunganiko wa mume na mke hauhitaji ndoa ni kitu tu chakukubaliana na kujamiiana ndoa ni takwa la kidini lililolenga kuwakutanisha watu kabla ya kuanza kunjunjana