Ndoa ina faida gani ?

Ndoa ni taasisi ambayo kupitia kwayo familia imara huanzishwa na kuendelezwa. Na familia imara ndiyo msingi wa jamii imara. Ndiyo maana ndoa na familia (ya mke na mume) vinashambuliwa sana maana ukitaka kuangamiza jamii basi haribu taasisi ya ndoa na familia.

Ndoa ni ya muhimu sana ndiyo maana ikaitwa ni takatifu; maana ilianzishwa na Mungu mwenyewe! 🙏🏿
 
Bado nipo nipo kwanza " alilala na bibi Harusi siku moja kabla ya Harusi na wala sio bwana Harusi alafu bado mnanishauri kuoa bado nipo nipo kwanza" - mwana FA
 
Mimi nawazaga hao watoto wao Huwa wanalelewaje aisee
Yan mtu uko hai ila mtoto anaishi Kwa mama Tena na baba wa Kambo Hawa ni mababa au viazi
 
Hivi huwa inatokeaje mzazi akupangie cha kufanya hapa duniani?

Kwamba wewe unakuwa unaishi kama roboti tu huku ukiendeshwa na mzazi au?

Hii huwa inakuwaje?

Wanakuwa wamekuona huna akili kiasi gani hadi wakupangie cha kufanya?
 
Faida ya ndoa ni kwamba mkitaka kuachana mwanamke anapata haki yake yaani kama ni mali mnawagama kama sheria za ndoa zilivyo. Yan inalinda maslai ya nyie wanandoa kisheria.
Ndoa ina Faida kwa Mwanamke 95%
Ndoa Inafaida kwa mwanume 1%
Ndoa Inafaida kwa Ndugu wa Mwanamke 4%.
NOTE: Katika Ndoa Nyingi Wanaume ufa mapema, Harakati za Maisha + utafutaji.
 
Faida ni kupata tendo la ndoa bure,unapata wakati wowote ukihitaji bila kugharamia. Kupata heshima kuwa una ndoa huishi kihuni, kupata familia inayoeleweka kwa jamii
Labda la Familia Ila tendo la wataki wote futa hiyo aisee tuliomo ndio tunajua na kama hujajua basi subiri miaka ipite kidogo utakuja humu. Mwanamke apatapo watoto uchepusha upendo wote kwa watoto na kumuona mwanamume kama nyani tu.
 
Hivi huwa inatokeaje mzazi akupangie cha kufanya hapa duniani?

Kwamba wewe unakuwa unaishi kama roboti tu huku ukiendeshwa na mzazi au?

Hii huwa inakuwaje?

Wanakuwa wamekuona huna akili kiasi gani hadi wakupangie cha kufanya?
Wazee wangu ni watu wa kanisa sana, si unajua wazee ?

Sasa mm hizo mambo za kanisani, sijui mungu , siamini na sipo kwenye hayo mambo. Kwahyo wao wanaona ndoa ni swala la kimungu , alafu ndio siamini maswala ya mungu.

Sio kwamba wananipangia , ila imekuwa kero ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…